Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 29
    1. #1
      Tuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2010
      Posts : 4,591
      Rep Power : 13829
      Likes Received
      2225
      Likes Given
      2158

      Default 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Kuna aina kuu 2 za nyumba ndogo

      1. Type I; Ambayo mwanaume akiwa nayo humnyanyasa mkewe, huchelewa kurudi home bila maelezo, humpiga mkewe endapo akimuuliza au kumfumania, hatoi matumiz ya kutosha home, mostly anapeleka kwa nyumba ndogo n.k. Mara nyingi nyumba ndogo hizi huzaa na huyo mwanaume.

      2. Type II. Ambayo mwanaume anakuwa nayo kwa siri sana, hapendi mkewe hata ashuku, mapenzi huwa ya siri kubwa na nyumba ndogo yenyewe inaambiwa kabisa i-'behave' ikijua kuwa kuna mwenye mali yake.

      huwa kuna intermediate kati ya hizo mbili pia...

      Mi naongelea type II. Hii, KIMSINGI huimarisha mapenzi ya mwanaume kwa mkewe (au GF, au mchumba).

      Kwa nini
      - Mwanaume akiwa na nyumba ndogo kwa siri, hujitahidi sana mkewe asishtuke. Katika kufanya hivi, mambo anayofanya kwa kiasi kikubwa huongeza upendo kwa wife. Kwa mfano kama anajua kesho anatoka na small house, basi leo atarudi hom mapema, sometimes ataleta zawadi, atakuwa mnyenyekevu ili baadae akitoa taarifa kuwa 'wife kesho nitakuwa na ka-kikao Kibaha, may be nitachelewa kidogo kurudi' bas wife anakuwa mpole na hahis kitu. Tena siku hiyo atajitahidi hata kama ni gem akamue kwa juhudi na utaalam wote, ili wife kesho yake asiwe saaana na apetite.

      All in all ni kuwa katika kuficha madhambi yake kwa wife, mwanaume mwenye nyumba ndogo type II, hufanya mambo mazuri kwa mke ambayo asingeyafanya tu katika hali ya kawaida...

      Nawakilisha...

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Next Level's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2008
      Location : Pwani
      Posts : 3,151
      Rep Power : 1170
      Likes Received
      76
      Likes Given
      42

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      ....Nakubaliana na hizo aina mbili za small house lakini sikubaliana na the fact kuwa zinaimairisha ndoa kwa namna yoyote ile......! vinginevyo sijui maana ya ndoa imara hapa......! kutembea na mke nje ya ndoa kwa namna yoyote ile ni kuivunja ndoa, ni kuisaliti ndoa ni kubomoa ndoa...!
      “When the missionaries came to Africa they had the Bible and we had the land. They said ''Let us pray'' we closed our eyes. When we opened them we had the Bible and they had the land.
      - Rev.Bishop Desmond Tutu.

    4. #3
      funzadume's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th January 2010
      Location : Kwenye Uchafu/Uozo
      Posts : 3,465
      Rep Power : 1171
      Likes Received
      547
      Likes Given
      591

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      nyumba ndogo mara nyingi uwa zinavuruga sana ratiba ya kuwa na familia pamoja na pia inaharibu bajeti na mipango ya maendeleo hivyo huwezi kusema kuwa zinaimarisha nyumba

      Hiyo type II ni nzuri kwa mtu mstaarabu na mwenye mapenzi ya kweli na mkewe so at least inapunguza maumivu. Mimi nimepitia kidogo kwenye hizi nyumba ndogo tofauti tofauti ingawa kwa sasa nimeacha karibia unafika mwaka sijawa na small house

      Nyumba ndogo ni wajanja sana na uwa wana-act kutokana na wewe ulivyo kwa mfano kama wewe unampenda sana mkeo kuliko yeye na yeye analijua ilo basi na yeye atakupa muda mrefu na mkeo na ataheshimu unachomwambia juu ya mkeo na hata kukukumbusha muda wa kurudi nyumbani ili usije kuaharibu maana anajua wazi kuwa ukiharibu nyumbani inaweza kuwa sababu tosha kumtosa yeye na hawa mara nyingi (type II) uwa wako money oriented kuliko type I wana malengo ya kukuchuna zaidi hivyo ingawa mkeo hawajui ila bajeti upungua sana nyumbani kwa visingizio mbalimbali

