JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono

  Report Post
  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 41 to 60 of 76
  1. Mhafidhina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th February 2008
   Location : Cyber space
   Posts : 549
   Rep Power : 817
   Likes Received
   11
   Likes Given
   9

   Default Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono

   Jamani naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...!
   I am not the best but I am not like the rest


  2. englibertm's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st May 2009
   Posts : 7,772
   Rep Power : 109178607
   Likes Received
   4211
   Likes Given
   21

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By GUSEPE View Post
   mkuu nimemaliza STD 7 mwaka 1989!
   ndio maanaa unauliza.

  3. samilakadunda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2011
   Posts : 1,571
   Rep Power : 830
   Likes Received
   240
   Likes Given
   25

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   pia nimegundua, tatle ya habari"Picha za Ngono" mijitu ikisoma tu haraka anadhani atakutana na Mimuve ya xxx, ndiomana hawatoe jibu la swali.

  4. englibertm's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st May 2009
   Posts : 7,772
   Rep Power : 109178607
   Likes Received
   4211
   Likes Given
   21

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By fabinyo View Post
   1.Style
   2.Starter
   3. Appetizer
   du unaonekana unazifuatilia sana pale UD enzi zetu zile za mwalimu kuanzia saa 4 usiku pale ATB zilkua zinaonyeshwa pale na zilikuwa zinaitwa vitafunio

  5. fabinyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2011
   Posts : 2,042
   Rep Power : 994
   Likes Received
   439
   Likes Given
   296

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By englibertm View Post
   du unaonekana unazifuatilia sana pale UD enzi zetu zile za mwalimu kuanzia saa 4 usiku pale ATB zilkua zinaonyeshwa pale na zilikuwa zinaitwa vitafunio
   mie sio wa UD,wala sijawahi kukanyaga huko!mie wa vibanda umiza mjomba!

  6. Mwanamalundi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2007
   Posts : 2,672
   Rep Power : 10330071
   Likes Received
   931
   Likes Given
   377

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By BAHARIAA View Post
   Nenda fecebook hapa sio mahala pake jinga sana wewe naukome kutuchafua humu ni thegreat pekee kwendraa
   Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!! Safi sana. You have made my day. Hizi mada za kitoto tuzikemee kwa nguvu zote. JF ni jukwa la heshima sio upuuzi. Once again, I salute you my brother!!


  7. Mwanamalundi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2007
   Posts : 2,672
   Rep Power : 10330071
   Likes Received
   931
   Likes Given
   377

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By MUYOOL View Post
   Kwa majibu haya unastahili kwenda Milembe Dodoma.Mtoa mada hana tatizo lolote kama huna cha kuchangia kaa kimya.
   Ha ha ha ha ha ha ha!!!!Aende milembe kwa matatizo yepi? Kukemea mada za kitoto zisizo na mashiko? Aende kule facebook. sio hapa. hapa ni jukwaa la heshima. Iwe mwanzo na mwisho kuleta mada zisizo na kichwa wala miguu. Kama hana mada, akae kimya, atulie, asome michango ya watu walioenda shule kama mzee mwanakijiji.

  8. Tutor B's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th June 2011
   Location : Mwanza City Tanzania
   Posts : 3,735
   Rep Power : 117963
   Likes Received
   1283
   Likes Given
   458

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By mwagisa View Post
   Chapa piga huyo kijana na anaangalizia sehem gan kwenye cm tv computer? Wakati huo ww unakuwa wap?
   wanaangalia wote, tena akiwepo na mama yake!
   "Ebya nyenkya bibyalwa mbwenu" = Mavuno ya kesho hupandwa leo.

  9. Moitalel's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th May 2010
   Posts : 89
   Rep Power : 607
   Likes Received
   8
   Likes Given
   2

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Mi sijui bana-Kaulize wengine.

  10. Speaker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th August 2010
   Posts : 6,356
   Rep Power : 37137
   Likes Received
   2191
   Likes Given
   5804

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By GUSEPE View Post
   Wajameni,naombeni mnijuze hasara na faida za kuangalia picha za ngono!
   Mkuu nime gundua swali lako ni zuri sana,sema ume uliza watu
   wenye matatizo mengi sana katika maisha yao,na wana tafutia pa kupumulia.

