JamiiSMS
  Show/Hide This
  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. Patel jr's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 24th May 2011
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Mashine ya kuangulia vifaranga (incubator) itumiayo mafuta ya taa

   Natamani kufuga kuku wa kienyeji, shida yangu ni mashine ya kutotoleshea vifaranga itumiayo mafuta ya taa. Zinapatikana wapi na kwa bei gani? Wadau nisaidieni ili nami nijaribu kwenda sambamba na hii KASI ZAIDI


  2. mushi.richard's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st July 2007
   Posts : 20
   Rep Power : 709
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Mashine ya kuangulia vifaranga (incubator) itumiayo mafuta ya taa

   Jaribu kuwasiliana na SIDO ,VETA au DIT watakusaidia.

  3. Ericus Kimasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th October 2006
   Posts : 431
   Rep Power : 28248
   Likes Received
   324
   Likes Given
   682

   Default

   Quote By Patel jr View Post
   Natamani kufuga kuku wa kienyeji, shida yangu ni mashine ya kutotoleshea vifaranga itumiayo mafuta ya taa. Zinapatikana wapi na kwa bei gani? Wadau nisaidieni ili nami nijaribu kwenda sambamba na hii KASI ZAIDI
   Wasiliana na Nenda ofisi za ScienceScope zilizoko pale mataa ya Morocco, kituo cha kuelekea Buguruni, nyuma ya magari ya mchanga. Eneo hili lipo nyuma ya ofisi za Airtel.
   Last edited by Ericus Kimasha; 5th February 2013 at 13:03.

  4. ELIASANTE's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 6th June 2014
   Posts : 214
   Rep Power : 389
   Likes Received
   21
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Patel jr View Post
   Natamani kufuga kuku wa
   kienyeji, shida yangu ni mashine ya kutotoleshea vifaranga itumiayo
   mafuta ya taa. Zinapatikana wapi na kwa bei gani? Wadau nisaidieni ili
   nami nijaribu kwenda sambamba na hii KASI ZAIDI
   Naunda mashine za kutotoleshea mayai ya kuku zitumiazo mafuta ya taa;wasiliana nami kwa namba za simu 0784413039;ofisi ip ilala Dar es salaam;Njombe na Ruvuma.Incubator ni za uhakika kumsaidia mjasiliamali mfugaji.

  5. ELIASANTE's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 6th June 2014
   Posts : 214
   Rep Power : 389
   Likes Received
   21
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Patel jr View Post
   Natamani kufuga kuku wa
   kienyeji, shida yangu ni mashine ya kutotoleshea vifaranga itumiayo
   mafuta ya taa. Zinapatikana wapi na kwa bei gani? Wadau nisaidieni ili
   nami nijaribu kwenda sambamba na hii KASI ZAIDI
   malamsha shao;5492005]Incubator ya
   kuangulia vifaranga 600 used na mpya bei yake vipi naomba mchango wenu
   wana jf kwa wenye uzoefu ktk hilo na efficiency yake.[/QUOTE]
   Wasiliana nami kwa aina zote za incubator.

   Huyo jamaa anaesema incubator za Tanzania hazifai;sio mkweli kabisa;kwanza anadharau bidhaa za wazawa bila kufanya tafiti nyingi.
   WASILIANA NAMI KWANI NINATENGENEZA NA KUUNDA INCUBATOR ZA KILA NAMNA.SIMU 0784413039;E MAIL:[email protected]


  6. kiliaki's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th September 2014
   Posts : 11
   Rep Power : 333
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Mashine ya kuangulia vifaranga (incubator) itumiayo mafuta ya taa

   naitaji incubato ya mayai 100 .0752267072

  7. Mitomingi8s's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th January 2011
   Posts : 90
   Rep Power : 542
   Likes Received
   10
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By ELIASANTE View Post
   malamsha shao;5492005]Incubator ya
   kuangulia vifaranga 600 used na mpya bei yake vipi naomba mchango wenu
   wana jf kwa wenye uzoefu ktk hilo na efficiency yake.
   Wasiliana nami kwa aina zote za incubator.

   Huyo jamaa anaesema incubator za Tanzania hazifai;sio mkweli kabisa;kwanza anadharau bidhaa za wazawa bila kufanya tafiti nyingi.
   WASILIANA NAMI KWANI NINATENGENEZA NA KUUNDA INCUBATOR ZA KILA NAMNA.SIMU 0784413039;E MAIL:[email protected][/QUOTE]

   Ya mayai m100 bei gani?
   Gagnija likes this.

  8. Gagnija's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th April 2006
   Posts : 4,334
   Rep Power : 85902578
   Likes Received
   1655
   Likes Given
   1330

   Default Re: Mashine ya kuangulia vifaranga (incubator) itumiayo mafuta ya taa

   Quote By Mitomingi8s View Post

   Ya mayai m100 bei gani?
   You're not serious. Mayai milioni mia moja?
   "If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor" Tutu
  Similar Topics

  1. Nahitaji incubator
   By day 24 in forum Matangazo madogo
   Replies: 22
   Last Post: 9th March 2015, 10:58
  2. Natafuta Incubator ya mayai 500 au zaidi
   By Mganga wa Jadi in forum Matangazo madogo
   Replies: 11
   Last Post: 15th April 2014, 13:56
  3. Vifaranga chotara
   By culboy in forum Matangazo madogo
   Replies: 26
   Last Post: 16th May 2013, 22:43
  4. Google launches African tech incubator
   By Gurta in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 2
   Last Post: 11th April 2011, 18:56
  5. Mashine ya kukamulia mafuta
   By african2010 in forum Matangazo madogo
   Replies: 4
   Last Post: 20th June 2010, 22:55

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...