Habari zenu wapendwa,
mimi ni mama wa mtoto mmoja na mume mmoja, natafuta sehemu ya kusupply lunch kwa Dar es salaam. yeyote atakayesikia au anayefahamu sehemu ambayo wanashida hiyo tafadhali wasiliana nami kwa no 0712 25 90 21 na 0754 255 734, chakula changu ni kizuri na hautajuta.

NB:
At least watu 20 kwaq ajili ya kusave cost za usafiri.

Sample Menu yetu ni kama ifuatavyo


MENU

WALI

WALI WA NAZI & KUKU 3500TSH
WALI WA NAZI & SAMAKI 3500TSH
WALI WA NAZI & MBOGAMBOGA 2000TSH
WALI WA NAZI & NYAMA 2500TSH
PILAU YA NYAMA 3000TSH

NDIZI

NDIZI ZA NAZI & NYAMA ROAST 3000TSH
NDIZI MZUZU 2 FRIED & SAMAKI 3500TSH
NDIZI MZUZU 2 FRIED & KUKU 3500TSH
NDIZI MZUZU 2 FRIED & FIRIGISI 2 3000TSH
NDIZI MZUZU 2FRIED & NYAMA ROAST 3000TSH

CHIPSI

CHIPSI & KUKU 3500TSH
CHIPSI & FIRIGISI 2 3000TSH
CHIPSI & SAMAKI 3500TSH
CHIPSI & NYAMA ROAST 3000TSH

MCHEMSHO (KWA ODA MAALUM)

MCHEMSHO WA KUKU WA KIENYEJI 4500TSH
MCHEMSHO WA NYAMA YA NG’OMBE 2500TSH

MATUNDA

MIX FRUITS @ PLATE 1000TSH

JUICE (FRESH JUICE) @ GLASS 1000TSHCONTACT:
MRS: VIOLET DAVID SHIJA
MOBILE: 0712 259 021
0754 255 734
Asanteni na Mungu nwabariki. aka mama Joash