Mkuu hiyo Cement unayo stock au ni kama hawa akina Zakaria na mohamedi enterprises ambao unalipia unasubir wiki 4 mzigo bado hujaletewa?na ili uweze kuletewa hadi kwenye eneo lako la biashara unatakiwa ununue kuanzia mifuko mingapi?isije ikawa ni contena zima kama wanavyotubana hawa wafanyibiashara wenye asili ya kiasia.
Hawa wauza cement wa Lucky cement hawalipi kodi kabisaaaaaaa! Wanatumia excemptions za TIC kukwepa kodi.
Sasa excemptions kama zipo kwanini wasitumie.., mimi naona ni makosa ya serikali yetu lege lege hata kama ni wewe kama kuna loop holes lazima uta-take advantage; mimi my concern kwa sasa naona hata majibu hawatoi (sijui mleta mada kaenda kulala au weekend ya jana alikula profit yote)
Mkuu hiyo Cement unayo stock au ni kama hawa akina Zakaria na mohamedi enterprises ambao unalipia unasubir wiki 4 mzigo bado hujaletewa?na ili uweze kuletewa hadi kwenye eneo lako la biashara unatakiwa ununue kuanzia mifuko mingapi?isije ikawa ni contena zima kama wanavyotubana hawa wafanyibiashara wenye asili ya kiasia.
IKO KWENYE STOCK,, Hata ukitaka mifuko 600 na zaidi inapatikan
unanunua kulingana na uwezo wako,, ofcz siyo lazima ununue kontena zima!! but for jumla tunaanza kuuza mifuko 20
Zakaria,, yeah nimesikia huwa analeta huo usumbufu,, but huku hakuna huo usumbufu
offcz cement ni nzuri na cyo ya kitanzania,, hii tuna import kutoka pakistan sisi wenyewe..
Huduma hii inaptikana kwa DAR tu lakini kama unahitaji zaidi kuhusu mkoani, unaweza ukaja ofisini kabisa tukaongea
Haina ubaya katika tofali linalotengenezwa kutumia hiyo cement wala zege!!!
Trust me,its really a great cement
Mkuu sipo dar ndio maana siwezi kuja ofisini kwenu, lets say kama nataka mifuko kuanzia 40; kwa sehemu kama arusha, mwanza, bukoba au shinyanga zinaweza zikafika kwa kiasi gani kwa kila mfuko.?
duh pole saana mkuu,, unanua bei kubwa saana!! njoo huku upate @ cheap price
Mkuu huyo jamaa yupo mikoani sasa akija kwenu by the time amepakia na kupeleka kule alipo si bei itakuwa imezidi 17,500 au hata hio 19,000 ambayo ananunulia au?
Tuache ushabiki,ila cement ya pakistan is the great,kama kuna mtu anabisha aende akaulize wauza tofali wanatumia cwment gani?kama unahitaji kujenga nyumba kwa uimara tumia hii cement!habari ndio hiyo.
Follow Us Here