Natafuta kiwanja cha kujenga mwanza wandugu kwa anayeuza.
Natafuta kiwanja cha kujenga mwanza wandugu kwa anayeuza.
Mkuu nenda kajaribu maeneo ya Nyegezi, Luchelele na Kiseke nadhani unaweza kupata plots huko.
kwa pande za hapa mwanza unatafuta kiwanja,maeneo ya malimbe,luchelele,sweya,kijiwe ni,nyegezi kona kweli kuna viwanja lakin sikushaur ujenge nyumba ya kuish eneo hilo labda hostel ndo sehemu ambazo wanachuo wanaish kuna usumbufu ambao si walazima ningekushaur at least ukachek maeneo ya kiseke,bwiru,nyamanolo yaan kwa ushaur ni kwamba wilaya ya nyamagana kuna social unrest nying sana angalau ilemela
Kama una mil 6.,kuna mtu anakiwanja hivi vilivyotangazwa juzi kapata lakini inaonekana hana hela ya kukilipia ila yeye kakipata kwa 4.875,sasa anataka na cha juu.Ila ni square meters kama 1375.Mie nimechemka.sikumbuki ni maeneo gani ila ukifika pale ofc za jiji wamebandika majina ya hilo eneo.Au ongea na wale walinzi wa jiji wanajua watu walio navyo maana,watu walipewa deadline ya ijumaa last week.
ndugu yangu anauza kiwanja maeneo ya Kiloleli jirani na mnada wa Kiloleli. Kimepimwa na kuna kijumba cha kuishi (maarufu kama SLOPE) kwa anayehitaji kiwanja anijulishe.
Follow Us Here