Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 32 of 32
    1. #1
      Felixonfellix's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2010
      Posts : 1,673
      Rep Power : 804
      Likes Received
      165
      Likes Given
      95

      Default vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.

      Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina kumi ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

      PILIPILI
      Pilipili zilizocheshwa zimetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia msukumo wa usambazaji damu mwilini, ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo unaoweza kumfanya mtu akawa na hisia kali za kimapenzi. Kwa msingi huo, ni vema kwa wale wanaokabiliwa tatizo la uwezo wa kufanya mapenzi wakatumia pilipili si kwa wingi bali kwa kiwango stahili, ili waamshe hisia zao.

      PARACHICHI
      Aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.

      NDIZI
      Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwaza juu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana. Kwa msingi huo ulaji wa ndizi mbivu unatajwa kusaidia kujenga misuli mwilini na kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.

      CHOKOLETI
      Ulaji wa Chokoleti huongeza uchangamfu mwilini na, hivyo kumuwezesha mtu anayeshiriki tendo la ndoa kuwa na mguso sahihi kwenye fikra zake, jambo litakalomuwezesha kupokea hisia za mapenzi kwa urahisi zaidi ya mtu ambaye anakwenda kwenye uwanja wa sita kwa sita akiwa mchovu wa mawazo.

      CHAZA NA PWEZA
      Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

      POMEGRANATE
      Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.

      MVINYO MWEKUNDU
      Mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa, hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na tatizo la kushindwa kurudia tendo.

      MBEGU ZA MATUNDA
      Mchangayiko wa mbegu mbalimbali za matunda, mfano tikiti, maboga husaidia kuondoa ACID mwilini na kumfanya mtu ajione ni mwenye afya njema.

      VANILLA
      Vanila husaidia kuamasha hamasa mwili.Mwisho wa aina hizi za vyakula ni TIKITI MAJI ambalo linatajwa kuwa na virutubisho vingi vyenye uwezo wa kuusaidia mwili kuwa na nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa.
      Tushirikiane Tutafika Tuendako

    2. Miaka 50

    3. #21
      Matope's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Location : Dar es salaam
      Posts : 482
      Rep Power : 608
      Likes Received
      57
      Likes Given
      27

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      poa

    4. #22
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,252
      Rep Power : 2622
      Likes Received
      1291
      Likes Given
      834

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Nimekula sana hivi vitu. Nafikiria kupunguza
      Beware of a sucker punch

    5. #23
      Pdidy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 12,283
      Rep Power : 3442
      Likes Received
      1322
      Likes Given
      855

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Quote By felixonfellix
      aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.

      Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina kumi ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

      Pilipili
      pilipili zilizocheshwa zimetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia msukumo wa usambazaji damu mwilini, ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo unaoweza kumfanya mtu akawa na hisia kali za kimapenzi. Kwa msingi huo, ni vema kwa wale wanaokabiliwa tatizo la uwezo wa kufanya mapenzi wakatumia pilipili si kwa wingi bali kwa kiwango stahili, ili waamshe hisia zao.

      Parachichi
      aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini e ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.

      Ndizi
      wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwaza juu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana. Kwa msingi huo ulaji wa ndizi mbivu unatajwa kusaidia kujenga misuli mwilini na kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.

      Chokoleti
      ulaji wa chokoleti huongeza uchangamfu mwilini na, hivyo kumuwezesha mtu anayeshiriki tendo la ndoa kuwa na mguso sahihi kwenye fikra zake, jambo litakalomuwezesha kupokea hisia za mapenzi kwa urahisi zaidi ya mtu ambaye anakwenda kwenye uwanja wa sita kwa sita akiwa mchovu wa mawazo.

      Chaza na pweza
      aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

      Pomegranate
      ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.

      Mvinyo mwekundu
      mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa, hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na tatizo la kushindwa kurudia tendo.

      Mbegu za matunda
      mchangayiko wa mbegu mbalimbali za matunda, mfano tikiti, maboga husaidia kuondoa acid mwilini na kumfanya mtu ajione ni mwenye afya njema.