      Type I mara nyingi uwatokea watu ambao hawajali kuachana na mke wake yaani wamekolea zaidi kwa nyumba ndogo kuliko kwa mkewe na hawana mapenzi ya dhati kwa wake zao. Hawa wako radhi hata kurudi asubuhi na akiulizwa uwa mbogo na mara nyingine wakidatishwa sana wanaweza hata kumpa small house simu apokee pindi mkeo anapopiga

      Ushauri kwa wana nyumba ndogo ni kwamba:
      Jitahidi sana kutojiachia 100% kwa nyumba ndogo inabidi uwe akili kichwani sana tune akili yako kuwa pale unapita tu na kuwa muwazi kuhusu uhusiano wako na mkeo kuwa ueshimike na weka mipaka mapema na pia jua kabisa yule si mkeo ni wakupita tu na uwe makini sana kwa hilo ukibweteka tu umekwisha na utaterekeza familia

      Najua kuna watu watanimind kuwa napenda nyumba ndogo ila hapana kuna mara moja moja mtu unatereza ila kwa sasa nimeachana na hivyo vitu ingawa siweki guarentee kuwa sitarudia tena maana ubinadamu kazi
      All good things in the World are not things

    5. #4
      tumwe273us's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th August 2010
      Posts : 43
      Rep Power : 451
      Likes Received
      10
      Likes Given
      0

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      ni kweli kuwa type2 inaimarisha uhusiano wa mme na mke.but sioni km ni kitu chema hata kidogo.km umeamua kuoa na umeamua kuishi na mke au mchumba au vyovyote utakavyoamua kuita,why nyumba ndogo!
      Nawashukia sn wanaovaa suruali km mwanaume lijali thn wanakuwa na nyumba ndogo na haishali whc type but all in all ni kupoteza ela tu.
      WAHENGA WALISEMA,MPENDA VYOTE HUKOSA VYOTE.

    6. #5
      funzadume's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th January 2010
      Location : Kwenye Uchafu/Uozo
      Posts : 3,465
      Rep Power : 1171
      Likes Received
      547
      Likes Given
      591

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By tumwe273us
      ni kweli kuwa type2 inaimarisha uhusiano wa mme na mke.but sioni km ni kitu chema hata kidogo.km umeamua kuoa na umeamua kuishi na mke au mchumba au vyovyote utakavyoamua kuita,why nyumba ndogo!
      Nawashukia sn wanaovaa suruali km mwanaume lijali thn wanakuwa na nyumba ndogo na haishali whc type but all in all ni kupoteza ela tu.
      WAHENGA WALISEMA,MPENDA VYOTE HUKOSA VYOTE.
      usije kuapa kabisa kuwa sitakuwa na nyumba ndogo au kuona wenye nyumba ndogo kama ni vichaa tema mate chini kabisa haya mambo ya mapenzi ni ya ajabu sana unatakiwa kumuomba Mungu tu ila usijiapize

      halafu piga hodi kwanza na ujitambulishe sio unaingia tu kama ******
      All good things in the World are not things

    7. Miaka 50

    8. #6
      Konakali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Posts : 1,274
      Rep Power : 749
      Likes Received
      119
      Likes Given
      90

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Zote hizi zinaashiria kutokuwa na mapenzi mema na mwenzio...! Na zote ni sumu ya maendeleo ya familia, hata hivyo ni udhalilishaji wa mwenzio...! Lakini pia sio njia ya kulipiza kisasi kwa mwenzio (kama yeye anakuwa na mume mdogo)....! Kama imekulazimu ni bora ukamleta nyumbani awe nyumba ya pili, lakini sio nyumba ndogo....! Kama unaamini hivi, basi uamini pia kuwa kuna wakati mkeo akitoka nje ya ndoa itasaidia ile ndoa yenu kudumu na kuimarika zaidi....! (kitu ambacho unaniuma mimi kama mwanume). La msingi ni kujiuluza, "Je, wewe mwenyewe ungependa kushuhudia hayo yakikutokea?".

