Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)
BRT (BUS RAPID TRANSIT) ya jiji la Dar yatajulikana kama DART dar es salaam rapid transit, yanajulikana kama mabasi yaendayo kasi kwa kuwa yanakua na barabara zao maalumu na pekee, na sio yana mwendo wa kasi kama watu wengi hufikiria, watu wengi hujiuliza mwendo kasi barabara zenyewe ziko wapi dar? mabasi haya yanakua na njia zake amabazo magari mengine hayataruhusiwa kupita, na kuyafanya yawe ya haraka kwani hayatakua na foleni, (BRT ONLY) ni njia ya mabasi hayo tuu, sijui kama wabongo watakua wastaarabu kwa kuheshimu njia hizi, wakazi wanatumia morogoro road wataanza kunufaika na mradi huu, kwani awamu ya kwanza ishaanza .kama una picha yoyote ya kituo au chochoke kinachohusu mradi huu tafadhani share, thanks Phase 1 There will be 6 phases in total
Site of Kivukoni (Ferry) Terminal
Re: Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)
Haya ni Majibu ya Rais waliyemuita DHAIFU. Ukweli ni kuwa, JK Amefanya makubwa kuliko Awamu zote kwani ametumia fursa ambazo waliotangulia hawakuzipata. Kila kiongozi ana nyota na enzi yake. Nataja baadhi ya mambo ambayo yanaitwa ndoto. Daraja la Maragalasi 80bil, limekamilika kwa zaidi ya 70%, Daraja la Kigamboni 200bil, limeanza kujengwa, Bomba la gesi Mtwara dar for 2700MGW pamoja na kuingiza gesi majumbani mradi umeanza, Mradi wa liganga na mchuchuma ukikamilika 11trillion, umeanza, bara bara za lami 11,000 km nchi nzima awamu tofauti ujenzi unaendelea, Usafiri wa treni dar, october 1, ujenzi reli mpya Tanga, Musoma mkataba umesainiwa, Udom na maendeleo ya vyuo vikuu, Sekondari za kata zimeanza kufaulisha, na kuna listi kubwa ambayo inahusu kilimo, biashara nk. MNYONGE MYONGENI HAKI YAKE MPANI

By kibananhukhu

Well said Mkuu kibananhukhu, mwenye macho haambiwi tazama. Hata hivyo huna haja ya kuyataja yote hayo hapa kijiweni, sana sana utaambulia kejeli kwani wachangiaji wengi hapa wako kwenye laptop zao 24 hours na ni wachache wameyaona hayo uliyoyataja.
Tuseme kwamba, wengi wetu walikuwa na matarajio makubwa sana kutoka kwa JK zaidi ya hayo yaliyofanyika na hali halisi haiko hivyo.
Re: Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)
By Kakalende
Well said Mkuu kibananhukhu, mwenye macho haambiwi tazama. Hata hivyo huna haja ya kuyataja yote hayo hapa kijiweni, sana sana utaambulia kejeli kwani wachangiaji wengi hapa wako kwenye laptop zao 24 hours na ni wachache wameyaona hayo uliyoyataja.
Tuseme kwamba, wengi wetu walikuwa na matarajio makubwa sana kutoka kwa JK zaidi ya hayo yaliyofanyika na hali halisi haiko hivyo.
Msisahau na usambazaji wa ARVs Feki nayo ni mafanikio makubwa sana
Follow Us Here