JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

  Report Post
  Page 6 of 7 FirstFirst ... 4567 LastLast
  Results 101 to 120 of 133
  1. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305256
   Likes Received
   11260
   Likes Given
   6025

   Default Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   refer
   late advocate lyaga sawaya mawalla

   late babu sambeke
   na wengine wengi naogopa kutaja
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  2. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305256
   Likes Received
   11260
   Likes Given
   6025

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By Lisa Rina View Post
   Ivi zitto kaoa?
   hana hata girlfriend
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  3. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305256
   Likes Received
   11260
   Likes Given
   6025

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By Mchaka Mchaka View Post
   Nilisikiaga Mama Rwakatare(Mchungaji) akisema - "if you can get free milk, why keep a cow?
   duh mkuu acha kumshuhudia mama mtumishi uongo
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  4. Kaunga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Location : Wild wild west
   Posts : 12,003
   Rep Power : 101885141
   Likes Received
   12411
   Likes Given
   9125

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By The Boss View Post
   Kuna orodha ya mabilionea kwa idadi ya likes jf na power ref..
   jiandae lol
   labda ukinijazia hiyo mi-likes na rep power naweza ukaribia ulakionea. Si ndicho unachowezaa kuhonga???? Parii ya mdomoni tu!
   [B][I]Mungu ameniumba ili NIMJUE, NIMPENDE, NIMTUMIKIE, ILI NIFIKE KWAKE MBINGUNI....
   [B] Vipi wewe? /COLOR]

  5. Lisa Rina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd December 2010
   Location : everywhere...
   Posts : 879
   Rep Power : 736
   Likes Received
   327
   Likes Given
   10

   Default

   Quote By Smile View Post
   hana hata girlfriend
   Duh!balaa!!

  6. Mchaka Mchaka's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 20th July 2010
   Location : A - CITY
   Posts : 4,540
   Rep Power : 1583
   Likes Received
   1326
   Likes Given
   687

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By Smile View Post
   duh mkuu acha kumshuhudia mama mtumishi uongo
   mkuu sishuhudii uongo, haya ni maneno ya mama..
   Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.

  7. MKATA KIU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 1,755
   Rep Power : 975
   Likes Received
   1295
   Likes Given
   27

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Smile, Matajiri gani unaowaongelea ambao hawajaoa? maana matajiri wote wakubwa wameoa

   hapa Tanzania matajiri wa ukweli wanaotambulika na forbes magazine wote wameoa na wana happy families

   TOP 5 richest people

   1. Said Bakhresa,, ameoa na ana happy family

   2. Gulam Dewji,,, nae ameoa na ana happy family na hata his son Mohamed Dewji nae ameoa na ana happy family

   3. Rostam Azizi.. nae ameoa na ana happy family

   4. Ally Mafuruki nae ameoa na ana happy family

   5. Reginald Mengi nae ameoa japokuwa Kuna miss Tz ameingilia kati

   Hao Matajiri wako unaowaongelea wanaozunguka na ndege ndogo kama bajaj mwisho wao kanda ya kaskazini tu huku Tanzania ( Dar) hawatambuliki,, so usiwaweke kwenye hesabu ya matajiri sizani kama hao uliowataja wanamfikia hata Hasheem Thabeet kwa annual income

  8. aduwilly's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th March 2009
   Location : Duniani
   Posts : 1,185
   Rep Power : 12609
   Likes Received
   288
   Likes Given
   57

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By The Boss View Post
   INTERESTING..
   ukiwa huna kitu bora uoe upate wa ku share nae matatizo lol
   umenena mkuu

  9. Zion Daughter's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2009
   Location : Mlimani
   Posts : 8,934
   Rep Power : 28554457
   Likes Received
   4115
   Likes Given
   2167

   Default

   Quote By Superman View Post
   Smile bana!
   Halafu wewe huwa unatokea kama Kakakuona.Huwa unajificha wapi!?

