Re: Dhahabu yetu Tanzania
hapo nimeona tu Resolute ule mgodi wa nzega ambao ndo wanataka kuufunga (wengine wanasema wanawauzia barrick sijui), ila pale yamebaki mashimo tu gold imeisha....sijasikia barrick wanatoa kiasi gani,...kuna ndege kila wiki inatoa gold toka barrick kule kahama bunzwagi, bulyanhulu na Tulawaka...lakini kwa migodi yao yote hii ukiongeza na nyamongo, ndo kusema hawatoi kodi? sasa hawa watu wa nini?>si bora wasingekuwepo?
Tanzania ni tajiri,tena tajiri sanaaaa, lakini dah we acha tu! sijui kwanini watu wake masikini?
Follow Us Here