   Quote By GUSEPE View Post
   Wajua nataka kupata majibu sahih ya kumpa kijana wangu wa kiume bse anaangalia sana....
   Quote By GUSEPE View Post
   Ni wa ajili ya kumpa kijana wangu wa 15yrs majibu sahih
   Ni vizuri sana kama utakaa nae,muulize akimaliza kuangalia hua ana fanya nini?
   Ana faidika nini?
   Anaangalia kwa mda gani?
   Kuna nini ana jifunza?
   Alianza lini?
   Nani alimfundisha?

   Maswali haya yata kufanya ujue ni kipi ana pungukiwa,kama baba kaanae uongee nae ili ajue
   madhara ya kuangalia (ambayo ndio umetaka kujua hapa ili uongee nae,hatua nzuri)

   Quote By GUSEPE View Post
   Anaangalizia chumbani kwake kwenye computer...nimepiga saaaana
   Kilicho nisikitisha ni kwamba kila akiangalia una mpiga!!
   Kwanini unaona kumpiga ndio suluhisho la yeye kuto kuangalia?
   Ukimkuta anaangalia,(lazima utaona pia alicho kua anaangalia ) una jisikiaje?

   Kama ni vibaya,anzia hapo hapo,hilo ndio baya la kwanza la kumuonya nalo,...ukimpiga ataanza
   kuangalizia kwa marafiki (na huko akiangalia za wanaume kwa wanaume na yuko na rafiki zake
   itakua mbaya zaidi).Shukuru sana anaangalizia nyumbani,...usimpige.


   Quote By taamu View Post
   puchuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
   Haya ni moja kati ya matokeo ya kuangalia picha za ngono,ata jichua.
   Kujichua kuna faida na hasara zake,ina tegemea na anae jichua ana jichua hivo
   akiwa na mawazo gani,yuko na nani,na kwanini. Ni somo pana sana hili.

   Quote By mzabzab View Post
   porn inasaidia watu kuyopata ngoma...maana wanaangalia na kwenda kupiga nyeto.....wanawake wala huna shida nao tena.
   Kwa umri wake,hili nalo ni zuri kwa upande mmoja,ita mfanya asiwe na hamu na
   videmu,lakini kwa picha ya baadae sana,sio nzuri kwake. (faida za mda mfupi hizi)

   Kwa ufupi tu ni kwamba,mwambie sio nzuri kisaikolojia.
   Hadi ajue kupigana na saikolojia yake wakati ana litenda (kujichua,matokeo ya picha za ngono) hatakua
   ana faidika na picha hizo.

   Hasara nyingine ni kwamba asipo jichua,atatafuta dadapoa,ata kanyaga umeme na una mpenda sana
   kumpoteza.

   Quote By fabinyo View Post
   1.Style
   2.Starter
   3. Appetizer
   Angekua mtu mzima (kama wewe) haya ni muhimu sana,ila kama tu gari yako haiwaki
   hadi isukumwe.

   Asante.

   Mwisho.

   Quote By englibertm View Post
   ndio maanaa unauliza.
   Quote By Type View Post
   hakuna logic hapo, quity
   Engliberm , Type na wengine,....Hizi ni dharau za kijinga,hamna faida yoyote mnayo ipata kwa dhihaka hii.
   Don't over E.X.P.E.C.T ...

  11. #50
   bdo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th November 2006
   Posts : 3,022
   Rep Power : 1443
   Likes Received
   582
   Likes Given
   239

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   madhara yake kama wanao watakukuta unaangalia

  12. harakat's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Posts : 2,177
   Rep Power : 1100
   Likes Received
   508
   Likes Given
   61

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Hizi zinztumika kama stimu kwa watu ambao stimu ziko mbali na
   wakati mwingine kama darasa sasa wewe cjui unatakaje maana
   hata style nyingine huwezi kumpiga wife home utavunja ndoa

  13. theexalted's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th December 2012
   Posts : 14
   Rep Power : 456
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Dah! Acha niendelee kusoma comments kwanza...