  10. Lyamber's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th July 2012
   Location : La Familia
   Posts : 1,989
   Rep Power : 872
   Likes Received
   692
   Likes Given
   143

   Default

   Quote By MKATA KIU View Post
   Smile, Matajiri gani unaowaongelea ambao hawajaoa? maana matajiri wote wakubwa wameoa

   hapa Tanzania matajiri wa ukweli wanaotambulika na forbes magazine wote wameoa na wana happy families

   TOP 5 richest people

   1. Said Bakhresa,, ameoa na ana happy family

   2. Gulam Dewji,,, nae ameoa na ana happy family na hata his son Mohamed Dewji nae ameoa na ana happy family

   3. Rostam Azizi.. nae ameoa na ana happy family

   4. Ally Mafuruki nae ameoa na ana happy family

   5. Reginald Mengi nae ameoa japokuwa Kuna miss Tz ameingilia kati

   Hao Matajiri wako unaowaongelea wanaozunguka na ndege ndogo kama bajaj mwisho wao kanda ya kaskazini tu huku Tanzania ( Dar) hawatambuliki,, so usiwaweke kwenye hesabu ya matajiri sizani kama hao uliowataja wanamfikia hata Hasheem Thabeet kwa annual income
   Hahahh daaah hii analysis yako nimeikubali ingawa hapo kwa hasheem thabeet daaaahh umetisha sana..ukweli hao jamaa ni wa huko kaskazini tanzania huku(dar) hawajulikani hahahahahahaha

  11. Chokochoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2011
   Posts : 359
   Rep Power : 587
   Likes Received
   62
   Likes Given
   53

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Apatae mke apata jambo jema naye apata kibali Mbele za Mungu. So usishangae mabilionea hawaoi ndio masharti waliopewa ...................... nasio mipango

  12. Chokochoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2011
   Posts : 359
   Rep Power : 587
   Likes Received
   62
   Likes Given
   53

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   bwahbwaaaahbwaaah huuhhh nimejikuta nacheka kiaina kweli kaskazini kazi ipo kumbe hao ndio vibilionea vyao vyakuhesabu wanawake wote mnawkodolea macho haohao lazima wawaringie

  13. negotiator nodegi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2013
   Posts : 360
   Rep Power : 517
   Likes Received
   86
   Likes Given
   18

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Money is not a problem, the problem are those bad things that can be accompanied by having lots of Money. Nakuambia kadri unavyokuwa na Pesa jitahidi sana kustick kwenye IMANI yako vinginevyo hesabu umepotea. Pesa huleta kiburi, majigambo, dharau, jeuri na takataka zote uzijuazo na ni Imani tu itakayokurudisha kwenye utu. Ndugu, marafiki feki huzaliwa kama uyoga na watakupamba kwa vifijo na ndelemo upandishe mabega yako namaanishe uonekane wa maana sana watumia hizo hela. Na kama unatafuta mwanamke wa kuoa katika 1000 unaweza kukuta 999 ni feki. Kwa kifupi mtu mwenye pesa ni ngumu sana kupata msichana atakaye mpenda kwa dhati. Naomba tusiwashangae hawa Mabilionea kutooa wanawakati mgumu sana.

  14. ITEGAMATWI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th January 2012
   Posts : 3,214
   Rep Power : 614883
   Likes Received
   1114
   Likes Given
   1824

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By Kiranga View Post
   Wikipedia na Oxford dictionary links ziko wapi waliposema billionaire ni lazima uwe katika USD, GBP au Euros? How condescending!

   Chanzo cha definition yangu ni number theory na kanuni za kiingereza, billionaire = mtu mwenye billion, hata kama ni mayai ya kuku ukiwa nayo billion moja wewe ni billionaire wa mayai. Sio lazima ziwe hela.

   -aire is a suffix, you have legionnaires, doctrinaires etc

   Soma hapa -aire | Define -aire at Dictionary.com

   Ukija kwenye currencies unaweza kuwa billionaire wa currency yoyote ile, ndiyo maana wahindi wakisema Tata ni billionaire wanasema billionaire in USD, wakimaanisha kuna mabilionea wengine katika Rupia za kihindi.

