Jamani wadau nisaidieni kwa wale wanaojua mambo ya magari vizuri hivi gari aina ya peugeot spare zake zinapatikana kwa hapa nchini bila matatizo au ni matatizo kama za bmw na honda?
Jamani wadau nisaidieni kwa wale wanaojua mambo ya magari vizuri hivi gari aina ya peugeot spare zake zinapatikana kwa hapa nchini bila matatizo au ni matatizo kama za bmw na honda?
Unaulizia kuhusu gari kweli au umetumia lugha ya mafumbo?
Kazi ipo!
Hapa bongo zinapatikana kwa shida kidogo hasa spare kubwakubwa ila vitu kama balbu zinapatikana ,nipm nitakupa contact za mtu anayeenda nairobi mara kwa mara kule zipo nyingi sana.
Kama unazungumzia 504 hiyo vipuli ni vingi sana hadi cha tsh 150 kipo pia uwa tunavichonga sido kama havipatikani.
Peogeot hizi gari za kifaransa zimebaki kwenye majumba ya kumbukumbu
Hebu nenda Morogoro automobile, wapo kisutu wanaspare za magari karibia aina zote toka EUROPE. kama utakosa ni in box aina ya spare then nitakutumia toka Nairobi. Usihangaike sana mimi mwenyewe nilipata tabu kidogo na spare ila kwa sasa naenjoy na European Vehicle
mchango wenu jamani?
................Kama hiyo 206 ni new model itakusumbua ila hizo za kizamani,504(guruwe) ziko spea nyingi hasa arusha,moshi,nairobi....!!kama yard yako inagari kadhaa,agiza maana hata ikileta shida na unatafuta spea atleast unatoka na vya zamani
We nawe,dc z MMU
Follow Us Here