JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. Kimbweka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2009
   Posts : 8,577
   Rep Power : 7511
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   137

   Default Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   PILIPILI
   Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka.
   Kwenye pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali ambao huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo katika hali ya juu huleta mgusu wa hisia za raha.
   Pia pilipili husisimua mfumo wa ufahamu (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kumshwa haraka kimapenzi (kunyegeka) na pia ili ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa uweze kupata hisia kila sehemu
   MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.
   Mlo wenye matunda na mboga za majani una matokeo makubwa sana katika hamu ya tendo la ndoa kwa njia nyingi.
   Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (cholesterol), kuongezeka kwa mafuta mwilini huzuia mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu.
   Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwani unene (obesity) kwa wanaume kuna matokeo mabaya katika kuzalisha homeni za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na libido kidogo.
   Na pia wanandoa wanapozidi kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia au kutaka au hamu ya tendo la ndoa huzidi kupungua.
   NAFAKA
   Nafaka zina nyuzinyuzi (fibre) na sukari ngumu (complex sugar) ambazo kusaidia kutunza uzito wa mwili.
   Nafaka husaidia katika kuzalisha homoni za testosterone kwenye damu.
   Na pia nafaka huwezesha mtu kuwa na nguvu hatimaye kwenda masafa marefu wakati wa tendo.
   Kula nafaka nzima kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri linalokuhakikisha afya nejama na mahusiano mazuri ya ndoa yako
   TANGAWIZI
   Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume.
   Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa au kuanikwa na kuwa kama unga.   ASALI
   Asali ina madini yanayoitwa boron, ambayo husaidia mwili kutumia homoni ya estrogen ambayo ni homoni inayohusika na viungo ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke.
   Pia kuna utafiti unaoonesha kwamba asali huongeza nguvu, kitendo ambacho kitapelekea mwanamke kuwa uwezo na hamu ya tendo la ndoa au libido.   KARANGA
   Karanga huhusika moja kwa moja na kutunza mfumo wa mzunguko wa damu kuwa na afya (vascular system).
   Pia mfumo wenye afya (mzunguko wa damu) katika uke na uume huwezesha mwanaume na mwanamke kupata msisimko wa mapenzi haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa zuri.
   Pia karanga zina madini muhimu kama vile magnesium, asidi ya folic na zinc ambayo ni muhimu sana katika usalishaji wa mbegu za mwanaume.


   OYSTERS
   Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume.
   Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc huwa na matatizo ya nguvu za kiume na wakati huohuo kuwa na madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa.


   SOYA
   Pamoja na kuwa na kiwango kidogo sana cha fat na pia kuwa na kiwango kizuri cha protein, soya zina phytoestrogens ambayo husaidia sana wanawake ambao wamefikia menopause kutengeneza homoni estrogen ya ziada.
   Husaidia uke kuwa laini (wet, lubricated) mwanamke akisisimliwa wakati wa tendo la ndoa.


   CHOCOLATE
   Chocolate ina phenylethylamine, kemikali ambayo husababisha hisia (feelings) za furaha wakati wa mwanamke au mwanaume kufika kileleni (orgasm)
   "Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."


  2. MadameX's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2009
   Location : Timbaktu
   Posts : 7,834
   Rep Power : 24844
   Likes Received
   3731
   Likes Given
   1784

   Default Re: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   I heard ndizi mbichi also which part of matunda

  3. #3
   Elli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2008
   Location : Kijito-Upele
   Posts : 19,811
   Rep Power : 429501094
   Likes Received
   9057
   Likes Given
   7695

   Default Re: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   Asante sana sana, nafikiri wengi wakitumia hii diet Dk Manyuki hatapata wateja! asante saana, nina karanga zangu ndani na asali mbichi hebu ngoja nitafanya practical nione kazi yake kwa karanga sina tatizo!!!

  4. #4
   Nduka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2008
   Posts : 7,936
   Rep Power : 29758452
   Likes Received
   1294
   Likes Given
   748

   Default Re: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   Quote By Kimbweka View Post
   OYSTERS
   Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zaidi na uzalishaji wa homoni ya testosterone kwa wanaume.
   [CENTER][CENTER][FONT=&quot]Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinc huwa na matatizo ya nguvu za kiume na wakati huohuo kuwa na madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa.
   Hapa na Pweza wanahusika kidogo.
   I am super bad

  5. TANMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Tanzagiza
   Posts : 8,728
   Rep Power : 15037363
   Likes Received
   3975
   Likes Given
   5014

   Default Re: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   Baada ya kupata huo mlo ongezea na zeoezi kidogo la viungo.. Linasaidia kuweka sawa mapigo ya moyo na moja kwa moja kurahisisha msukumo wa damu mwilini...
   Do Something......


  6. #6
   Pamba's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Posts : 28
   Rep Power : 567
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   Saga tende na maziwa iwe kama juice kunywa kwa siku saba

  7. Kimbweka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2009
   Posts : 8,577
   Rep Power : 7511
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   137

   Default Re: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   sawa kabisa
   "Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."

  8. hashycool's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2010
   Location : network search....
   Posts : 5,566
   Rep Power : 1711
   Likes Received
   785
   Likes Given
   267

   Default Re: Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa

   uji wa shurba watengenezewa na nini vile?
   the safest place to hide from the police is the police station!


  Similar Topics

  1. Replies: 10
   Last Post: 10th October 2015, 13:57
  2. Vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa
   By Felixonfellix in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 32
   Last Post: 6th October 2014, 01:25
  3. Kutojisikia hamu ya kushiriki tendo la ndoa!!
   By NGWANAMWELUNGA in forum JF Doctor
   Replies: 2
   Last Post: 17th July 2011, 17:37
  4. Vyakula vya boarding schools, vinapunguza hamu ya ngono?
   By Sniper in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 0
   Last Post: 24th February 2011, 09:41

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...