Wana JF, natafuta nyumba ya kupanga iwe ni self ndogo yenye vyumba viwili vya kulala na mengineyo muhimu, maji na umeme pia yawepo, Iwe maeneo yeyote kuanzia Usa-River mpaka pale Ngulelo Arusha au kwa ndani ndani kidogo kuelekea Meru juu. Naomba Mtu yeyote mwenye taarifa ya upatikanaji wa Nyumba hii anisaidie kwa hili! Asante

Reply With Quote
Follow Us Here