A very stressed woman, Ameolewa ana 2 kids bado wadogo, anampenda mumewe lakini sikuhizi mwanaume kama anamashetani amekuwa na mwanamke ambaye hata yeye hamjui ila anaona mawasiliano kwa simu, nyumba haina mapenzi kabisa, hapo mwanzo mapenzi yalikuwa motomoto, kashitaki kanisani kwa ndugu mpaka kwa washenga lakini mwenzake hamuelewi mtu yeyote. Ana marafiki wanawake wengi hawaamini kuwaambia mengi ya ndoa yake,hataki tena kumwambia mtu matatizo yake. hana marafiki wa kiume, HATAKI KUCHEAT wala kumuacha mumewe lakini anahisi akiwa anachat na mwanaume ambaye hamjui na (hataki kumjua) na amueleze matatizo yake awe anamshauri may be kila mara akichanganyikiwa atapunguza sana stress. so anatafuta secret chat mate mwanaume preferably aliyeoa chat kwa mail tu no phone no kuonana. mail: [email protected]
heheheeeeeee first lady kama ulikuwepo na mimi nimemwambia exactly the same thing kaja kuniomba afanyaje ampate huyo wa kuwasiliana naye nikamwambia dont do it akaanza ooooohh unajuaaa nikamwambia OOOkkkkkkeeeeeyyyy ngoja niweke JF sasa nadhani zangu za JF akichanganya na za kwake atapata jibu sahihi then akiamua kuchakachua atajipanga. thanks
Mwambie naomba namba yake ya simu! Nina uzoefu wa kutoa ushauri nasaha katika masuala kama hayo!
Ability may get you to the top, but it takes character to keep you there.
na ntachakachua ving mpk proposal yako nin bzness plan?
kile kifungo kinaendelea ....stak kuongea na wewe nimekununia!!!!
hw u?
missng u badly ma men niaje apo finest jana nilitaka kuwafata nkaona ahh bas tena nkageuzia njian tu.......
ukija twn nchek.......npo uku leo.
chat rum yaja lin?

Well well....am at your disposal madam.....
BTW: Hivi huyu dada/mama anatafuta Cheatmate kuanzia lini?? Nataka nimsaidie...ofkoz if you permit..
Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!
[QUOTE=Roya Roy;1221115]Well well....am at your disposal madam.....
BTW: Hivi huyu dada/mama anatafuta Cheatmate kuanzia lini?? Nataka nimsaidie...ofkoz if you permit..[/Q
hahaahah!haaaa!!!!!!!!
kwa vile umesema ukweli basi poa nakuruhusu nenda baba bt kumbuka knga +na uwai kurud brazili
uktoka job saa 11 ptia kwa cheatmate wako mpk saa 1 then kimbia mbioooooooooooo brazil sawa?
lakin namimi nkiomba niwe na cheatmate wangu ......uniruhusu..mimi ntakuwa nae mmoja tu tena shamba boy au kakamuuza genge.sawa?!!!!!!!!!!!
roy unataka kufanyaje?????
ole wako nakwambia
jaribu uone km sjaku.k.e.k.e.t.............ma yra ya pili!
tatizo la uku aujalimaliza unataka kwenda wap tena????ebu rud uko haraka saaaaaana kaz iyo mwachie FINEST AU GENERATION Y!!!!
Yaani Roya Roy anacheza namba 9 saa hadi anataka kucheza namba 12 ninayocheza mimi, Roya Roy kocha kasema benchi kwanza acha tuliofanya mazoezi tuingie ground
"What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

Kwingine kooote sawa....hapo kwa red....
By The Finest
Yaani Roya Roy anacheza namba 9 saa hadi anataka kucheza namba 12 ninayocheza mimi, Roya Roy kocha kasema benchi kwanza acha tuliofanya mazoezi tuingie ground
Wewe Finest unakosa subira...kwa nini?? Y??
Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!
na ntachakachua ving mpk proposal yako nin bzness plan?
kile kifungo kinaendelea ....stak kuongea na wewe nimekununia!!!!
hw u?
missng u badly ma men niaje apo finest jana nilitaka kuwafata nkaona ahh bas tena nkageuzia njian tu.......
ukija twn nchek.......npo uku leo. chat rum yaja lin?
Nimesikia mods wanasema watakuwa wanaiweka usiku tu Lol!!!
"What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"
Kwa vile mwenyewe amechagua lazima awe mwanaume basi waswahili wanasema mwana kilanga haliliwi wala halaliwi matanga. Atakayoyapata huko ngojea tusubiri. Tutakuja kusikia mshauri kageuka kuwa ndio mume.
Huwa inatokea lkn baada ya hapo ataomba tena tena mtu wa kuchat nae,,,mbona itachosha!
roy unataka kufanyaje?????
ole wako nakwambia
jaribu uone km sjaku.k.e.k.e.t.............ma yra ya pili!
tatizo la uku aujalimaliza unataka kwenda wap tena????ebu rud uko haraka saaaaaana kaz iyo mwachie FINEST AU GENERATION Y!!!!
Orait....St. Roya umeyasikia haya? sio ombi ni amri.
* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF
na ntachakachua ving mpk proposal yako nin bzness plan?
kile kifungo kinaendelea ....stak kuongea na wewe nimekununia!!!!
hw u?
missng u badly ma men niaje apo finest jana nilitaka kuwafata nkaona ahh bas tena nkageuzia njian tu.......
ukija twn nchek.......npo uku leo.
chat rum yaja lin?
Duuh kiswahili ni kigumu kuelewa hasa kwa sisi wa miaka ya 60 na sabini
No one is in charge of your happiness except you... God time is the best..
Follow Us Here