Shamba/kiwanja chenye ukubwa wa 70m x 60m katika eneo la Mabwepande, kata ya Bunju-Manispaa ya Kinondoni. Ni eneo zuri liko flat na liko karibu na Barabara itokayo Bunju B kwenda Mbezi kwa Luis-Morogoro Road.
Hakijapimwa lkn ni eneo eneo zuri kwa makazi, na viwanja vya jirani yake tayari vinaendelezwa na wahusika mbalimbali ambao wengi wao wanakaa mjini Dar. Kiko karibu na Sekondari ya Mabwepande, Dispensary na Shule ya Msingi Mabwepande.
Bei ni Tshs. 13,000,000/= (Milioni Kumi na Tatu tu). Kwa wale wenye kuhitaji na wako serious wanaweza kuni-pm.
TELO



Reply With Quote
Follow Us Here