Ilikuwa ni jumamosi mnamo mwaka 2012 nilipokuwa kanisani nikishuhudia ndoa ya rafiki yangu.
Ilifika mda wa kufungishwa ndoa na mchungaji.......hapo ndipo nilipoacha mdomo wazi
Msichana alikataa kuolewa akiwa ndani ya shela tena madhabahuni.
Daaa iliniuma sana ijapokuwa sikukataliwa mm.
Lakini cha kushangaza baada ya mshikaji kukataliwa live waliendelea na mahusiono na cha ajabu zaidi baada ya hapo wakaanza kuishi pamoja .
Mm najiuliza sana huyu alie kataliwa siku ya kufunga ndoa ni mtu mwenye roho gani?
je wewe ungeweza fanya kama yeye (kurudiana na huyu binti)?

Reply With Quote



Follow Us Here