Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 45
    1. #1
      JF Marketer's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd January 2009
      Posts : 66
      Rep Power : 542
      Likes Received
      21
      Likes Given
      29

      Default Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Hodi hodi jukwaani kwa Waungwana wana JF,

      Nitumaini kwa ukarimu wenu nyote mmesema karibu mgeni.

      Nami naingia na kuanza kutoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Jamii Media Inc kwanza kuniruhusu kuwa mwanachama na pili kutumia abbreviation "JF" kwenye jina langu na tatu kunipa kibali cha kupokea na kuweka matangazo ya kibiashara hapa jukwaaani.

      Wito kwa wanachama na wasio wanachama:

      Tumeanza kupokea matangazo ya kibiashara. Lengo ni kulifanya jukwaa letu liwe na vyanzo vya mapato vitakavyoliwezesha kujiendesha kwa ustahimilivu kinyume na sasa ambapo linategema pesa toka mfukoni mwa watu wachache.

      Hakuna ubishi tena juu ya uwezo wa tofuti, majukwaa na blogs katika kuwasilisha ujumbe kwa jamii. Mtakumbuka katika mwaka 2008 zaidi ya asilimia 70 ya habari motomoto zilizotikisa nchi yetu zilianzia hapa.

      Na kwa upanda wa matangazo ya kibiashara japo haikuwa lengo kwa mwaka 2008, waliotangaza nasi wameona mafanikio. Traffic imeongezeka mara dufu katika site zao.
      sonelojunior likes this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 12,121
      Rep Power : 31822
      Likes Received
      6008
      Likes Given
      19570

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Natafuta kuhusu kikao cha jf saccos jana.

    4. #22
      fakifuge2000's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th August 2011
      Posts : 46
      Rep Power : 402
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Nina kampuni inayo tengeneza sofa mpya aina mbali mbali,kubadilisha cover ya sofa iliyochakaa hapo hapo nyumbani
      kwa bei poa kabisa

    5. #23
      fakifuge2000's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th August 2011
      Posts : 46
      Rep Power : 402
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default

      unahitaji kubadlisha cover ya sofa hapo hapo nyumbani?kwa bei chee kabisa

    6. #24
      123yrz's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th August 2011
      Posts : 31
      Rep Power : 397
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      natafuta power suppry ya laptop aina ya compaq ev n610c nipigie namba 0714 260821

    7. #25
      dejoka's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 25th August 2011
      Posts : 9
      Rep Power : 393
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      gari aina ya cresta gx100 nauza

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      linda87st's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 29th October 2011
      Posts : 7
      Rep Power : 383
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Uzuri tumeandika WAZI hapa juu ya uwezekano huo; INAWEZEKANA mkuu.

    10. #27
      loka seven's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 8th August 2011
      Posts : 5
      Rep Power : 395
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Kwa mara ya kwanza napenda kuitambulisha kwenu wadau ngoma yangu mpya inayo kwenda kwa jina la UWAZI inayofanyika ndan ya huruma records na prodyuza endlu ndan ya tanga itakayo kamilika kabla ya tar26 mwezi huu imetetea sana jamii na kuwa umbua mafisadi na iko poa sana naimani ukiisikia mwenyewe utafurah sana ipo tofauti na ngoma za wasanii wengine hii imekuja kiharakat zaid kwa mawasiliano zaid 2ma emil kwenda [email protected]... napia nahitaji mzamin ili niweze kuusongesha ujumbe wangu kwa kila muafrika aman kwenu wadau nahitaji sana sapot yenu..

    11. #28
      loka seven's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 8th August 2011
      Posts : 5
      Rep Power : 395
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

    12. #29
      emilwayne's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 173
      Rep Power : 412
      Likes Received
      11
      Likes Given
      2

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Nauza Samsung s3600i, ni slim and light to carry ina vifaa vyake, ni LINE MOJA and ina miezi 7 tokea nimenunua na ina guarantee ya mwaka1. Bei ni 120,000 nipate kwa 0713079282

    13. #30
      jchofachogenda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2012
      Posts : 470
      Rep Power : 466
      Likes Received
      64
      Likes Given
      26

      Default Upo serious?

