Mega Projects in Tanzania

  • Sticky
Cameco said uranium spot prices averaged $125.83 US per pound in the second quarter of 2007, compared to $43.42 US in the same quarter of 2006. New hope for uranium wealth in Dar By WILFRED...
0 Reactions
260 Replies
66K Views
Habari wadau , nauliza bei ya mashamba wilaya ya arumeru kwa ekari moja, mweye kujua
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro ExpressWay iko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakuu, naomba kufahamu bei ya gunia la dagaa wakavu toka mwanza, musoma au bukoba na gunia ilo lina kg ngapi. Biashara hii nataka kuifanya iringa hivyo naomba kujua na gharama...
1 Reactions
0 Replies
457 Views
Mradi Mwanza wa majitaka umeishia wapi. au ndio mwisho hvyo?
0 Reactions
0 Replies
256 Views
.Mradi wa Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye. Utangulizi: Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK...
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Tanzania ya Samia inazidi kupata Neema Kila siku na hivi punde ni habari za kugundulika kwa Gesi asilia eneo la Ruvu-Kibaha Mkoa wa Pwani. Ugunduzi umefanywa na kampuni ya Wazawa ya Dodsol...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi . Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa...
2 Reactions
3 Replies
962 Views
Jamani sisi wageni tuweke wapi mabegi yetu
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Nimejikuta kua mjanja mno lakini hii TV imenifanya niwe mshamba hakika naombeni msaada kwa yeyote mtaalam wakuchezea /mjanja waktumia hii Tv nisaidie Tv inaukubwa wa nchi 43 nimeharibu kuweka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Licha ya mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, Tanzania kuendelea kupingwa na Watetezi wa Masuala ya Mazingira, uchimbaji wa Visima vya Mafuta Ghafi umeanza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
BRT (BUS RAPID TRANSIT) ya jiji la Dar yatajulikana kama DART dar es salaam rapid transit, yanajulikana kama mabasi yaendayo kasi kwa kuwa yanakua na barabara zao maalumu na pekee, na sio yana...
27 Reactions
414 Replies
200K Views
looks like all set,I was heading to the airport today and more than 6 new cars getting out at 6 AM, looks busy, they have put flag and new board with all the information, You now know the...
2 Reactions
61 Replies
29K Views
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amesema kwamba neema ya Maji kutoka Ziwa Victoria sasa imewafikia wananchi wa Jimbo la Kaliua kwani Kampuni ya Megha Construction and...
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Nimeona habari kuwa mwezi ujao mradi wa BRT wa mabasi yaendayo kasi unaanza kujengwa kuelekea Tegeta bunju hadi Bagamoyo. Habari kamili hiyo hapo. My take: Nitashangaa sana kusikia watakaojenga...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema maendeleo ya Ujenzi reli ya kisasa (SGR) kwa vipande vyote vitano unaendelea vizuri ambapo kwa kipande cha Dares Salaam hadi Morogoro ujenzi wake umefikia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati Dk Medard Kalemani amewaondoa hofu Watanzania kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto Rufiji wa Julius Nyerere haujawahi kusimama na hautasimama...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Barabara Muhimu ya kimkakati. Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu. Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi. Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35. Mradi huu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom