Nielewesheni waungwana mathalani uko mbali Arusha mala ghafla bin vuu unaibukia kiwanja cha mwenzi wako DSM ,Mbeya ,Kigoma whatever kumfanyia suprise inapendeza katika kuimarisha penzi ??
Quote" kaka mmoja alitoka Arusha kwenda DSM kumfanyia Mchumba wake suprise DSM akiwa na magift kibao huku akimaini usiku huo utakuwa full shangwe kwani anaenda kum-engage mpendwa wake..mida ya saa nne usiku amefika katika geti la mchumba mala anamuona anaingia ndani na njemba wako kilaji huku wamekumbatiana kwa mahaba..hatima ya penzi lao waliachana ...
Je inafaa kumfanyia mwenzio suprise bila kumpa taarifa ??
FL1
No one is in charge of your happiness except you... God time is the best..
sana tuu mkuu mimi sijaoa hadi leo naitafuta iyo kitu bana so far nikimcheki demu hana hata mzigo simegi naachana nae ipo siku nitapata hata kule Ngarinanyuki.....
First lady umenukumbusha kuna JEmba moja yenyewe ilifanyiwa suprise na mkewe acha ikutwe iko na demu mwingine,ilikuwa kasheshe ila ilibidi msamaha tu Bwana alijitetea eti alizidiwa, Bwana alikuwa anafanya kazi Shinyanga na Mke alibaki Dar pamoja na familia
Suprise hiizi bwana huwa zina madhara makubwa mapenzi yenyewe ya bongo mh
Mimi nakubaliana nawe kabisa MJO1. Unaweza kujiumiza roho tu. Na wapenzi wengine kwenye LDR hata wale wanaoishi mji mmoja hili la kufanyiana surprise linakuwa ni moja ya taratibu zao kwamba kama unataka kuja kwangu nifahamishe kabla siyo kujizukia tu bila taarifa.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Na wapenzi wengine kwenye LDR hata wale wanaoishi mji mmoja hili la kufanyiana surprise linakuwa ni moja ya taratibu zao kwamba kama unataka kuja kwangu nifahamishe kabla siyo kujizukia tu bila taarifa.
Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, na ichukuliwe kuwa kwa kutoa taarifa ni namna moja tu ya kuonyesha ustaarabu-na pia kumwandaa mwenzio kisaikolojia na kimazingira pia!
[QUOTE=Kaizer;640951]Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, na ichukuliwe kuwa kwa kutoa taarifa ni namna moja tu ya kuonyesha ustaarabu-na pia kumwandaa mwenzio kisaikolojia na kimazingira pia![/QUOTE]
Na pia kuondoa evidence yoyote ya away matches na ukware mwingine wote!
Yaani mnasema kufumaniana! Je ufunge safari tangu Arusha mpaka Iringa ( Yes i know the geog of TZ LOL) kisha umfumanie mwenza na mwanamume/mwanamke mwingine.....hapo utapona kweli????
Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, na ichukuliwe kuwa kwa kutoa taarifa ni namna moja tu ya kuonyesha ustaarabu-na pia kumwandaa mwenzio kisaikolojia na kimazingira pia![/QUOTE]

Shishi umenifurahisha
Hivi najiuliza kwa wale wanandoa unajikoki haswa ili ukamfumanie mwenzako halafu iwe nini? muachane au? na kwa wale wenye ndoa zisizotenganishwa hadi kifo inakuwaje ah!
LOVE is a flower, and YOU,its only seed Mjukuu Mtiifu, 2012.
Hivi najiuliza kwa wale wanandoa unajikoki haswa ili ukamfumanie mwenzako halafu iwe nini? muachane au? na kwa wale wenye ndoa zisizotenganishwa hadi kifo inakuwaje ah!
Nimepapenda apo MJ1....thats the right question..ndo maana nasema 'intent' ni muhimu sana...jipime mwenyewe kwanza kwa nini ufanye hivo? ni kwa mapenzi? au ndo 'umeshachoka'?
Hivi najiuliza kwa wale wanandoa unajikoki haswa ili ukamfumanie mwenzako halafu iwe nini? muachane au? na kwa wale wenye ndoa zisizotenganishwa hadi kifo inakuwaje ah!
u know surprise ina mambo yake...waweza kuwa na nia ya kusurprise bila kumfumania lakini wengi wetu tutadahani duh!!! huyu haniamini ndio kaja ghafla bin vup! bila kutoa taarifa to cathc u with your pants down...literaly if you like!
Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja, na ichukuliwe kuwa kwa kutoa taarifa ni namna moja tu ya kuonyesha ustaarabu-na pia kumwandaa mwenzio kisaikolojia na kimazingira pia![/QUOTE]
Na pia kuondoa evidence yoyote ya away matches na ukware mwingine wote!
Yaani mnasema kufumaniana! Je ufunge safari tangu Arusha mpaka Iringa ( Yes i know the geog of TZ LOL) kisha umfumanie mwenza na mwanamume/mwanamke mwingine.....hapo utapona kweli????
Shishi, inategemea na shock absorbers za mtu huyo. Kweli mapenzi huwaumiza wanawake na waume pia kama wamegundua kitu kama hiki kutoka kwa mwenzi wao waliyempenda, lakini kama una akili zako nzuri ni bora kuchukua 50 zako na kuondoka na majonzi yako badala ya kufanya kitu ambacho unaweza kujuta for the rest of your life.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Follow Us Here