Naomba nielimishwe ni kwa vipi Mwanaume anamridhisha Mwanamke kimapenzi.Nitafurahi sana kwa kupata elimu pana kuhusu hili.
Naomba nielimishwe ni kwa vipi Mwanaume anamridhisha Mwanamke kimapenzi.Nitafurahi sana kwa kupata elimu pana kuhusu hili.
Tafuta wanaume wa Kipare uwaulize..wana njia nyingi!
Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!
Swali limeulizwa kama wanawake wote wako sawa.
Mwanamke huyu yukoje?
Mweusi au mweupe? (Race)
Mdogo au mtu mzima? (Maturity)
Anapenda kukaa ndani au kutoka (Personality - Urbanity)
Anapenda kuwa na watu wengi au yeye na wewe tu? (Personality -Outgoingness)
Ni msemaji sana au mkimya? (Confidence)
Anaweza kuanzisha mambo au anataka kuanzishiwa? (Playfulness)
Anakupenda wewe zaidi ya wewe unavyompenda au wewe unampenda zaidi ya anavyokupenda wewe? (Love balance)
Mtiifu au muulizaji (Loyalty)
Mtu wa amorous performances au wa socialite concerns mostly? (Sexuality)
na mengine kama hayo, baada ya kujiuliza maswali hayo yote na wewe jiulize hayo hayo, halafu weka majibu hapa, then ma Dr. Loves wataweza kukusaidia (hata kwa mitishamba if need be)
The Singularity is Near.
Wanaume wa Kipare mpo naomba msaada wenu.
ANGALIZO:mapenzi ni zaidi ya ngono(au sex mnasema watu a mamtoni)!
hilo mliangalie ''wataalamu-wa jukwaa husika''
'!....Wakatafuta Namna Nzuuuuuuuuriiiiii.....WAKASHUG HULIKA....!'
hamjamwuliza anataka nini? je amekuwa na mwanamke akamrusha roho? au ndo anataka kuwa na mwanamke?haya toa jibu,
am not 40, am 18 yrs old with 22yrs experience!
-Mpende kwa upendo wa dhati
-umjali (onyesha umuhimu wake kwako)
-Muheshimu
-mbembeleze
-Mpe pole kwa majukumu ya kazi za ofisini na nyumbani pia.
-Mwambie ahsante kwa kila jambo analokufanyia (akipika,akifua, n.k)
-ujue kumridhisha vizuri mnapokuwa private (kuta nne)
-Msaidie shughuli za nyumbani ambazo na wewe unajua unaweza kufanya.
Kwa mtazamo wangu kama mwanamke, ukimfanyia vitu hivi lazima tu mwanamke aridhike kimapenzi.
A mother who is really a mother is never free.
mwanamke kuridhika ni namna yeye mwenyewe anakupenda kwa kiasi gani na anafurahia muda mnaokuwa naye kwa kiasi gani na muhimu zaidi ni namana anavyokuchukulia kimapenzi hasahasa wakati wa tendo la ndoa. vinginevyo hata ukiwa naye masaa 24, sanasana utamuumiza tu.
Follow Us Here