Habari magreat thinkers! Jamai wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumizi madogo madogo 2, nina Tsh 300,000/= cash, so kama yupo anayeuza naomba anijuze but isiwe mbovu mbovu' Nipo serious jamani.
Habari magreat thinkers! Jamai wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumizi madogo madogo 2, nina Tsh 300,000/= cash, so kama yupo anayeuza naomba anijuze but isiwe mbovu mbovu' Nipo serious jamani.
Serikali ya Tanzania imejitolea kuwa kompyuta zote hazina ushuru. Na nyie bado mnatafuta komyuta used?
Naiomba serikali ipige marufuku uingizwaji wa kompyuta zilizotumika.
Jitu lilikuwa linachezea pua, linakoholea key board, linapigia ngunga, nyie bado tu? why?
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Matumizi madogomadogo ya laptop ni yapi. Ni lazima utumie full power ya laptop kwa hio fikiria tena vinginevyo gharama itakuwa kubwa kwa kuweka kigezo cha matumizi madogomadogo... nina maana ukipata iliyochoka ukaitumia muda mfupi itabidi ununue nyingine baada ya muda mfupi...
Shilling laki 3 kama unataka desktop sawa, lakini laptop kwa bei hiyo sahau.
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
Wasiliana na Huyu Mtanzania ndiyo dili zake, namba : 0714/0767 - 039280
ninayo toshiba ina ram1gb.hdd60gb.procesor1.6ghz. laki nne nauza 0655945598
Laki 3? Cmu au laptop? Inawezekana umekosea.
Nenda Kariakoo mtaa wa Uhuru, maduka , bei ipo mlangoni tu, Laptop laki tatu
nina toshiba 120gb hdd 1gb ram na siemens
fugitsu 80gb hdd 3gb ram @ 450000. Sumsung rc
512 750 gb hdd 4gb ram i7 850000 na hp mini
haikai na umeme ni 80 gb hdd 1gb ram utaipata
kwa 300000
Follow Us Here