  14. Bwaga ya moyoni's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st August 2012
   Posts : 149
   Rep Power : 500
   Likes Received
   71
   Likes Given
   31

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Kwanini usiende kwa wasanii wa Bongo Flava haswa wale wanaoamini bila kutaja ngono au mapenzi ni sawa na kuwa bado hawajaimba? Hapa siyo sehemu pa picha za ngono au bongo flava.

   Quote By GUSEPE View Post
   Wajameni,naombeni mnijuze hasara na faida za kuangalia picha za ngono!

  15. Bazazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2008
   Location : Mzururaji
   Posts : 1,660
   Rep Power : 1012
   Likes Received
   511
   Likes Given
   151

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Quote By GUSEPE View Post
   Wajameni,naombeni mnijuze hasara na faida za kuangalia picha za ngono!
   Madhara yake ni kutamani kulawitiwa qani utaona wanawake wanafaidi na kutamani kushindana nao.

   Bazazi ni Bazazi!
   Wanawake: Wanaume Hatuwezi kuishi bila ninyi lakini hatuwezi kuishi nanyi.

  16. ngoshwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st March 2009
   Location : everywhere
   Posts : 4,065
   Rep Power : 1563
   Likes Received
   725
   Likes Given
   1044

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   faida ni kujifunza ku ngonoka..hasara ni kushindwa kujimudu kufanya ngono bila nyenzo (kula chabo kwa wenzio wanapofanya ndio unyegeke)
   "Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.

  17. Jay One's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2010
   Posts : 7,076
   Rep Power : 199202581
   Likes Received
   658
   Likes Given
   7

   Default

   Quote By GUSEPE View Post
   Wajameni,naombeni mnijuze hasara na faida za kuangalia picha za ngono!

   Haina HASARA ... Ni raha tu

   -- KAMA NI DDUME itaongeza unene & urefu wa ROMBO

   -- Kama ni JIKE ukubwa wa k utakuwa as well...!!!

   Umeelewa...!!!

  18. Zuia Sayayi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2011
   Posts : 808
   Rep Power : 705
   Likes Received
   98
   Likes Given
   98

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Hakuna faida

  19. kiwatengu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Sing'isi Meru
   Posts : 11,598
   Rep Power : 429499238
   Likes Received
   6693
   Likes Given
   4150

   Default

   Quote By taamu View Post
   wewe una watoto kaka?
   Ndiyo ninaye na akiangalia nikijua tu, namfanya hasi! coz atakuwa hanisikilizi mimi baba yake, namfundisha sana maadili.

  20. #59
   Iyrn's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th September 2011
   Posts : 43
   Rep Power : 526
   Likes Received
   4
   Likes Given
   16

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Zaid ztakuaffect kisaikolojia

  21. #60
   TKNL's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd September 2012
   Posts : 226
   Rep Power : 511
   Likes Received
   79
   Likes Given
   135

   Default re: Yepi madhara ya kuangalia Picha za NGONO?

   Kwenye soshologia inafundishwa kwamba kuangalia picha za ngono na kuchijua ni kitu cha kawaida kwa vijana wanaobalehe, na ni vigumu kumzuia kwa sababu ni moja ya process za kukua, tatizo linakuja kama amezidisha sana kiasi cha kuathili maisha yake ya kila siku, au kama anaendelea na hiyo tabia hadi ukubwani sana. Cha kufanya wewe mwambie tu kwamba hiyo si tabia nzuri na ujaribu kum-encourage kuwa na marafiki wa kike (haimaanishi kum-ecourage kufanya ngono) ila usimpige, ataacha tu muda ukifika.


  Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. Onyo kwa wanaopenda kuangalia na kuiga styles za picha za ngono
   By Pape in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 50
   Last Post: 9th July 2014, 23:34
  2. picha za ngono au video
   By mkalagale in forum JF Chit-Chat
   Replies: 24
   Last Post: 23rd July 2012, 13:23
  3. Kuangalia picha za ngono ukiwa pamoja na mpenzi wako ni sawa?
   By twenty2 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 30
   Last Post: 16th July 2011, 15:01
  4. Mume wake anapenda kuangalia picha za ngono
   By yeniba1 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 25
   Last Post: 28th May 2011, 19:51
  5. Replies: 51
   Last Post: 13th July 2010, 17:04

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...