BRT (BUS RAPID TRANSIT) ya jiji la Dar yatajulikana kama DART dar es salaam rapid transit, yanajulikana kama mabasi yaendayo kasi kwa kuwa yanakua na barabara zao maalumu na pekee, na sio yana mwendo wa kasi kama watu wengi hufikiria, watu wengi hujiuliza mwendo kasi barabara zenyewe ziko wapi dar? mabasi haya yanakua na njia zake amabazo magari mengine hayataruhusiwa kupita, na kuyafanya yawe ya haraka kwani hayatakua na foleni, (BRT ONLY) ni njia ya mabasi hayo tuu, sijui kama wabongo watakua wastaarabu kwa kuheshimu njia hizi, wakazi wanatumia morogoro road wataanza kunufaika na mradi huu, kwani awamu ya kwanza ishaanza .kama una picha yoyote ya kituo au chochoke kinachohusu mradi huu tafadhani share, thanks
Phase 1
There will be 6 phases in total
Site of Kivukoni (Ferry) Terminal








Reply With Quote







Follow Us Here