Taarifa zilizotolewa kwenye vyombo mbali mbali vya habari hivi punde zimeonyesha kuwa mabinti wengi kati ya miaka 18-35 wanachekelea kuliwa Tigo. Sababu za kuliwa Tigo zimeelezwa kama ifuatavyo:
- Kujikinga na mimba
- Kulinda bikra
- Kuiga mambo ya kwenye mtandao
- Kama sehemu ya kujiongezea kipato
Ushauri: Vijana wetu mchezo huo ni haramu na mungu haupendi kabisa. Pia, unamadhara makubwa kiafya. Wana JF tuwaelimishe vijana wetu wasielekee kwenye upotevu huu mkubwa kabisa.

Reply With Quote



Follow Us Here