Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

    Report Post
    Results 1 to 20 of 20
    1. #1
      Kashaijabutege's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Location : Kabuteigi
      Posts : 1,951
      Rep Power : 833
      Likes Received
      381
      Likes Given
      241

      Default NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Wana JF

      Nilitangaza humu jamvini kuwa natafuta jimama lililoachika mara tatu. Nimepata mijimama zaidi ya 100, nikashortlist na sasa nimebaki na mmoja ambaye kabila ni ------ wa Msata. Pamoja na kuwa ameachika mara tatu, kwa mila za Kikwere ni lazima nichumbie tena. Amesema kwa mila zao mshenga inabidi aende Msata na ni lazima awe anajua Kikwere na mila zao. Binafsi jimama nimelipenda, kwani limekaa kisawa sawa na hakika halina 'chinese' modification.

      Ombi langu ni kwenu wanaJF kama kuna mwanaume anayejua Kikwere, au anamjua mtu yeyote anayejua lugha hiyo, naomba anisaidie.

    2. #2
      bacha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th August 2010
      Posts : 3,928
      Rep Power : 1241
      Likes Received
      635
      Likes Given
      1288

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      ANGALIZO!
      Huko ukwereni uwe tayari kuwa wanaume wenzio kama 5, wa kukusaidi kwa huyo mama!
      katerero sio dili kwao!!!
      NYUKI hapigwi BUSU........................

    3. #3
      Who Cares?'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2008
      Location : JUPITER PLANET
      Posts : 1,389
      Rep Power : 839
      Likes Received
      569
      Likes Given
      279

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      mie namjua... kuna ------ mmoja ni...yap..anaitwa jey-kei...nitakupa namba yake umpigie
      if we die the next generation will fight them too..and the one after them untill the victory is on our side

    4. #4
      Pasco_jr_ngumi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Posts : 1,555
      Rep Power : 707
      Likes Received
      185
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By Kashaijabutege
      Wana JF

      Nilitangaza humu jamvini kuwa natafuta jimama lililoachika mara tatu. Nimepata mijimama zaidi ya 100, nikashortlist na sasa nimebaki na mmoja ambaye kabila ni ------ wa Msata. Pamoja na kuwa ameachika mara tatu, kwa mila za Kikwere ni lazima nichumbie tena. Amesema kwa mila zao mshenga inabidi aende Msata na ni lazima awe anajua Kikwere na mila zao. Binafsi jimama nimelipenda, kwani limekaa kisawa sawa na hakika halina 'chinese' modification.

      Ombi langu ni kwenu wanaJF kama kuna mwanaume anayejua Kikwere, au anamjua mtu yeyote anayejua lugha hiyo, naomba anisaidie.
      Hili Tangazo kabandike ikulu, jamaa aksoma mnaenda nae! Cha msng mpromise umpe kdem kazur toka kabila lenu!

    5. #5
      Masanilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2007
      Location : Swat valley, Keta Keta
      Posts : 19,239
      Rep Power : 5506
      Likes Received
      3577
      Likes Given
      1984

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Mtafute MJF mmoja anaitwa Kigogo! Ni ------ kwa asilia

      Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
      CCM is enemy of GOD

    6. #6
      NILHAM RASHED's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th November 2010
      Posts : 1,629
      Rep Power : 763
      Likes Received
      33
      Likes Given
      47

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      MSHENGA ni mtu gani??msaada tu jamani nifaham, please?

    7. #7
      Dena Amsi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th August 2010
      Location : Saayo
      Posts : 11,902
      Rep Power : 8742
      Likes Received
      3191
      Likes Given
      1594

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Tumeingiliwa aisee aaakkkh
      A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"

    8. #8
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,970
      Rep Power : 2635
      Likes Received
      2297
      Likes Given
      2067

      Default

      Cheki a JeyKey kama hataenda ughaibuni hivi karibuni uchonge nae au mvizie anavyokwenda pale chalinze mzee alipojenga yale mahekalu yake umwombe ajivute mpaka hapo msata sio mbali sana nadhani ni kama km 20 tu! atakubali ila warning; usijekubali aondoke nae maana naskia aaaanhhhh

    9. #9
      genekai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2010
      Location : Loitering!
      Posts : 7,680
      Rep Power : 2119
      Likes Received
      1152
      Likes Given
      1601

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Nilifikiri umempata yule binti wa sinbad wetu!
      The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders

    10. #10
      cheusimangala's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2010
      Posts : 2,597
      Rep Power : 1000
      Likes Received
      442
      Likes Given
      608

