JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala?

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 24
  1. mtuwatu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st October 2009
   Location : Dar es salaama
   Posts : 96
   Rep Power : 638
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Question Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala?

   Mfunyukuzi ameweka hizo picha za Ug nimekumbuka hili swali lilikua linanisumbua sana - hasa Tz vs Ug wasichana gani ni warembo sana kuliko wa wenzao? Maana kiukweli bongo siku hizi inawaka kila kona utaona uumbaji wa mungu tofauti hadi unadiriki kusema au mungu kafungu kiwanda kipya cha watu nini afu ukiend kampala kazi ya mungu inatisha pale sasa jamaani nisaidie mwanakwenu !!! boss upo ??
   Last edited by mtuwatu; 27th March 2010 at 08:07. Reason: spelling


  2. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,621
   Rep Power : 429503181
   Likes Received
   30874
   Likes Given
   29184

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   hilo linaeleweka.....
   wasichana wa Tz ni wazuri kuliko wa Uganda na Kenya....
   sababu kuu ni wingi wa makabila na mchanganyiko katika kuzaliana..
   hii ni faida ya kupiga vita ukabila,tumezalina na kuchanganya damu
   mbalimbali,matokeo yake ndo hivyo,
   wasichana wetu ni wazuri kupita maelezo....
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  3. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,256
   Rep Power : 16106769
   Likes Received
   8178
   Likes Given
   3665

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Hii maneno ya "wasichana wa wapi wako hivi kuliko wa kule" huwa inakuwa imefanyiwa utafiti gani hadi?
   Mi sijatembea jamaeni, embu nambieni kama kuna nchi za wasichana wabaya!
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  4. mtuwatu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st October 2009
   Location : Dar es salaama
   Posts : 96
   Rep Power : 638
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
   hawana mchanganyiko na wanyarwanda?

  5. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,621
   Rep Power : 429503181
   Likes Received
   30874
   Likes Given
   29184

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Quote By mtuwatu View Post
   Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
   hawana mchanganyiko na wanyarwanda?
   nimekwambia wingi wa makabila
   na kuchanganya damu
   intermarriages,,,,,,,,,
   huko kenya na uganda watu wengi wana oa
   ndani ya makabila yao kulinganisha na tanzania.....
   halafu sisi tuna makabila zaidi ya 300,uganda hayafiki
   50,kenya hayafiki 150.
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.


  6. Lukolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Iringa
   Posts : 5,121
   Rep Power : 86242795
   Likes Received
   3037
   Likes Given
   2058

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Quote By The Boss View Post
   nimekwambia wingi wa makabila
   na kuchanganya damu
   intermarriages,,,,,,,,,
   huko kenya na uganda watu wengi wana oa
   ndani ya makabila yao kulinganisha na tanzania.....
   halafu sisi tuna makabila zaidi ya 300,uganda hayafiki
   50,kenya hayafiki 150.
   Boss, tuna makabila 300 au 126! Au mengine ni unofficial?

  7. Ndibalema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2008
   Location : Mbagala
   Posts : 10,890
   Rep Power : 291617815
   Likes Received
   4218
   Likes Given
   3898

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Quote By mtuwatu View Post
   Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
   hawana mchanganyiko na wanyarwanda?
   Mkuu nadhani hujamsoma vizuri the Boss.
   Anamaanisha kwa sababu bongo makabikla ni mengi sana kuliko Ug na Kenya ndo maana posibility ya kutoa vizazi vyenye shepu na mwonekano tofauti tofauti ni mkubwa.
   yaani bongo utakutana na kila type ya mabinti.
   "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"

  8. Kituko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2009
   Posts : 4,983
   Rep Power : 40009827
   Likes Received
   1467
   Likes Given
   689

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   UTUWEKEE NA PICHA BASI TUWALINGANISHe

  9. Somi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th February 2009
   Posts : 565
   Rep Power : 769
   Likes Received
   80
   Likes Given
   157

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Wasomali, wanyarwanda,warundi,waethiopia na wanyankole wa uganda moto wa kuotea mbali!
   Uje kwa wasichana wa ki tswana na kizulu we acha tu!!
   Wanasema tembea uone mengi,unaweza kusema wewe tajiri sababu una kajumba na ka gari kumbe kuna watu wana mahekalu na magorofa!

