Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 22
    1. #1
      Somoe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Posts : 398
      Rep Power : 514
      Likes Received
      73
      Likes Given
      9

      Default Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Mie nimepata shetani wa kuolewa ghafla baada ya kuishi mda mrefu bila mwanamme wala mpenzi. Kitu ambacho kilinifanya nishi peke yangu nilikuwa naogopa ukimwi. Na vile vile nilikuwa naogopa ugomvi kwaiyo nilikuwa nahofia mwanamme ataanza kunidanganya na kunikera mambo flani, alafu itakuwa ugomvi. Mama angu akinisema na kulalamika kwanini siolewi ikiwa vijana wengi wakijitokeza. Na marafiki wakinisema mie mjinga nazikataa bahati. Wasemayo mie sikuyajari.

      Sasa mwaka 2007 nilikutana na vijana 3 ktk chat nilio wapenda. Ila mmoja kati yao nilimpenda zaidi, maongezi yake yalikuwa yananipa amani. Nilijiskia huyu ndie atakae nifaa, kuzaa nae, kuolewa nae na kuishi nae, ila sikumwambia kama nampenda,, nilikaa kimya. Yote ilikuwa siri yangu.

      Mie na yule jamaa tulikuwa tunawasiliana vizuri na tunaongea mengi juu ya familia zetu, marafiki zetu, shule na maisha kiujumla kukiongea. Na tulikuwa tunaheshimiana kiasi cha kwamba tulikuwa hatuongei juu ya mapenzi.

      Niliambiwa mengi vingine hata sikustairi kuvijua, nikajiuliza kwanini ananiamini kuniambia yote kuhusu yeye wakati hanijui,,,

      Baada ya miaka 2 kupita, mwaka 2009 akanibadilikia, akawa mkali kama pilipili, hatuelewani, mie sababu hata sikuijua, yaani alikuwa na masira. Nikamuomba anieleze kilichomtokea, mwisho akaniambia alikuwa na mawasiliano na mwanamke na hivi sasa kampotea hata akimpigia simu hapokei, na akimuandikia email hajibu. Mie nikamuliza unampenda, akajibu ndio tena kwa maasira. Mie nikakaa kimya na nikaamua kumtafutia huyo binti kwa vile kaniambia haishi mbali nami ingawa simjui. Ili yeye alidhike na ugomvi kati yetu uishe. Kwa bahati mbaya huyo binti sikumpata, ila niliskia story zake ambazo yeye sikumwambia maana angeniona mie muongo kwa vile yeye mwenyewe kampenda.


      Nikaachana nae, kumbe yeye anapenda mwingine badala yangu. Baada ya miezi 3 moyo wangu ukaniuma, nikamsalimia. Akalalamika kusema hamna mtu yeyote anae mkumbuka, hata wazazi wake wamemtupa, hivi hana mtu,, mie nikajiwa na uruma nikajiona ni mtu mbaya. Hapo nikajikuta namwambia kabisa kama nampenda na namkumbuka na nitakuwa nae daima. Ila ilibidi nijue juu ya yule dada, akaniambia uhusiano wao wote ulivo kuwa. Yakaisha.

      Mwisho tukamua tukutane, na tuoane. Tulipo kutana, akataka tuoane haraka haraka, akasema anaona kama hatanikosa, na hivi aamini kama itakuwa kweli. Na akasema alikuwa anataka mwanamke kama mimi, na aliponiona hakuamini macho yake. Na anaona kama ndoto, na kama mungu alisikia kilio chake.

      Sasa swali langu limebaki je akikutana na yule binti chizi ktk chat aliesema anampenda, itakuwaje? Sababu kuna siku moja namnyoja mume wangu ***CENSORED*** yake, akaniambia aliaidiwa na yule binti ktk chat kumyonya nyonya ***CENSORED*** , na mpaka ***CENSORED***. Basi mie nachanganyikiwa anaponiambia juu ya huyo binti. Na utokea ghafla ana naniambia hivo nilivomfanyia aliaidiwa na hata na yule binti wa ktk chat. Mie sasa nikaanza kuwa mkali, sababu ya wivu, lakini sasa naona kama namuonea. Yaani hata sijui nifanyeje?

      Maana nimeangalia simu yake hamna mwanamke, nimeangalia facebook hamna, na yeye hana wasiwasi kabisa, ananiachia na ananiambia yote. Na tulivo enda kwa wazazi wake nikamwambia anioneshe hao wasichana ambao akifanya nao mapenzi, akanionesha. Na akaniambia mpaka wakivo fanya, nilipo muuliza.

      Kuna siku moja nikalalamika eti alikuwa nami ktk chat na vile vile na mwengine na alificha, ila alipo mkimbia ndo mie akaniambia. Akasema yeye hana tamaa ya wanawake, ila mimi tu na wasiwasi. Hilo ni kweli ila mengine alizidisha maana alikuwa ananipenda na aliona kama nampenda pia, ila muda aliona unapita, ndio maana akaanza visa vya kuninasa mie mtegoni mwake.