      Aidha, uwelewe tu kuwa kwa kila mwanaume mwenye nyumba ndogo mbili, basi anao wanaume wenzie si chini ya wawili....! Na kwa kila mwanamke mwenye wanaume wawili, naye anaye mke menzie mmoja au zaidi....!

    9. #7
      Dick's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2010
      Posts : 479
      Rep Power : 566
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Aina ulizotaja au zaidi zipo, lakini hujaeleza hiyo ya II inaimarshaje nyumba kubwa. Vinginevyo withdraw hoja yako.

    10. #8
      Jibaba Bonge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2008
      Posts : 1,003
      Rep Power : 763
      Likes Received
      145
      Likes Given
      61

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Ni upuuzi mtupu. Hakuna kuimarisha ndoa (nyumba kubwa) hapa. Ndoa iliyoimarika haina nafasi kwa nyumba ndogo kwa namna yoyote ile. Unaweza ukawa unaishi na jambazi kwenye nyumba au mtaa mmoja lakini ujambazi wake anauficha sana watu hawajui na kwenye nyumba za ibada hakosi na shughuli za kijamii anashiriki sana lakini hii hamfanyi kuwa si jambazi.

      Kwa vigezo vyovyote vile nyumba ndogo hubomoa ndoa (nyumba kubwa) - Penzi haligawanyiki hata kidogo that's it.

    11. #9
      Tuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2010
      Posts : 4,591
      Rep Power : 13829
      Likes Received
      2225
      Likes Given
      2158

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By Jibaba Bonge
      Ni upuuzi mtupu. Hakuna kuimarisha ndoa (nyumba kubwa) hapa. Ndoa iliyoimarika haina nafasi kwa nyumba ndogo kwa namna yoyote ile. Unaweza ukawa unaishi na jambazi kwenye nyumba au mtaa mmoja lakini ujambazi wake anauficha sana watu hawajui na kwenye nyumba za ibada hakosi na shughuli za kijamii anashiriki sana lakini hii hamfanyi kuwa si jambazi.

      Kwa vigezo vyovyote vile nyumba ndogo hubomoa ndoa (nyumba kubwa) - Penzi haligawanyiki hata kidogo that's it.
      Jibaba bonge, pamoja na Dick..

      Sio kwamba nahubiri kuwa nyumba ndogo ni kitu kizuri. Najaribu kufanya retrospective analysis...

      Hata kama sio wewe, lakini kama unaishi katika jamii ya KITANZANIA, (kwa herufi kubwa), basi utakuwa unaweza kukadiria ni asilimia ngapi ya waliooa wana nyumba ndogo. Katika mazingira ninayoishi mimi ni zaidi ya 50% pengine. Inaweza kuwa wa kudumu au wa muda, mtaani au ofisini n.k. Observation zangu zinaonyesha kuwa wanaume wenye nyumba ndogo type II, wako makini zaidi kuhakikisha hawawaudhi wake zao ili kuondoa shaka yoyote ya kushtukiwa. Wapo wengi ambao hawana nyumba ndogo lakini ni amkini kwa wake zao sikatai, lakini kwa ninavyojua mimi mara nyingi wanaume wanajisahau.

    12. #10
      Jibaba Bonge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2008
      Posts : 1,003
      Rep Power : 763
      Likes Received
      145
      Likes Given
      61

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By Tuko
      Jibaba bonge, pamoja na Dick..

      Sio kwamba nahubiri kuwa nyumba ndogo ni kitu kizuri. Najaribu kufanya retrospective analysis...

      Hata kama sio wewe, lakini kama unaishi katika jamii ya KITANZANIA, (kwa herufi kubwa), basi utakuwa unaweza kukadiria ni asilimia ngapi ya waliooa wana nyumba ndogo. Katika mazingira ninayoishi mimi ni zaidi ya 50% pengine. Inaweza kuwa wa kudumu au wa muda, mtaani au ofisini n.k. Observation zangu zinaonyesha kuwa wanaume wenye nyumba ndogo type II, wako makini zaidi kuhakikisha hawawaudhi wake zao ili kuondoa shaka yoyote ya kushtukiwa. Wapo wengi ambao hawana nyumba ndogo lakini ni amkini kwa wake zao sikatai, lakini kwa ninavyojua mimi mara nyingi wanaume wanajisahau.
      Basi change hiyo heading ya thread yako otherwise my post still holds

    13. #11
      Pakawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th March 2009
      Posts : 1,148
      Rep Power : 748
      Likes Received
      164
      Likes Given
      170

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Type I hutokana zaidi na mwanaume married a woman by chance not love of his life. Type II ni tamaa.