  10. Konakali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2009
   Posts : 1,407
   Rep Power : 908
   Likes Received
   157
   Likes Given
   148

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   YES, The Boss......! Hebu assume binti mchaga wa kibosho, mchanganyiko na mmasai, mwenye asili ya kiiraq; yaani wambulu wa Karatu! Atakuwa na ngozi laini ya kichaga, urefu wa kimasai, na rangi itakuwa ya mmbulu. Utanyooka.

  11. genekai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th February 2010
   Location : Loitering!
   Posts : 10,530
   Rep Power : 248805508
   Likes Received
   2520
   Likes Given
   2850

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Jamani, nimekaa Kenya kwa muda wa kutosha na katika study tours za hapa chuoni tumekuwa tukienda Ug na huko nyumbani. Nimewaona mabinti wa vyuo kwa nchi hizi tatu walau kwa idadi ya kutosha. Conclusion yangu ni kuwa. DADA ZETU WA TZ, wanafunika kwa uzuri. Nadhani nchi ya mwisho kwa kuwa na kinadada wazuri ni kenya. Jamani huku mvuto ni zero. But kumbuka there is no law which has got no exception. Wapo Wakamba wana mvuto bt Tz Funiko. Niliwahi kwenda mlimani, nikapita Posta, badae A-town na SAUT Mza. Bwana kwanini nisiseme tunafunika? Its good to appreciate God's creation!

  12. Masaki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th March 2006
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 3,348
   Rep Power : 1477
   Likes Received
   544
   Likes Given
   1354

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   [QUOTE=PakaJimmy;864670]Hii maneno ya "wasichana wa wapi wako hivi kuliko wa kule" huwa inakuwa imefanyiwa utafiti gani hadi?
   Mi sijatembea jamaeni, embu nambieni kama kuna nchi za wasichana wabaya![/QUOTE]

   Ndio! Kenya, Zambia na Malawi ndizo zinaongoza kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati!
   Ability may get you to the top, but it takes character to keep you there.

  13. babukijana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2009
   Posts : 3,720
   Rep Power : 0
   Likes Received
   624
   Likes Given
   311

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   madem wa kiganda wana mishepu balaa,lakini sura unaweza kutoka baruti ukiwaona,bongo tunafunika kwa madem east afrika yote na jirani zake

  14. rweiki's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd February 2010
   Posts : 40
   Rep Power : 609
   Likes Received
   15
   Likes Given
   4

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   wabongo wazuri we acha tu,ila wavivu sana

  15. kashwagala's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th March 2010
   Posts : 116
   Rep Power : 622
   Likes Received
   15
   Likes Given
   32

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   konakali bwana! kwenye huo mchanganyiko mbona hujaongelea mguu utakuwaje?

  16. Masikini_Jeuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Location : Igangidung'u
   Posts : 6,035
   Rep Power : 2227
   Likes Received
   752
   Likes Given
   5126

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Quote By The Boss View Post
   nimekwambia wingi wa makabila
   na kuchanganya damu
   intermarriages,,,,,,,,,
   huko kenya na uganda watu wengi wana oa
   ndani ya makabila yao kulinganisha na tanzania.....
   halafu sisi tuna makabila zaidi ya 300,uganda hayafiki
   50,kenya hayafiki 150.
   Aisee nilikuwa najiuliza sabau a wenzetu kuwa na vipoly wengi sana hasa Naii; unaweza ukakutana na personal assistant wa mtu kwenye shirika kubwa ukakimbia; na kitakachokukimbiza ni kipoly! Ah Wabongo tuko bomba we acha tu!:D
   Hardships often prepare ordinary people for an extraordinary destiny.

