JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ushauri wenu tafadhali

  Report Post
  Page 3 of 3 FirstFirst 123
  Results 41 to 43 of 43
  1. LAKI's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th June 2013
   Posts : 71
   Rep Power : 443
   Likes Received
   28
   Likes Given
   0

   Default Ushauri wenu tafadhali

   Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.


  2. bornagain's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2012
   Location : Nyakanazi - Biharamulo
   Posts : 3,389
   Rep Power : 1178
   Likes Received
   1262
   Likes Given
   1014

   Default Re: Ushauri wenu tafadhali

   Bikra inahusika vipi na ugomvi wenu,ama unataka kutuambia watu wazima na akili zetu kuwa bikra humfanya mtu kuloose temper hahahaha kaombewe tu utakuwa na shida zako binafsi
   “A celebrity is a person who works hard all his life to become well known, then wears dark glasses to avoid being recognized.”

  3. KIDUDU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th September 2012
   Posts : 544
   Rep Power : 576
   Likes Received
   118
   Likes Given
   287

   Default Re: Ushauri wenu tafadhali

   Quote By LAKI View Post
   No, laki sio hela ni jina tu. Sipo tayar kufanya mambos kabla ya ndoa kwani nimejodhatiti kweli na namshukuru Mungu nimejitunza mpaka hapa nilipo. naomba ushauri mwingine tafadhal. thanks
   Muombe sana mungu maana kama atakuheshimu atakuacha kimya kimya vinginevyo atakuchan live. They test the kick before taking off! Kama utafanikiwa kuolewa bila kuliwa kwanza ntafute nkupe zawad, zaid ya hayo, Mwnyez Mungu akutangulie.
   Darkness cannot drive out darkness; only light can do that. Hate cannot drive out hate; only love can do that."

  4. MZEE WA ROCK's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2011
   Location : Morotonga, shirati
   Posts : 622
   Rep Power : 11465084
   Likes Received
   151
   Likes Given
   880

   Default Re: Ushauri wenu tafadhali

   jitu zima hovyo kabisa. kaa na hilo libikira lako uone utafaidika na nini? mtu amejitolea kukupenda alf ww unamnyima papuch , basi ww endelelea na uzezeta wako wa kukaa na hiyo bikra yako km ngao ya taifa according to kongosho, nilimuacha mtu kisa ni km hiyo situation yako nikampata wandani wng used na sasa tumejaliwa watoto wetu wawili maisha yanasonga. yy yupo amepigika na life na aliyemuwekea hile bikra yake, yaan umenikumbusha hasira nilizozisahau muda mrefu. mxhiiiiiiiiuuuuuuuu

   moyo wa mtu ni kichaka


  Page 3 of 3 FirstFirst 123

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...