JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

  Report Post
  Results 1 to 14 of 14
  1. Baba Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2008
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 863
   Rep Power : 834
   Likes Received
   103
   Likes Given
   677

   Default Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   JEDWALI BINAFSI (PERSONAL CHART)

   JEDWALI BINAFSI.doc

   Pakua jedwali kamili katika kiambatanishi (download full personal chart in the attachment).
   Ni-PM kwa maelezo zaidi

   CHANZO:
   JINA LA KITABU: LOVE AND LIFE, BILLINGS METHODS OF NATURAL FAMILY PLANNING
   MTUNZI: DOKTA LEONIE P McSWEENEY, M. M. M.
   OFISI: M. M. M. HOSPITAL, ONDO NIGERIA.
   TOLEO: TOLEO LA SITA (6th Edition) 1984 (kimechapwa tena mwaka 1987 na 1989 kwa masahihisho kidogo).
   MCHAPAJI: AFRICAN UNIVERSITIES PRESS, IBADAN
   Last edited by Baba Mtu; 23rd December 2010 at 06:44.
   MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
   (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

  2. NILHAM RASHED's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Posts : 1,629
   Rep Power : 873
   Likes Received
   39
   Likes Given
   47

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   babu mtu hujambo weye?????? Umeamkaje???

  3. #3
   Tores's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th November 2010
   Posts : 361
   Rep Power : 619
   Likes Received
   140
   Likes Given
   113

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   asante mkuu!

  4. Baba Watoto's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Posts : 98
   Rep Power : 560
   Likes Received
   15
   Likes Given
   23

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Ok Ok\!!!!!

  5. #5
   Elli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 18,675
   Rep Power : 429500849
   Likes Received
   8416
   Likes Given
   7414

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Asante sana, sasa nipo kwa mobile ya china siwezi pakua hiyo file, kama utaweza naomba nitumie kwene kwene PM maana nimechoka kupumzishwa kinguvu, yaani unatoka huko na nguvu kama nyati, ukija aaah unakumbuka kua hayo ni maeneo ya penati huruhusiwi kucheza rafu....unaishia kununa!

  6. Baba Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2008
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 863
   Rep Power : 834
   Likes Received
   103
   Likes Given
   677

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Quote By Elli View Post
   Asante sana, sasa nipo kwa mobile ya china siwezi pakua hiyo file, kama utaweza naomba nitumie kwene kwene PM maana nimechoka kupumzishwa kinguvu, yaani unatoka huko na nguvu kama nyati, ukija aaah unakumbuka kua hayo ni maeneo ya penati huruhusiwi kucheza rafu....unaishia kununa!
   Mkuu nimeshindwa ku-attach file ktk pm sababu siioni icon ya attachment. Kama hautajali nkutumie katika email
   MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
   (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

  7. Baba Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2008
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 863
   Rep Power : 834
   Likes Received
   103
   Likes Given
   677

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Quote By NILHAM RASHED View Post
   babu mtu hujambo weye?????? Umeamkaje???
   Aah!! Laazizi, nyonga mkalia ini, asali wa moyo wangu, mie sijambo, nashukuru nimeamka salama. Nlikuwa namsaidia ivuga kutatua tatizo linalomkabili ndo maana nlikuwa kimya.
   Soma hapa ( Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli?) uone tatizo lake.
   Inshallah mwisho wa wiki hii ntakuja huko oman kukamilisha taratibu za mahari ili tuwe mwili mmoja. Ntakuja na mtoto mtu, ana hamu ya kukuona live.
   MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
   (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

  8. NILHAM RASHED's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Posts : 1,629
   Rep Power : 873
   Likes Received
   39
   Likes Given
   47

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   mimi simo! mimi simo!! tena siiimooo
   Quote By Baba Mtu View Post
   Aah!! Laazizi, nyonga mkalia ini, asali wa moyo wangu, mie sijambo, nashukuru nimeamka salama. Nlikuwa namsaidia ivuga kutatua tatizo linalomkabili ndo maana nlikuwa kimya.
   Soma hapa ( Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli?) uone tatizo lake.
   Inshallah mwisho wa wiki hii ntakuja huko oman kukamilisha taratibu za mahari ili tuwe mwili mmoja. Ntakuja na mtoto mtu, ana hamu ya kukuona live.