      Na ananiambia mengine aliokuwa anasema ni kunipa mie wivu tu. Sasa sijui niamini?

      Hapa naitaji mjuzi ili anielekeze vizuri maisha ya ndoa, maana mie nimejingiza tu, na sasa najikuta nawivu sana, hadi mwenyewe naumia, ingawa simbwambi. Mie nitashukuru sana mukinielewesha......
      Last edited by Moderator; 29th October 2010 at 21:09. Reason: Explicit Word!

    2. Miaka 50

    3. #2
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,976
      Rep Power : 3704
      Likes Received
      3582
      Likes Given
      5771

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Mungu wangu dada nipe Break hapa nitatoa advice baada ya uchaguzi ni ndefu ,maneno mengine yanachekesha sana mengine ulitakiwa kutumia tafsida katika hili jukwaa mweh mweh ..
      sweetheart wewe una miaka mingapi mwaya!?
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    4. #3
      KakaNanii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2008
      Posts : 320
      Rep Power : 607
      Likes Received
      48
      Likes Given
      15

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      kwanza huo mchezo wa kunyonyana kwenye nanihii kawaambia nani ??? Mtapata magonjwa shauri yenu.

      Kwa ushauri wangu mimi naona wewe umeshampenda huyo dogo . Kinachofuata ni kufunga nae ndoa tu. Hayo makhirikhiri mengine hayana msingi. Nyie fungeni ndoa tu basi !!!

    5. bht
      #4
      bht's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 9,949
      Rep Power : 2500
      Likes Received
      1434
      Likes Given
      909

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      bestlady baada ya uchaguzi lol?

    6. #5
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,976
      Rep Power : 3704
      Likes Received
      3582
      Likes Given
      5771

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Quote By bht
      bestlady baada ya uchaguzi lol?
      hahaha ndio bestlady naona ameweka maneno magumu hapa ubaoni bila kuweka tafsida kuanzia Jtano naweza kumshauli maisha ya ndoa anayoyaogopa .wakati alishaanza kucheza michezo ya baba na mama...
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    7. RukaaJuu Final

    8. #6
      nguvumali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd September 2009
      Location : nimerudi Mwanza
      Posts : 3,693
      Rep Power : 1233
      Likes Received
      537
      Likes Given
      146

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      tunashare the same problem, hahahaaaah, nikamatie kwenye inbox yangu.
      The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed

    9. #7
      Sokomoko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2008
      Location : Kijijini
      Posts : 1,913
      Rep Power : 951
      Likes Received
      96
      Likes Given
      25

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Somoe huyambo mwanakwechu? naona mtoto wa kigunya umekuwa fundi wa kula koni ya nyama nilipofika hiyo area mate yalinidondoka na uteute mwembamba mweupe ulinitoka maana nilijenga kama senema hivi.............
      I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

    10. bht
      #8
      bht's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th May 2009
      Posts : 9,949
      Rep Power : 2500
      Likes Received
      1434
      Likes Given
      909

      Default

      Quote By FirstLady1
      hahaha ndio bestlady naona ameweka maneno magumu hapa ubaoni bila kuweka tafsida kuanzia Jtano naweza kumshauli maisha ya ndoa anayoyaogopa .wakati alishaanza kucheza michezo ya baba na mama...
      Amekula bila kunawa eeeh...
      Bidada kweli akusubiri ummegee uzoefu wako j5....inshallah

    11. #9
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6124
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4947

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Duh!!!
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"


    12. #10
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6124
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4947

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Quote By bht
      bestlady baada ya uchaguzi lol?
      Hebu toa comment zako kwanza bana maana mimi hapa na nikifikiria na uchaguzi ndio kabisaa
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"


    13. #11
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6124
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4947

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Quote By FirstLady1
      Mungu wangu dada nipe Break hapa nitatoa advice baada ya uchaguzi ni ndefu ,maneno mengine yanachekesha sana mengine ulitakiwa kutumia tafsida katika hili jukwaa mweh mweh ..
      sweetheart wewe una miaka mingapi mwaya!?
      Lile jiwe ulilolipanga kwenye kituo cha kupigia kura kwa ajili ya kuwahi foleni umeangalia kama bado lipo usije ukakuta limetolewa
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"


    14. #12
      Mtu Mmoja's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2010
      Posts : 596
      Rep Power : 586
      Likes Received
      52
      Likes Given
      142

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      kajitu kachafu kabisa haka!!

    15. #13
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6124
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4947

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Quote By Mtu Mmoja
      kajitu kachafu kabisa haka!!
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"


    16. #14
      X-PASTER's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Firdaws (Paradise)
      Posts : 11,861
      Rep Power : 7688
      Likes Received
      1467
      Likes Given
      0

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Quote By Somoe
      Mie nimepata shetani wa kuolewa ghafla baada ya kuishi mda mrefu bila mwanamme wala mpenzi. ....