      Ninauza mziki(PA) pamoja na Projector na Generator.Vyote vipo katika hali nzuri,nilikuwa nafanya biashara ya kukodisha mziki na kukodisha projector ila kwa sasa nimeamua kubadilisha biashara.Unaweza kununua kimoja kimoja sio lazima ununue vyote.Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa private Message.
      Last edited by jchofachogenda; 21st March 2012 at 15:59.

    14. #31
      NKUCHA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Location : SAME
      Posts : 27
      Rep Power : 358
      Likes Received
      0
      Likes Given
      7

      Default Natafuta pikipiki aina ya toyo ke14 150cc

      Wapendwa, natafuta used toyo ambayo haitazidi usd 800 au 1,200,000 tsh maeneo ya moshi au arusha. Mwenye nayo tuwasiliane kwa namba 0716013287 leo hii.ahsanteni.

    15. #32
      ngogo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th October 2012
      Posts : 245
      Rep Power : 380
      Likes Received
      28
      Likes Given
      3

    16. #33
      nexus's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : DODOMA
      Posts : 37
      Rep Power : 432
      Likes Received
      1
      Likes Given
      5

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Natafuta photocopy machine aina ya canon iwe mpya au mtumba .size ya kati au kubwa

    17. #34
      GOOGLE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2012
      Location : MIREMBE HOSPITAL
      Posts : 659
      Rep Power : 461
      Likes Received
      103
      Likes Given
      17

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Mkuu uko wapi?
      Google never cheat!! Google=teacher
      Reply With Quote

    18. #35
      nexus's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : DODOMA
      Posts : 37
      Rep Power : 432
      Likes Received
      1
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By GOOGLE
      Mkuu uko wapi?
      nipo dodoma

    19. #36
      Elioth ngumba's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd June 2012
      Posts : 16
      Rep Power : 351
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana


    20. #37
      Pascal Ndege's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th November 2012
      Posts : 153
      Rep Power : 356
      Likes Received
      16
      Likes Given
      3

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Nauza kiwanja 18x20 tsh milion 18(18,000,0000/=) kipo maeneo Sigara,Yombo, vituka call 0655948888 kinauzwa kwa shidaNauza kiwanja 18x20 tsh milion 18(18,000,0000/=) kipo maeneo Sigara,Yombo, vituka call 0655948888 kinauzwa kwa shida

      Sent from my BlackBerry using JamiiForums
      MZEE MKUDA

    21. #38
      Mamaa Fasiness's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 29th January 2013
      Location : Dar es salaam
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Nauza crips za ndizi pact moja elfu moja jumla na rejareja unaletewa mpaka mlangoni kama una supermarket au sehemu yoyote ya biashara call; 0658933388

    22. #39
      Eddy3000tz's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 13th February 2013
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Nokia lumia 800 laki 350000 mpya

    23. #40
      Black Bat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Abbottabad
      Posts : 2,479
      Rep Power : 9581
      Likes Received
      682
      Likes Given
      575

      Default Re: Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

      Ngoja nitangaze na mimi hapa
      ukipenda niite double biiiiiii!! tchao

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    Similar Topics

    1. Tangaza biashara yako kwa mobile application hii
      By Mputi in forum Matangazo madogo
      Replies: 2
      Last Post: 23rd November 2011, 16:07
    2. Tangaza biashara yako kwa mobile application hii
      By Mputi in forum Matangazo madogo
      Replies: 1
      Last Post: 23rd November 2011, 13:44
    3. Tangaza upate chako
      By Raphsam in forum Nafasi za Kazi na Tenda
      Replies: 1
      Last Post: 8th June 2011, 17:39
    4. Kikwete tangaza hali ya hatari - Kiula
      By BAK in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 30
      Last Post: 28th April 2008, 18:17

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...