    14. #12
      pori's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th March 2010
      Posts : 87
      Rep Power : 484
      Likes Received
      12
      Likes Given
      0

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      nyumba ndogo ni upuuzi mtupu! cha tofauti unachopata huko usichoweza kukirekebisha kwa mkeo ni nini katika dunia hii ya maradhi kibao? pia ya nini kuishi maisha ya shida ya kujifichaficha? siku nikigundua wa kwangu ana nyumba ndogo nami natafuta nyumba ndogo pia ili nae a=feel the pinch

    15. #13
      mpangwa1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th July 2009
      Posts : 283
      Rep Power : 557
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By pori
      nyumba ndogo ni upuuzi mtupu! cha tofauti unachopata huko usichoweza kukirekebisha kwa mkeo ni nini katika dunia hii ya maradhi kibao? pia ya nini kuishi maisha ya shida ya kujifichaficha? siku nikigundua wa kwangu ana nyumba ndogo nami natafuta nyumba ndogo pia ili nae a=feel the pinch
      vipi umewahi kula mahindi ya kuchoma watu utaonawanachangua yale mahindi mateke hivi hata kwa nyumba dogo tupo laini nyumba kubwa imeshakoma meno hayanachoka haraka
      Lying can never save us from another lie!!

    16. #14
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,561
      Rep Power : 16760
      Likes Received
      2478
      Likes Given
      1843

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By pori
      nyumba ndogo ni upuuzi mtupu! cha tofauti unachopata huko usichoweza kukirekebisha kwa mkeo ni nini katika dunia hii ya maradhi kibao? pia ya nini kuishi maisha ya shida ya kujifichaficha? siku nikigundua wa kwangu ana nyumba ndogo nami natafuta nyumba ndogo pia ili nae a=feel the pinch
      Kama ametafuta nyumba ndogo ni kutafuta chanzo kilichosababisha mwenzio akawa na hiyo nyumba

    17. #15
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6123
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4947

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By Tuko
      Kuna aina kuu 2 za nyumba ndogo

      1. Type I; Ambayo mwanaume akiwa nayo humnyanyasa mkewe, huchelewa kurudi home bila maelezo, humpiga mkewe endapo akimuuliza au kumfumania, hatoi matumiz ya kutosha home, mostly anapeleka kwa nyumba ndogo n.k. Mara nyingi nyumba ndogo hizi huzaa na huyo mwanaume.

      2. Type II. Ambayo mwanaume anakuwa nayo kwa siri sana, hapendi mkewe hata ashuku, mapenzi huwa ya siri kubwa na nyumba ndogo yenyewe inaambiwa kabisa i-'behave' ikijua kuwa kuna mwenye mali yake.

      huwa kuna intermediate kati ya hizo mbili pia...

      Mi naongelea type II. Hii, KIMSINGI huimarisha mapenzi ya mwanaume kwa mkewe (au GF, au mchumba).

      Kwa nini
      - Mwanaume akiwa na nyumba ndogo kwa siri, hujitahidi sana mkewe asishtuke. Katika kufanya hivi, mambo anayofanya kwa kiasi kikubwa huongeza upendo kwa wife. Kwa mfano kama anajua kesho anatoka na small house, basi leo atarudi hom mapema, sometimes ataleta zawadi, atakuwa mnyenyekevu ili baadae akitoa taarifa kuwa 'wife kesho nitakuwa na ka-kikao Kibaha, may be nitachelewa kidogo kurudi' bas wife anakuwa mpole na hahis kitu. Tena siku hiyo atajitahidi hata kama ni gem akamue kwa juhudi na utaalam wote, ili wife kesho yake asiwe saaana na apetite.