      Vanilla
      vanila husaidia kuamasha hamasa mwili.mwisho wa aina hizi za vyakula ni tikiti maji ambalo linatajwa kuwa na virutubisho vingi vyenye uwezo wa kuusaidia mwili kuwa na nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa.

      ni vyema ukaelezea vile vile vyakula vipi vinachukua nguvu zao..kama wataendelea kula vya kuongeza huku wakionja onja vya kupunguza nguvu zao azisaidii.....tupe somo zuri sana

    6. #24
      Kituko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2009
      Posts : 3,706
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      489
      Likes Given
      173

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Mihogo na KAranga mbichi ahaaaa USIPIME

    7. #25
      Triplets's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2007
      Posts : 676
      Rep Power : 730
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Quote By Felixonfellix;[
      POMEGRANATE
      Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.

      .[/FONT
      [/COLOR]
      Hili tunda kwa kiswahili linaitwa Komamanga bana!
      Why talk big when you can walk strong!

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Kamuna's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th March 2009
      Posts : 209
      Rep Power : 559
      Likes Received
      10
      Likes Given
      15

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Quote By Masikini_Jeuri
      Asali na mayai ya kuchemsha je?

      Fidel mwana upo; nilijua tropiki hii itakugusa tuu!
      Tropiki tena!Mwee!

    10. #27
      Maria Roza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2009
      Posts : 6,435
      Rep Power : 1844
      Likes Received
      789
      Likes Given
      333

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Muwe mnafanya na mazoezi sio kula kunywa lager na kulala agrrrrrrrrr
      If u can't stand for something , u will fall for anything !

    11. #28
      Sydney's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th November 2009
      Posts : 136
      Rep Power : 512
      Likes Received
      5
      Likes Given
      7

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Ni kutumia vyakula ama ni vile mtu ulivyoumbwa?

    12. #29
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,691
      Rep Power : 22521
      Likes Received
      6347
      Likes Given
      2835

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Quote By Bigirita
      Mkuu, upo sahihi kabisa.
      Lakini amesahau na vinywaji pia....sio mboga na matunda pekee!
      Muulize Fidel hapo kwenye kinywaji!
      Vinywaji vipo- Ametaja mvinyo mwekundu-RED WINE!
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    13. #30
      Masikini_Jeuri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Location : Igangidung'u
      Posts : 5,953
      Rep Power : 2079
      Likes Received
      698
      Likes Given
      5029

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Hakuna kitu ingine zaidi ya Red wine; mie nikikamata hiyo kitu tumbo lina jaa gesi
      24 hours in a day! 24 beers in a case, Coincidence? I think not!

    14. #31
      Kibongoto's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th August 2009
      Posts : 232
      Rep Power : 544
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Quote By Masikini_Jeuri
      Hakuna kitu ingine zaidi ya Red wine; mie nikikamata hiyo kitu tumbo lina jaa gesi
      try valuu then

    15. #32
      Tall's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2010
      Location : Tandale kwa mtogole
      Posts : 1,431
      Rep Power : 759
      Likes Received
      142
      Likes Given
      245

      Default Re: vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

      Quote By Fidel80
      Umesahau Mhogo na karanga hapo.
      karanga mbichi,nyanya chungu,konyagi.kahawa......... .........haya tena wale wenye matatizo hayo changamkieni hiyo list. lakini? hawa wahindi naona wanapendelea sana pilipili ina maana .............
      always use low profile........ajikwezae atashushwa.

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Ngono ya wizi inanoga kuliko tendo la ndoa katika Ndoa halali.
      By mmaroroi in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 85
      Last Post: 8th March 2013, 16:04
    2. Uwezo wa tendo la ndoa
      By Mbava in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 30
      Last Post: 23rd May 2011, 01:28
    3. Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?
      By Mkombozi in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 10
      Last Post: 16th January 2011, 05:59
    4. Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa
      By Kimbweka in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 7
      Last Post: 14th December 2010, 13:47

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...