JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: 30 years older,anataka,nifanyeje?

  Report Post
  Page 3 of 3 FirstFirst 123
  Results 41 to 50 of 50
  1. MPENZI no 3's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 23rd June 2013
   Posts : 9
   Rep Power : 344
   Likes Received
   11
   Likes Given
   0

   Default 30 years older,anataka,nifanyeje?

   Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana Kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na Mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi


  2. #41
   sunna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2013
   Posts : 396
   Rep Power : 424
   Likes Received
   49
   Likes Given
   6

   Default Re: 30 years older,anataka,nifanyeje?

   Mtaka cha uvunguni......! Mpe mzee mashine aendeshe.

  3. Munkari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th February 2013
   Posts : 4,935
   Rep Power : 5256775
   Likes Received
   2488
   Likes Given
   194

   Default

   Quote By OLESAIDIMU View Post
   Wewe huyu!!!!
   mambo?

  4. nyakubi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th July 2013
   Posts : 107
   Rep Power : 359
   Likes Received
   15
   Likes Given
   107

   Default Re: 30 years older,anataka,nifanyeje?

   Quote By mpenzi no 3 View Post
   wana jamvi mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,huyu baba ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi
   ukitaka kula, lazima uliwe----j.k 2011
   I HAVE DECIDED TO STICK WITH LOVE, HATE IS TOO GREAT A BURDEN TO BEAR!!!

  5. shansarie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2013
   Location : tnazania
   Posts : 3,813
   Rep Power : 67225105
   Likes Received
   2223
   Likes Given
   4520

   Default Re: 30 years older,anataka,nifanyeje?

   Na ukijaribu tu ki fetus lazima ukipate acha kabisa usijejuta.
   OLESAIDIMU likes this.

  6. OLESAIDIMU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2011
   Location : As per Assignment
   Posts : 8,629
   Rep Power : 5533698
   Likes Received
   3644
   Likes Given
   2761

   Default Re: 30 years older,anataka,nifanyeje?

   Quote By Munkari View Post
   mambo?
   Poa. Wkend??!!

   So unashauri dogo aogelee?
   Where political parties exist it is important to asses the degrees in which the parties express the interests of the various classes (Karl Marx)

  7. JF SMS Swahili

  8. #46
   Cyan6's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2013
   Posts : 2,764
   Rep Power : 953
   Likes Received
   415
   Likes Given
   3

   Default Re: 30 years older,anataka,nifanyeje?

   Hapana msichana mzuri hivi, kwann usile ujana wako na vijana wenzio? Una pupa na maisha wewe!
   Achana na hizo fedha ndizo zinakufanya udhani unampenda. Fanya kazi kwa bidii, tumia akili na maarifa Mungu aliyokujalia.
   Kwani huna shughuli ya kukuletea kipato? Fedha ni nzuri ya kutafuta mwenyewe.
   Pili huyo ni mume wa mtu, huyo hakufai! Bora angekuwa hana mke. Nakwambia unajipotezea bahati yako ya kumpata mume. UTAJUTA NA UZURI HUO UTASAGA MENO...
   Usiangalie mwisho wa pua yako! Maisha ya uke wenza ni utumwa mno! Acha mdogo wangu. Tulia muombe Mungu atakupa jamani. Mbona wenzio tuliomba tukapata?
   bby ya mangi likes this.

  9. MadameX's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2009
   Location : Timbaktu
   Posts : 7,137
   Rep Power : 24559
   Likes Received
   3335
   Likes Given
   1573

   Default Re: 30 years older,anataka,nifanyeje?

   Mmmmh sikushsuri banz mwache akajilie mzee mwenzake lakii ujue mpaka lini utskila vys dezo.

   Lakini huogopi michirizi ya nyama za uzee, I see horror movie here

  10. Hollywood's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th August 2013
   Posts : 132
   Rep Power : 359
   Likes Received
   65
   Likes Given
   23

   Default

   Quote By lara 1 View Post
   Mmmmmh!

   Mzee kumkabili yataka roho ya kutu. Pata picha kijana akiwa mtupu atisha haswaaaaa!

   Pata picha p zina makunyanzi, vuzieing full mvi! Bado ngozi nyorodo!

   IGA UFE!
   sister lara 1 hebu jaribu ku-elaborate kidogo! Ushaniacha bibie!

  11. Hollywood's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th August 2013
   Posts : 132
   Rep Power : 359
   Likes Received
   65
   Likes Given
   23

   Default

   Quote By MadameX View Post
   Mmmmh sikushsuri banz mwache akajilie mzee mwenzake lakii ujue mpaka lini utskila vys dezo.

   Lakini huogopi michirizi ya nyama za uzee, I see horror movie here
   MadameX, i hope you are 20's! Right....? Hebu sema kwanza halafu nikwambie kitu!

  12. #50
   peri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd March 2011
   Posts : 1,864
   Rep Power : 110698
   Likes Received
   680
   Likes Given
   156

   Default

   Quote By kalou View Post
   what goes around........................ .............
   na wewe utaolewa,afu mme wako atakuwa anagegeda nje, sijui utalalamika
   mi nadhani amependa misaada, anatafuta namna ya kuilinda isikatike.

  13. JF SMS Swahili

  Page 3 of 3 FirstFirst 123

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...