      All in all ni kuwa katika kuficha madhambi yake kwa wife, mwanaume mwenye nyumba ndogo type II, hufanya mambo mazuri kwa mke ambayo asingeyafanya tu katika hali ya kawaida...

      Nawakilisha...
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

    18. #16

      Quote By Pakawa
      Type I hutokana zaidi na mwanaume married a woman by chance not love of his life. Type II ni tamaa.
      Haswa, We are on the same track
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

    19. #17
      Beauty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2008
      Posts : 538
      Rep Power : 683
      Likes Received
      5
      Likes Given
      5

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By Tuko
      Kuna aina kuu 2 za nyumba ndogo

      1. Type I; Ambayo mwanaume akiwa nayo humnyanyasa mkewe, huchelewa kurudi home bila maelezo, humpiga mkewe endapo akimuuliza au kumfumania, hatoi matumiz ya kutosha home, mostly anapeleka kwa nyumba ndogo n.k. Mara nyingi nyumba ndogo hizi huzaa na huyo mwanaume.

      2. Type II. Ambayo mwanaume anakuwa nayo kwa siri sana, hapendi mkewe hata ashuku, mapenzi huwa ya siri kubwa na nyumba ndogo yenyewe inaambiwa kabisa i-'behave' ikijua kuwa kuna mwenye mali yake.

      huwa kuna intermediate kati ya hizo mbili pia...

      Mi naongelea type II. Hii, KIMSINGI huimarisha mapenzi ya mwanaume kwa mkewe (au GF, au mchumba).

      Kwa nini
      - Mwanaume akiwa na nyumba ndogo kwa siri, hujitahidi sana mkewe asishtuke. Katika kufanya hivi, mambo anayofanya kwa kiasi kikubwa huongeza upendo kwa wife. Kwa mfano kama anajua kesho anatoka na small house, basi leo atarudi hom mapema, sometimes ataleta zawadi, atakuwa mnyenyekevu ili baadae akitoa taarifa kuwa 'wife kesho nitakuwa na ka-kikao Kibaha, may be nitachelewa kidogo kurudi' bas wife anakuwa mpole na hahis kitu. Tena siku hiyo atajitahidi hata kama ni gem akamue kwa juhudi na utaalam wote, ili wife kesho yake asiwe saaana na apetite.

      All in all ni kuwa katika kuficha madhambi yake kwa wife, mwanaume mwenye nyumba ndogo type II, hufanya mambo mazuri kwa mke ambayo asingeyafanya tu katika hali ya kawaida...

      Nawakilisha...
      hamna lolote ni ukosefu wa maadili tu, mtu anafiri anasolve one problem kumbe ana create other problem.

    20. #18
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6123
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4947

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By funzadume
      nyumba ndogo mara nyingi uwa zinavuruga sana ratiba ya kuwa na familia pamoja na pia inaharibu bajeti na mipango ya maendeleo hivyo huwezi kusema kuwa zinaimarisha nyumba

      Hiyo type II ni nzuri kwa mtu mstaarabu na mwenye mapenzi ya kweli na mkewe so at least inapunguza maumivu. Mimi nimepitia kidogo kwenye hizi nyumba ndogo tofauti tofauti ingawa kwa sasa nimeacha karibia unafika mwaka sijawa na small house

      Nyumba ndogo ni wajanja sana na uwa wana-act kutokana na wewe ulivyo kwa mfano kama wewe unampenda sana mkeo kuliko yeye na yeye analijua ilo basi na yeye atakupa muda mrefu na mkeo na ataheshimu unachomwambia juu ya mkeo na hata kukukumbusha muda wa kurudi nyumbani ili usije kuaharibu maana anajua wazi kuwa ukiharibu nyumbani inaweza kuwa sababu tosha kumtosa yeye na hawa mara nyingi (type II) uwa wako money oriented kuliko type I wana malengo ya kukuchuna zaidi hivyo ingawa mkeo hawajui ila bajeti upungua sana nyumbani kwa visingizio mbalimbali

      Type I mara nyingi uwatokea watu ambao hawajali kuachana na mke wake yaani wamekolea zaidi kwa nyumba ndogo kuliko kwa mkewe na hawana mapenzi ya dhati kwa wake zao. Hawa wako radhi hata kurudi asubuhi na akiulizwa uwa mbogo na mara nyingine wakidatishwa sana wanaweza hata kumpa small house simu apokee pindi mkeo anapopiga