   So what's the biggie mtu akisema ni bilionea kwa kumaanisha ni bilionea wa shilingi za madafu? Billionaire is a unit without currency, once you say billionaire you have to specify in what currency, kwa sababu hata ukisema billionaire ni kwa hizo currencies tatu tu, tayari itabidi u specify kama ni USD, GBP au Euros. Sasa kama kimsingi ushakubali hilo, kwa nini ufunge wigo kwa hizo tatu tu?

   Reasoning yako ni nini kama sio arbitrary and outdated colonialism tu?

   Do the Euro, British Pound or US dollar have an oligopoly on the word billionaire?

   And why exactly those three currencies and not bitcoin? or the Qatari Dinar? or the Chinese Yuan? or the Japanese Yen?

   Au ni ukoko wa mkoloni tu na utegemezi usio na mpango kwenye Wikipedia?
   http://oxforddictionaries.com/defini...?q=Billionaire

   http://en.wikipedia.org/wiki/Billionaire

   Unapenda ubishi usio na kichwa wala miguu Mkuu, wewe kumiliki Vitz ya milioni 5Tsh ni Millionea? Hebu tembelea Forbes upate ujuzi zaidi. Kwa Difinition yako Tanzania Zaidi ya 50% ya population ni millionea. Kila kitu huwa kinakuwa classified based on the common Unit acha kupotosha jamii.

   Na hivyo vyanzo vyako hakuna hata kimoja kinachoku-support directly unajaribu kutafuta ushahidi wa kuungaunga lakini huupati.
   Last edited by ITEGAMATWI; 16th April 2013 at 06:00.

  15. demulikuy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th September 2011
   Posts : 355
   Rep Power : 589
   Likes Received
   160
   Likes Given
   1597

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By Zogwale View Post
   Kwa kawaida watu wengi wenye utajiri unatokana na dili chafu huwa hawaoi. Kama akioa basi jua vifaa vingi vinavyotumika kwa dili hizo atakuwa amehifadhi sehemu nyingine. Kwa mfano mtu ni jambazi anaiba magari, mabenki na michongo mingine ya kuua hata binadamu. Mtu huyo ana silaha za kila aina nyumbani na accessories zake, pia mtu huyo pengine anagushi na ana kila aina ya mihuri na headed papers za makampuni Tanzania. Mtu huyo atakuwa na mikutano mingi na majambazi wenzake ili kupanga kikosi kazi cha jambo fulani!! Je mtu huyo atathubutu kuoa mwanamke wa kudumu ambaye ni kiumbe dhaifu na wanaweza kukosana siku moja na ikafanya siri kubwa itoke nje?

   Mifano mingi ipo sana na tusiende mbali tuanzie na Bob Sambeke, Mikataba angamizi ya Nyaga, marehemu wa Dar waliohusishwa na madawa ya kulevya (refer sakata la madawa ya kulevya bungeni).

   Kwa hali yoyote ile the so called wafanyabiashara fake mabillionaire ambao hawajui uchungu wa biashara wana siri nyingi nyeusi na nyekundu kuliko damu ambazo ni hatari!!! Jua pia cirle yao na wanawake kwa uzinzi ni hatari. Kwa mantiki hii mke ni lazima kuwe na ugomvi hasa kwa mahawara na vimada maana jua mke ana haki na si ma--la--ya. Kwa hali hii kama ikitokea ugomvi kati ya mke na mume ni rahisi mke kutoa siri!!

   HAWATAKAA WAOE KABISA!!!!!! NA wakioa wanavuna!!!!! Rest in Peace Bob, Nyaga, Mpakanjia et al...!!!
   Mkuu Zogwale Huo ndiyo ukweli mtupu nakushukuru kwa ujasiri wako huo. Nawashangaa wana JF humu ndani kwa kutokuwa wajasiri to face the Truth. Nyaga na Bob walikuwa ni dangerous crimininals involved in armed robberies, extortion and you name it. Kuwasifia kwamba walikuwa ni wafanyabiashara maarufu, it makes me sick. Now they are going to rot in HELL. LUCIFER has a company with these fellows at the moment.

