JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wakumaliza nae mwaka.

  Report Post
  Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast
  Results 61 to 80 of 104
  1. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default Wakumaliza nae mwaka.

   Wapendwa wana Jf, kama tunavyoona mwaka ndo huo unamalizikia, mimi Mamushka ninatafuta mtu wa kumaliza nae mwaka. Sifa. Awe mwanaume mrefu, mweusi kiasi, aliejazia kakomaa mwili kidogo ila sio usoni iwe kwa mazoezi au ndo alivyozaliwa haijalishi. Kazi yake sio muhimu sana kwangu japo engineer ntampa kipau mbele, asiwe mlevi ila awe anakunywa kwa raha zake na si kupunguza mawazo, anaejua ku enjoy, kuogelea. Cost yote ya safari ni juu yangu . ITINERARY itakua kama ifuatavyo five dayz on safari, by Charter plane from DIA terminal one to Krigler airstrip Selou game reserve. Kupokelewa na Serena tranport to Mivumo Lodge, tutakaa two nights full board, King size bed, Game drive, Massage from a beatuful masseuse , Sundown with glass of cocktail,Bush dinner na pia tukishudia Lion in honeymoon. Then tutarudi DIA to Znz hapo tutaunganisha kwenda Nungwi Zanzibar for three nights full board, fishing, diving, swimming bila kusahau ku enjoy chakula kizuri na fresh from our beautiful country, kwakeli tutakua busy sana na ku enjoy .CONDITIONS. Lazima mtu huyo akubali mwaka mpya utukutie kanisani tukisali kokote tutakapo kua. Then tutarudi na kila mtu ataaendelea na mwaka wake mpya na mambo yake mengine kama kawaida. Ambaye yuko interested awasiliane na mimi. Kwa wengine wote I wish you Merry x-mas and Happy new year guyz. Nawapenda wote nawapenda sana wana Jf.

  2. Wameiba Kura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th November 2010
   Location : Between legs of a woman
   Posts : 390
   Rep Power : 642
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Wakumaliza nae mwaka.

   Aaahh Mamushka bana, ww unaongelea external things tu, vitu vya utu uzima hujagusia bana, sasa mtu mzima hata umpe kila kitu, hujasema
   ukiwa uchi utampa nini? ulivyo vitaja vyote ni kwa watoto ujagusa core part, ON BED bana, vp unakwenda pwani? Tupo tayari bana, ila for a dy only i am occupied na my lover, ila just for a day, blow jobs etc hivi ndio vitu vya kusema bana, kuogelea, chakula, vinywaji, sijui selous hivi ni nadharia tu, ON BED vyote vipo in one, ila mm mrefu saana

  3. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Kimbweka View Post
   eeh sorry nipo tayari kupima yukajivinjari sikukuu
   Poa chagua hospital yeyote mi ntakwenda na wewe.

  4. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Husninyo View Post
   mzungu anamind swaga za tz huko huko alipo.
   Aje tumpe raha duniani.

  5. Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,247
   Rep Power : 4467
   Likes Received
   3567
   Likes Given
   6900

   Default Re: Wakumaliza nae mwaka.

   Mbona mambo yamekaa kama " bongo tambarale, unakula bila kutoa jasho"?
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  6. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Mokoyo View Post
   Haya bidada, kuhusu kuenjoy wala husipate tabu maana natumia ndukay
   Eee hiyo ndukai ndio gani tena? Makoyo usije ukaninyonyesha kobe bureee.

  7. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Papizo View Post
   Guys kumbe sikuhizi na sisi wanaume tumeendelea kweli sisi ndio wa kwanza kuuliza kama kuna kupima duu sio mchezo yaani..Kitumbua kinaliwa tu kama mambo yanalipa sio mpaka kuuliza...ila hapo na mashaka..Mimi nipo out hapo umri hauniruhusu ila kama ungeshusha kama miaka 3 ingekuwa powa kabisa, nadhani ningefit hiyo sehemu kwa kila kitu!!
   Ooh pole, mi mwenyewe na hitaji anaenizi umri ndo na feel secure.., nikishuka chini ntaonekana suga mami mwee.

  8. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Mbu View Post
   ...kumbe ni wewe uliyefanya hizi bookings?
   Anyway,...i reserve further comments.
   Enjoy the festive season.
   Yeah waz me my dear, thank you very very much for your customer care and kindness.

