Jamani napenda kuwashukuru sana tena sana wale woooooooooooooote tuliokutana fraideiiiiiiiiiiii,ilikuwa pouwa kufahamiana na kubadilishana mawazo mazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iii,yale malengo plz tuyatimize si mnakumbuka ziz wiki kukutana kwenye kujiwe chetu kupya?sasa je kuna yoyote alie mkontact Mwanakijiji ili tujue tunakabizi vipi mchango wetu?ntakula hela mm shauri zenu

Reply With Quote






Follow Us Here