  9. Tambara Bovu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th December 2007
   Posts : 586
   Rep Power : 819
   Likes Received
   132
   Likes Given
   243

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   yaani huwez amin mpaka leo siwezagi kusoma hayo majedwali.nimefungua la kwako lakini naona chuya tu.sijui hata nijisaidiaje
   KIROHO SAFI TU KIKWETE UNGEANDIKA KATIBA YAKO NA KUIPITISHA TU KULIKO KUTUHADAA WATANZANIA:-

  10. Muinjilisti's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th December 2010
   Posts : 105
   Rep Power : 562
   Likes Received
   40
   Likes Given
   3

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Kwa kweli sijalielewa kabisa? Labda kwa kutusaidia utupe maelezo. Maana najua mzunguko ni siku 28 au 21, sasa la kwako limeenda siku 33!

  11. Baba Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2008
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 863
   Rep Power : 834
   Likes Received
   103
   Likes Given
   677

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Quote By NILHAM RASHED View Post
   mimi simo! mimi simo!! tena siiimooo
   Lakini kaa ujue kuwa iko siku utakuwemo!!!!, and is very soon!!
   MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
   (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

  12. Baba Mtu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2008
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 863
   Rep Power : 834
   Likes Received
   103
   Likes Given
   677

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Quote By FirstLady View Post
   yaani huwez amin mpaka leo siwezagi kusoma hayo majedwali.nimefungua la kwako lakini naona chuya tu.sijui hata nijisaidiaje
   Quote By Muinjilisti View Post
   Kwa kweli sijalielewa kabisa? Labda kwa kutusaidia utupe maelezo. Maana najua mzunguko ni siku 28 au 21, sasa la kwako limeenda siku 33!
   Hizo siku 33 bado ni chache kwani mara nyingine inafika hadi 45 days kutegemeana na mwili wa mwanamke, na ndio maana familia zinakosa watoto au zinapata watoto wasiowatarajia; sababu wanapishana na OVULATION. Naomba ufute ile nadharia kuwa siku ya 14 au 15 ndio siku hatari kujamiiana.
   Msijali nitawaelezeeni vizuri wakti mwengine leo muda hautoshi, baba mtu niko kwa ajili ya kujenga na si kubomoa. Ntakutumieni ktk pm zenu.
   MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
   (I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)

  13. Kimbweka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2009
   Posts : 8,574
   Rep Power : 7493
   Likes Received
   1572
   Likes Given
   137

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   mmh ya kweli haya
   "Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."

  14. daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd June 2009
   Posts : 1,266
   Rep Power : 872
   Likes Received
   699
   Likes Given
   313

   Default Re: Njia ya uzazi wa mpango wa asili (natural birth control)

   Baba Mtu na mi naomba maelezo hata kwa pm ikibidi,tafadhali okoa jahazi

  Similar Topics

  1. Njia gani ya uzazi wa mpango ni salama?
   By MziziMkavu in forum JF Doctor
   Replies: 37
   Last Post: 25th October 2012, 10:33
  2. Nisaidien kuhusu hizi njia za uzazi wa mpango!
   By tete'a'tete in forum JF Doctor
   Replies: 3
   Last Post: 17th November 2011, 17:19
  3. Mwanaume kufunga uzazi/ uzazi wa mpango
   By Mazogola in forum JF Doctor
   Replies: 3
   Last Post: 4th November 2011, 12:03
  4. njia gani nzuri ya birth control
   By unlucky in forum JF Doctor
   Replies: 28
   Last Post: 6th September 2011, 16:39
  5. Natural Birth Control Methods
   By Giro in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 10
   Last Post: 29th April 2010, 10:00

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...