  9. Tangawizi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2009
   Posts : 1,066
   Rep Power : 848
   Likes Received
   250
   Likes Given
   278

   Default Re: Wakumaliza nae mwaka.

   Mbona hujanitumia hiyo picha sasa nifanye assessment wakati huu nataka kulala???? By the way, why specifically engineer? Kuna engineeer amekupagawisha nini??

  10. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Wameiba Kura View Post
   Aaahh Mamushka bana, ww unaongelea external things tu, vitu vya utu uzima hujagusia bana, sasa mtu mzima hata umpe kila kitu, hujasema
   ukiwa uchi utampa nini? ulivyo vitaja vyote ni kwa watoto ujagusa core part, ON BED bana, vp unakwenda pwani? Tupo tayari bana, ila for a dy only i am occupied na my lover, ila just for a day, blow jobs etc hivi ndio vitu vya kusema bana, kuogelea, chakula, vinywaji, sijui selous hivi ni nadharia tu, ON BED vyote vipo in one, ila mm mrefu saana
   Ooh nasikitika umeshindwa kufikia vigezo mpendwa, kwanza tayari una plan zako na hii safari imesha andaliwa na booking tayari, na siwezi ku kanseli safari. Niya five dayz sio one day pole sana ume fail. Nenda tu kwa kimwana wako trip hii inahitaji mtu anaemaanisha.

  11. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Ndahani View Post
   Mbona mambo yamekaa kama " bongo tambarale, unakula bila kutoa jasho"?
   Usiogope natoa shukurani kwa kumaliza mwaka salama.

  12. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By Tangawizi View Post
   Mbona hujanitumia hiyo picha sasa nifanye assessment wakati huu nataka kulala???? By the way, why specifically engineer? Kuna engineeer amekupagawisha nini??
   Ntatuma, hapana hakuna alie nipagawisha na penda engineer tu yeyote, kwakua ni rahisi hata kama hana likizo atweza tunga safari ya site, then tutaenda.

  13. SUNGUSIA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 232
   Rep Power : 610
   Likes Received
   14
   Likes Given
   6

   Default Re: Wakumaliza nae mwaka.

   Acha kuota amka kafanye kazi trip sinza mwisho kona bar ikizidi sana kwa Jide......
   Be peaceful, be courteous, obey the law, respect everyone; but if someone puts his hand on you, send him to the cemetery.

  14. Papizo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2008
   Location : What for??
   Posts : 3,989
   Rep Power : 243306
   Likes Received
   589
   Likes Given
   3088

   Default Re: Wakumaliza nae mwaka.

   Quote By Mamushka View Post
   Ooh pole, mi mwenyewe na hitaji anaenizi umri ndo na feel secure.., nikishuka chini ntaonekana suga mami mwee.
   Sawa Mamushka nimepokea jibu lako,haya kila lakheri huko, ila ungeshusha hiyo miaka hapo,Humu ndani watu wote ni mature hamna mtoto humu.....Haya guys mjitokeze sasa kazi kwenu....unakula raha bila gharama!!

  15. BelindaJacob's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th November 2008
   Location : Burdeos
   Posts : 5,745
   Rep Power : 200068756
   Likes Received
   2298
   Likes Given
   1955

   Default Re: Wakumaliza nae mwaka.

   Quote By Mbu View Post
   ...kumbe ni wewe uliyefanya hizi bookings?
   Anyway,...i reserve further comments.
   Enjoy the festive season.
   Mbu bana si ukapate hii adventure ya holiday season? mamushka ameweka kila kitu wazi,ni kufurahia maisha nothing else..
   Je pense à toi. Gros Gros Bisou!!!

  16. tzjamani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th October 2010
   Posts : 999
   Rep Power : 776
   Likes Received
   26
   Likes Given
   96

   Default Re: Wakumaliza nae mwaka.