      Mwisho tukamua tukutane, na tuoane. Tulipo kutana, akataka tuoane haraka haraka..... Sababu kuna siku moja namnyoja mume wangu mb** yake....


      Hapa naitaji mjuzi ili anielekeze vizuri maisha ya ndoa, maana mie nimejingiza tu, na sasa najikuta nawivu sana, hadi mwenyewe naumia, ingawa simbwambi. Mie nitashukuru sana mukinielewesha......
      Sasa bi dada ushauri gani tena unautaka na wewe tayari upo kwenye ndoa na mumeo!?
      “I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”

      'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

      (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)


    17. #15
      DICTATOR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th September 2010
      Posts : 394
      Rep Power : 519
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Hahahah! mi sina hamu, kama kawa I am busy with milions of tanzanians who don't get their breakfast for the last five years, tafadhali subiri baada ya uchaguzi, Au umetumwa utuhamishe mawazo harafu ccm wachakachue kwa sana?
      Education should be the first priority for any country to develop.

    18. #16
      Msanii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 6,207
      Rep Power : 1927
      Likes Received
      210
      Likes Given
      249

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Quote By Somoe
      ...........Sababu kuna siku moja namnyoja mume wangu ***CENSORED*** yake
      bint una hatari, utakuja kufyonza usaha ushangae siku moja
      , akaniambia aliaidiwa na yule binti ktk chat kumyonya nyonya ***CENSORED***, na mpaka ***CENSORED***. Basi mie nachanganyikiwa anaponiambia juu ya huyo binti. Na utokea ghafla ana naniambia hivo nilivomfanyia aliaidiwa na hata na yule binti wa ktk chat. Mie sasa nikaanza kuwa mkali, sababu ya wivu, lakini sasa naona kama namuonea. Yaani hata sijui nifanyeje? ......
      Kama mshaoana basi haina haja ya kuuliza mwali. wewe ishi utapata uzoefu humo humo
      Kama hujaolewa basi nakusihi mtumie Pm Aspirin atakupa ushauri mwema pasina shaka
      " If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
      [email protected]

    19. #17
      kisukari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th July 2010
      Posts : 2,588
      Rep Power : 3877
      Likes Received
      1386
      Likes Given
      649

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      jamani mapenzi haya,yaani unanyonya mlango wa uani,wa mwanamume,mwisho utaambiwa udumbukize kitu

    20. #18
      Samoo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Posts : 13
      Rep Power : 438
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Du huu si mchezo haya mambo dadangu si ya haraka kwani yanaweza kukusababishia mateso hata kifo,but let discussss after the ELECTION lakini jaribu kutafakari background yako kimahusiano na watu waliokuzunguka na wanaokuzunguka ili tuanzie hapo af tutaendelea

    21. #19
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,976
      Rep Power : 3704
      Likes Received
      3582
      Likes Given
      5771

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      Quote By the finest
      lile jiwe ulilolipanga kwenye kituo cha kupigia kura kwa ajili ya kuwahi foleni umeangalia kama bado lipo usije ukakuta limetolewa

      nitaenda kuliangalia saa 12 asubuhi kesho me nimechoka na huu mdahalo hapo itv mkwe leo wapi weekend ?
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    22. #20
      Somoe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Posts : 398
      Rep Power : 514
      Likes Received
      73
      Likes Given
      9

      Default Re: Sijawai kuishi maisha ya kindoa je nianzie wapi?

      SAMOO. sijakuelewa vizuri. mateso hata kifo? watu walio nizunguka siwambi yote ya mapenzi juu yangu. Wao wamefurahi tu nimeolewa. Na vile vile nimekubalika kwa wakwe zangu. Wananipenda sana tu, na hata mume wangu kabubalika kwetu. Na unamaanisha nini kusema hayataki haraka? sasa sijui nijielezeje ili nishauriwe.... naona unazidi kunitisha sasa

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Wanadamu na maisha ya kindoa - kwanini wanyama hawana licha ya mifanano mingi?
      By Tausi Mzalendo in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 4
      Last Post: 25th November 2011, 18:52
    2. Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu?
      By valid statement in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 77
      Last Post: 2nd November 2011, 13:48
    3. Nifanyeje? nna idea ya kipindi cha tv bt sijui nianzie wapi..!!
      By marhaba in forum Business & Economic Forum
      Replies: 6
      Last Post: 10th April 2011, 13:13
    4. nataka kuishtaki serikali na tanesco.wana jf mnishauri nianzie wapi?
      By chomete in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 2
      Last Post: 30th December 2010, 20:55
    5. Nianzie wapi kuacha?
      By Speaker in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 16
      Last Post: 10th November 2010, 10:33

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...