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By NILHAM RASHED
      MSHENGA ni mtu gani??msaada tu jamani nifaham, please?
      jamani shosti wangu wewe mambo mengi hufahamu,tupange muda nikupe darasa la KISWAHILI CHA KISASA lkn neno mshenga mbona sio jipya?
      A baby is something you carry inside you for nine months, in your arms for three years and in your heart till the day you die

    11. #11
      Kashaijabutege's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Location : Kabuteigi
      Posts : 1,951
      Rep Power : 833
      Likes Received
      381
      Likes Given
      241

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By cheusimangala
      jamani shosti wangu wewe mambo mengi hufahamu,tupange muda nikupe darasa la KISWAHILI CHA KISASA lkn neno mshenga mbona sio jipya?
      Cheusi. Nakumiss!

    12. #12
      Preta's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : yaeda chini
      Posts : 14,952
      Rep Power : 15150
      Likes Received
      7369
      Likes Given
      7051

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By NILHAM RASHED
      MSHENGA ni mtu gani??msaada tu jamani nifaham, please?
      Nilham.....mshenga ni mtu ambaye anatumwa kupeleka posa kwa wazazi wa binti....
      Life is too short to waste time hating anyone.........

    13. #13
      hashycool's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2010
      Location : network search....
      Posts : 4,957
      Rep Power : 1461
      Likes Received
      559
      Likes Given
      141

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By preta
      nilham.....mshenga ni mtu ambaye anatumwa kupeleka posa kwa wazazi wa binti....
      senkiyu in adivansi
      hivi vrusi vya H.I.V na wewe nani mchokozi?

    14. #14
      Preta's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : yaeda chini
      Posts : 14,952
      Rep Power : 15150
      Likes Received
      7369
      Likes Given
      7051

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By hashycool
      senkiyu in adivansi
      halafu wewe hii avatar yako mimi inanifanya......aaaahhhh
      Life is too short to waste time hating anyone.........

    15. #15
      hashycool's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2010
      Location : network search....
      Posts : 4,957
      Rep Power : 1461
      Likes Received
      559
      Likes Given
      141

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By preta
      halafu wewe hii avatar yako mimi inanifanya......aaaahhhh
      inakufanya nini?
      hivi vrusi vya H.I.V na wewe nani mchokozi?

    16. #16
      Preta's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 28th November 2009
      Location : yaeda chini
      Posts : 14,952
      Rep Power : 15150
      Likes Received
      7369
      Likes Given
      7051

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By hashycool
      inakufanya nini?
      inanifanya nikuogope
      Life is too short to waste time hating anyone.........

    17. #17
      hashycool's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2010
      Location : network search....
      Posts : 4,957
      Rep Power : 1461
      Likes Received
      559
      Likes Given
      141

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By Preta
      inanifanya nikuogope
      so full of serenity of mind, gentleness, silence, self-restraint, and the purity of mind ITS WHOM THEY call the austerity...usimuogope bana
      hivi vrusi vya H.I.V na wewe nani mchokozi?

    18. #18
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,918
      Rep Power : 16836
      Likes Received
      2633
      Likes Given
      2026

      Default

      Quote By NILHAM RASHED
      MSHENGA ni mtu gani??msaada tu jamani nifaham, please?
      Are you serious!!

    19. #19
      hashycool's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2010
      Location : network search....
      Posts : 4,957
      Rep Power : 1461
      Likes Received
      559
      Likes Given
      141

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Quote By Katavi
      Are you serious!!
      i bet she was
      hivi vrusi vya H.I.V na wewe nani mchokozi?

    20. #20
      BLUE BALAA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th November 2010
      Posts : 836
      Rep Power : 606
      Likes Received
      59
      Likes Given
      0

      Default Re: NATAFUTA MSHENGA ANAYEJUA Kikwere.

      Ongea na Rizi one, mzee yuko Ubelgiji

    Similar Topics

    1. Busu la Kikwere.....
      By Masanilo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 17
      Last Post: 24th October 2011, 16:02
    2. Naomba JF iwe mshenga
      By Mulama in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 109
      Last Post: 4th August 2011, 22:36
    3. Mshenga kazua balaa
      By Edmund in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 15
      Last Post: 1st June 2011, 10:00
    4. Mshenga!!!!!
      By Katavi in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 37
      Last Post: 1st April 2011, 12:36
    5. He mjukuu wangu wee wa Kikwere.
      By Mwiba in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 3
      Last Post: 26th February 2009, 17:58

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...