  16. mkonowapaka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Udinde
   Posts : 1,466
   Rep Power : 895
   Likes Received
   645
   Likes Given
   345

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   babu sambeke alikua na wake watatu na watoto watatu...source moshi

  17. Bigirita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : 3.0758° S, 37.3533° E
   Posts : 13,157
   Rep Power : 171804295
   Likes Received
   4129
   Likes Given
   5895

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By Smile View Post
   si kaolewa uarabuni yule ama?
   Kuolewa uarabuni ndo kuolewa nyuma au?
   * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

  18. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305256
   Likes Received
   11260
   Likes Given
   6025

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By mkonowapaka View Post
   babu sambeke alikua na wake watatu na watoto watatu...source moshi
   hajawai kuoa mkuu.... mahawara labda
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  19. Mystic's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th February 2013
   Posts : 150
   Rep Power : 477
   Likes Received
   36
   Likes Given
   68

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By The Boss View Post
   INTERESTING..
   ukiwa huna kitu bora uoe upate wa ku share nae matatizo lol
   mmh! nikipata nafasi nitatafakari zaidi kama njia hiyo itaweza kunifaa.

  20. Superman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st April 2007
   Location : On Move
   Posts : 5,593
   Rep Power : 4217543
   Likes Received
   1554
   Likes Given
   1312

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By Zion Daughter View Post
   Halafu wewe huwa unatokea kama Kakakuona.Huwa unajificha wapi!?
   Khaaaa kwani huwa natafutwa? Mi JF si mama wala baba yangu kama CCM ilivyokuwa si mama au baba wa Mwalimu!

   Haaaaa haaaa Mzima ZD?

   Smile bana . . . . kuna mtu amemjibu eti watu wakiwa na Babaji used zinazoruka hewani wanaitwa Billionea. Sipati picha maana DSM Airport ya zamani kuna ndege nyingi sana Private na Helicopter nyingi pia lakini wenyewe nazo wako kimya ila wana pesa balaa. So kuwa na ndege au gari ya thamani si Ubilionea.
   Last edited by Superman; 16th April 2013 at 18:33.
   Kwa kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wanyonge . . . . . . “Ni heri kutoa kuliko kupokea”

  21. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,621
   Rep Power : 429503181
   Likes Received
   30875
   Likes Given
   29184

   Default Re: Mabilionea wa tz hawaoi,masikini harusi kila siku.. why?

   Quote By MKATA KIU View Post
   Smile, Matajiri gani unaowaongelea ambao hawajaoa? maana matajiri wote wakubwa wameoa

   hapa Tanzania matajiri wa ukweli wanaotambulika na forbes magazine wote wameoa na wana happy families

   TOP 5 richest people

   1. Said Bakhresa,, ameoa na ana happy family

   2. Gulam Dewji,,, nae ameoa na ana happy family na hata his son Mohamed Dewji nae ameoa na ana happy family

   3. Rostam Azizi.. nae ameoa na ana happy family

   4. Ally Mafuruki nae ameoa na ana happy family

   5. Reginald Mengi nae ameoa japokuwa Kuna miss Tz ameingilia kati

   Hao Matajiri wako unaowaongelea wanaozunguka na ndege ndogo kama bajaj mwisho wao kanda ya kaskazini tu huku Tanzania ( Dar) hawatambuliki,, so usiwaweke kwenye hesabu ya matajiri sizani kama hao uliowataja wanamfikia hata Hasheem Thabeet kwa annual income

   Forbes hawako sahihi
   Menek yule owner wa exim bank na whitedent ni tajiri kuliko Mafuruki na Mengi
   hata kina Shah wale owners wa Shellys pharmaceutical ni zaidi ya mafuruki
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  Page 6 of 7 FirstFirst ... 4567 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...