JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kipindi cha mfungo:ukiota watemebea an majini/maruhani ukamaliza kazi utaitaji kurudia mfungo??

  Report Post
  Results 1 to 2 of 2
  1. BASIASI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th September 2010
   Posts : 2,373
   Rep Power : 1169
   Likes Received
   481
   Likes Given
   334

   Default Kipindi cha mfungo:ukiota watemebea an majini/maruhani ukamaliza kazi utaitaji kurudia mfungo??

   Ndugu zanguni habarini za saizi
   maoni yangu tunaendelea kulala ingawa wengine usiku kwetu mchana mpaka wiki iishe

   leo kwa wale wenye kujibu kwa hekima tulikuwa tunaulizana na mwenzangu swali hilo hapo juu
   ikatoke umepumzika usiku ama mchana gafla ukaota unafanya mapenzi ndootoni ama na majini
   ama wapenzi wenu mliowaacha bila idhini zao

   swali linakuja ikitokea hivi tunaitaji kufunga zingine ukombele ,?na je siku inakuwa imekufa??
   Embu tusaidien maana kuna wengine wanalala mchana na yanawatokea ni vyema wakaijua wajue waendelee tu kula ama watakuja kulipa kule mbeleni

   majibu ya hekima na upendo ndio nguzo kuu yetu wakati huu wa mfungo

   amin amin amin


  2. silent lion's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2012
   Posts : 438
   Rep Power : 583
   Likes Received
   126
   Likes Given
   3

   Default Re: Kipindi cha mfungo:ukiota watemebea an majini/maruhani ukamaliza kazi utaitaji kurudia mfungo??

   kama umeota haina shida, nenda kaoge tu uendelee na swaumu, wala hauji kulipa. mambo yanayoharibu swaumu ni
   1. kula au kunywa kwa makusudi.
   2. kujitoa manii kwa makusudi (puli)
   3. kujitapisha kwa makusudi
   4. kumuingilia mwanamke au mke mchana
   5. kusema uongo, kupigana, kusengenya
   n.k
   tanbihi: ikitokea swaumu imeharibika, hautakiwi kula wala kunywa hadi magharibi. na siku utalipa. mungu anajua zaidi


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...