      Ushauri kwa wana nyumba ndogo ni kwamba:
      Jitahidi sana kutojiachia 100% kwa nyumba ndogo inabidi uwe akili kichwani sana tune akili yako kuwa pale unapita tu na kuwa muwazi kuhusu uhusiano wako na mkeo kuwa ueshimike na weka mipaka mapema na pia jua kabisa yule si mkeo ni wakupita tu na uwe makini sana kwa hilo ukibweteka tu umekwisha na utaterekeza familia

      Najua kuna watu watanimind kuwa napenda nyumba ndogo ila hapana kuna mara moja moja mtu unatereza ila kwa sasa nimeachana na hivyo vitu ingawa siweki guarentee kuwa sitarudia tena maana ubinadamu kazi
      Lakini kwa sababu ya ZINAA kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe, mume ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; na vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.” (1 Wakorontho 7:2-5)
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

    21. #19
      Ngomo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th October 2009
      Posts : 157
      Rep Power : 519
      Likes Received
      13
      Likes Given
      7

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      Quote By tuko
      kuna aina kuu 2 za nyumba ndogo

      1. Type i; ambayo mwanaume akiwa nayo humnyanyasa mkewe, huchelewa kurudi home bila maelezo, humpiga mkewe endapo akimuuliza au kumfumania, hatoi matumiz ya kutosha home, mostly anapeleka kwa nyumba ndogo n.k. Mara nyingi nyumba ndogo hizi huzaa na huyo mwanaume.

      2. Type ii. Ambayo mwanaume anakuwa nayo kwa siri sana, hapendi mkewe hata ashuku, mapenzi huwa ya siri kubwa na nyumba ndogo yenyewe inaambiwa kabisa i-'behave' ikijua kuwa kuna mwenye mali yake.

      Huwa kuna intermediate kati ya hizo mbili pia...

      Mi naongelea type ii. Hii, kimsingi huimarisha mapenzi ya mwanaume kwa mkewe (au gf, au mchumba).

      Kwa nini
      - mwanaume akiwa na nyumba ndogo kwa siri, hujitahidi sana mkewe asishtuke. Katika kufanya hivi, mambo anayofanya kwa kiasi kikubwa huongeza upendo kwa wife. Kwa mfano kama anajua kesho anatoka na small house, basi leo atarudi hom mapema, sometimes ataleta zawadi, atakuwa mnyenyekevu ili baadae akitoa taarifa kuwa 'wife kesho nitakuwa na ka-kikao kibaha, may be nitachelewa kidogo kurudi' bas wife anakuwa mpole na hahis kitu. Tena siku hiyo atajitahidi hata kama ni gem akamue kwa juhudi na utaalam wote, ili wife kesho yake asiwe saaana na apetite.

      All in all ni kuwa katika kuficha madhambi yake kwa wife, mwanaume mwenye nyumba ndogo type ii, hufanya mambo mazuri kwa mke ambayo asingeyafanya tu katika hali ya kawaida...

      Nawakilisha...

      kama unanyumba fifkiri mke wako naye anka serengeti boy
      je unaweza kumvumilia?

    22. #20
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6123
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4947

      Default Re: 'Nyumba ndogo' huimarisha 'nyumba kubwa'

      “Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili. Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka….. Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, UASHERATI, uchafu, ufisadi…… na mambo yanayofanana na hayo; katika hayo nawaambia mapema kama nilivyokwisha, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.” (Wagalatia 5:16-21)

      “Kwa maana wale waufuatao mwili huyafikiri mambo ya mwili, bali wale waifuatao roho huyafikiri mambo ya roho. Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kutii. Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu. Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili, bali mwaifuata roho.” (Warumi 8:5-9).
      "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo
      By Ashangedere in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 61
      Last Post: 18th November 2011, 05:16
    2. Replies: 9
      Last Post: 14th June 2011, 17:22
    3. Nyumba ndogo........
      By MwanajamiiOne in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 31
      Last Post: 25th May 2009, 13:20

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...