Habari magreat thinkers! Jamani wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumizi madogo madogo 2, nina tsh 300,000/= cash, kwa anayeuza anijuze but isiwe mbovu mbovu. Nipo serious jamani.