  17. Masikini_Jeuri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th January 2010
   Location : Igangidung'u
   Posts : 6,035
   Rep Power : 2227
   Likes Received
   752
   Likes Given
   5126

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Quote By mtuwatu View Post
   Umeona maelezo ya boss anavyotoa sababu za makabila? kwani Ug hawana makabila?
   hawana mchanganyiko na wanyarwanda?
   Jamani wanyarwanda hasa watutsi ni mironjo tu labda kama mnaangali dental formula tu; istoshe ni nadra kukuta wenzetu wana mchanganyiko kama wetu; Mfano mm ni Mchanganyiko wa Kinyakyusa na Kichaga! wife ni product ya kinyiramba na Kizigua ambayo ina uzaramo kwa upande wa Babu yake na Usukuma kwa Bibi yake mzaa Baba; sasa ona product yetu hapo kwenye Avatar!

   Mwalimu Nyerere Mungu akuweke pema na mahali pa juu sana huko Mbinguni!:D
   Hardships often prepare ordinary people for an extraordinary destiny.

  18. BAK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Mfaranyaki
   Posts : 43,970
   Rep Power : 429505982
   Likes Received
   26189
   Likes Given
   28962

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   Quote By The Boss View Post
   hilo linaeleweka.....
   wasichana wa Tz ni wazuri kuliko wa Uganda na Kenya....
   sababu kuu ni wingi wa makabila na mchanganyiko katika kuzaliana..
   hii ni faida ya kupiga vita ukabila,tumezalina na kuchanganya damu
   mbalimbali,matokeo yake ndo hivyo,
   wasichana wetu ni wazuri kupita maelezo....
   Jana tu tulikuwa tunazungumza issue hii na best wangu ambaye ni Mnyarwanda. Hajawahi kutia mguu Bongo lakini Wabongo aliowaona wengi aliwaona Kenya, Rwanda na majuu katika nchi mbali mbali naye hitimisho lake ni kwamba Wanawake wa Kitanzania wengi ni wazuri sana, msisahau kwamba Wanyarwanda Muumba aliwapa upendeleo fulani katika kuwaumba maana ukikutana na wazuri basi ni wazuri kweli kuanzia utosini hadi vidole vya miguuni ;) na wengi wameumbika. Hili la intemarriages nchini mwetu limesaidia sana kuwa na Visura vya kukata na shoka. Visura wa Kiganda mhhhhh! sijapata bahati ya kuwaona visura wa kutoka huko, Visura wa Kenya wapo wachache lakini huwezi kulinganisha na kwetu, msiseme najifagilia lakini huo ndiyo ukweli wa mambo

   [ame="http://www.youtube.com/watch?v=-BoGA5sPRrg"]YouTube- Beautiful U R- Deborah Cox[/ame]
   Last edited by BAK; 27th March 2010 at 16:53.
   Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

  19. liman's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th March 2010
   Posts : 22
   Rep Power : 601
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala??

   jamani tuache masiara bongo tunatisha nimetembea east africa yote lakini apa bongo soo
   ebu kutana na mix moja tu kichaga na kinyakyusa,maji ya kunde si maji ya kunde,urefu si urefu,unene si unene,bwana acheni jamani

  20. Ben Saanane's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th January 2007
   Posts : 13,682
   Rep Power : 102219496
   Likes Received
   13699
   Likes Given
   7318

   Default Re: Wasichana wa kibongo ni warembo kuliko wa kampala?

   Wabongo dada zetu wazuri sana,Kenya wakamba na baadhi ya wakikuyu ndo wanajitahidi ,uganda kuna wanyankole Rwanda ndo wapinzani lakini still dada zetu wanachapa bakora

   Ila kwa kumalizia,dada zetu waache uvivu na mashauzi yasiyo na maana,ingawa si wote
   Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Hivi kwanini wasichana waliyopigwa kibuti huwa warembo zaidi?
   By Acha Uvivu in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 6
   Last Post: 14th June 2011, 13:52
  2. Je ni kweli kwamba wasichana wanaogopa mimba kuliko ukimwi?
   By Kiranja Mkuu in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 24
   Last Post: 25th April 2011, 10:42
  3. Tahadhari mnaopenda kuchukua wasichana warembo
   By Dr wa ukweli in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 113
   Last Post: 4th March 2011, 11:33
  4. Nawapenda wasichana warembo ila sina pamba za kuwadatisha
   By LUMBAKALA in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 16
   Last Post: 2nd February 2011, 20:02

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...