   Quote By Mamushka View Post
   Wapendwa wana Jf, kama tunavyoona mwaka ndo huo unamalizikia, mimi Mamushka ninatafuta mtu wa kumaliza nae mwaka. Sifa. Awe mwanaume mrefu, mweusi kiasi, aliejazia kakomaa mwili kidogo ila sio usoni iwe kwa mazoezi au ndo alivyozaliwa haijalishi. Kazi yake sio muhimu sana kwangu japo engineer ntampa kipau mbele, asiwe mlevi ila awe anakunywa kwa raha zake na si kupunguza mawazo, anaejua ku enjoy, kuogelea. Cost yote ya safari ni juu yangu . ITINERARY itakua kama ifuatavyo five dayz on safari, by Charter plane from DIA terminal one to Krigler airstrip Selou game reserve. Kupokelewa na Serena tranport to Mivumo Lodge, tutakaa two nights full board, King size bed, Game drive, Massage from a beatuful masseuse , Sundown with glass of cocktail,Bush dinner na pia tukishudia Lion in honeymoon. Then tutarudi DIA to Znz hapo tutaunganisha kwenda Nungwi Zanzibar for three nights full board, fishing, diving, swimming bila kusahau ku enjoy chakula kizuri na fresh from our beautiful country, kwakeli tutakua busy sana na ku enjoy .CONDITIONS. Lazima mtu huyo akubali mwaka mpya utukutie kanisani tukisali kokote tutakapo kua. Then tutarudi na kila mtu ataaendelea na mwaka wake mpya na mambo yake mengine kama kawaida. Ambaye yuko interested awasiliane na mimi. Kwa wengine wote I wish you Merry x-mas and Happy new year guyz. Nawapenda wote nawapenda sana wana Jf.
   Hapo red..... vipi?
   Ni kwa kuomba msamaha kwa dhambi au kutoa shukurani kwa Mungu au mengine.................msaada tafadhali.

  17. Chapa Nalo Jr's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2010
   Posts : 3,023
   Rep Power : 85900622
   Likes Received
   636
   Likes Given
   267

   Unamaanisha kanisa linalomuabudu Mungu wa Ukweli na alie Hai? Usitanie hiyo kitu.

  18. Derimto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 1,292
   Rep Power : 831
   Likes Received
   285
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By Tangawizi View Post
   Mbona hujanitumia hiyo picha sasa nifanye assessment wakati huu nataka kulala???? By the way, why specifically engineer? Kuna engineeer amekupagawisha nini??
   Kaka tulia nikupe angalao wasifu wa huyu binti japo kidogo tu ni mrefu kimtindo maji ya kunde na shepu nzuri ya wastani ana mvuto fulani ambapo ukichunguza kiundani sana file lake ni kama anatoka maeneo ya nchi jirani vile Burundi au Rwanda ila ki ukweli ni mcheshi na rafiki anafiti sehemu yoyote anaweza kuendana na mtu yeyote kifupi yuko poa ila washamba wa mahusiano huwa wanamsumbua sana kichwa kama haujatulia mwache amtafute wake akatulize roho. 4more detail np.

  19. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By SUNGUSIA View Post
   Acha kuota amka kafanye kazi trip sinza mwisho kona bar ikizidi sana kwa Jide......
   Naota mimi wewe, kona bar na kwa jide sijawahi paskia ndo wapi huko? Kijijini?

  20. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By BelindaJacob View Post
   Mbu bana si ukapate hii adventure ya holiday season? mamushka ameweka kila kitu wazi,ni kufurahia maisha nothing else..
   Mwambie huyo, cha muhim ujue ku enjoy tu.

  21. Mamushka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2010
   Posts : 1,614
   Rep Power : 924
   Likes Received
   91
   Likes Given
   141

   Default

   Quote By tzjamani View Post
   Hapo red..... vipi?
   Ni kwa kuomba msamaha kwa dhambi au kutoa shukurani kwa Mungu au mengine.................msaada tafadhali.
   Swali zuri sana mtu wangu, kwa kawaida msamaha hua tunatakiwa kumuomba mungu kabla hatuja vuka mwaka, then siku hiyo ni shukurani kwa kuvuka na kuanza mwaka mwingine kwa baraka.

  Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast

  Similar Topics

  1. Replies: 19
   Last Post: 21st October 2011, 00:10
  2. Replies: 4
   Last Post: 2nd August 2011, 14:01
  3. Replies: 1
   Last Post: 18th April 2011, 22:15
  4. Hivi hii ni kawaida, nahisi mwaka mwaka unaisha vibaya kwangu
   By Gudboy in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 31
   Last Post: 3rd January 2011, 17:30
  5. Mwaka unaisha:je hivi mwaka huu umefanya tendo la ndoa mara ngapi?
   By Iteitei Lya Kitee in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 21
   Last Post: 21st December 2010, 15:01

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...