JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. Michael Bosco's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th January 2010
   Location : morogoro tanzania
   Posts : 57
   Rep Power : 618
   Likes Received
   7
   Likes Given
   1

   Default Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

   Bila shaka kila aliyeko kwenye mapenzi ana kiu yakufahamu staili mbalimbali atakazotumia katika uwanja wa huba kumpagawisha mwenza wake, kimsingi kuna staili nyingi sana ijapokuwa nyingi huhitaji wapendanao wawe wanasarakasiyaani wawe wepesi wa viungo.
   Leo nitazungumzia staili ambazo mwanamke mjamzito anaweza kutumia na mwenza wake wakiwa katika huba na kumfanya afurahie tendo la ndoa na panapomajariwa nitazungumzia staili nyingine ambazo kila mmoja wetuanaweza kutumia katika majambozi kumpagawisha mwenza wake.
   Kuinama: Hapa mwanamke anapaswa kuinama na kushikilia ama kiti, kitanda au kitu chochote kitakachomfanya asichoke miguu yake wakati mwanaume atakapokuwa akimwingilia kimwili. Hii ni staili nzuri kwa mwanamke mjamzito kwani mwanaume hataweza kulisukumatumbo lake.
   Hata hivyo, staili hii ina tatizo moja, uume wa mwanaume hauwezi kukisugua kinena na ikumbukwe kuwa mwanamke ili aweze kufika kileleni lazima mwanaume asiwe mvivu kukishughulisha kinena cha mwanamke kwani ni moja kati ya sehemu kuu ya mwanamke inayoamsha hamasa ya mapenzi na msisimko wa ajabu unaompelekea mwanamke yoyoteyule kufika kileleni!
   Hivyo, mwanaume hapa lazima ahakikishe anatumia mkono wakekumshikashika mpenzi wake kinena ili kumhamasisha kimahaba, lakini wakati anamshika mwanamke sehemu hiyo lazima ahakikishe vidole vyake si vikavu kwani endapo vitakakuwa havina unyevunyevu basi lazima mwanamke ataumia mara baada ya kupapaswa navyo katika kinena kwani kinena kimefunikwa na ngozi laini hivyo mwanaume anapaswa kuhakikishwa vidole vyake haviwi vikavu ili kumwezesha kuaamsha hamasa yake ya mapenzi.
   Kukaa: Mwanaume anakaa kwenye kiti kisha mwanamke anakaa kwenye mapaja yake, hapa uume wa mwanamke hautaweza kuingia wote hali itakayomfanya mjamzito asiumie na mjamzito mwenye mimba ya miezi 8 hufurahia zaidi staili hii kwani ikumbukwe kuwa katika kipindi hiki mtoto huwa tayari ameshuka, mwanamke huonekana kuchoka na kuelemewa na tumbo.
   Hivyo kwa kuwa mtoto huwa ameshuka mwanamke husikia maumivu sana pindi mwanaume anapotumia staili Fulani Fulani ambazo humpa nafasi ya kuingizauume wake wote kwani motto huwa ameshuka hali inayopelekeakusukumwa na uume wa mwanaume pindi unapoingizwa na hivyo kumsababishia mwanamke maumivu.
   MUHIMU:
   Ni kweli katika kipindi cha ujauzito wanawake wengi hujisikia kuchokachoka sana hali inayowafanya wasipende kushiriki tendo la ndoa, lakini hali huwa tofauti kwa wanaume wengi pindi wapenzi wao wawapo wajawazito kwani ni kipindi ambacho mwanaume hufurahia sana kushiriki tendo la ndoa na mjamzito kutokana na ukweli kuwa katika kipindi hiki mwanamke huwa na joto lakutosha sehemu zake za siri, joto ambalo humfanya mwanaume apagawe.
   Hivyo mjamzito anapaswa kuhakikisha anafanya kila analoweza kumpa mwenza wake unyumba isipokuwa tu endapo atakuwa ameshauriwa na daktari kutoshiriki tendo la ndoa kwa sababu za kitaalam!
   Ukisoma makala haya, tfadhali mjulishe na mwenzio ili ajifunze jambo


  2. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,256
   Rep Power : 16106769
   Likes Received
   8178
   Likes Given
   3665

   Default Re: Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

   Nasikia wanawake wengi wa Jf wako au wanakaribia menopozi!

  3. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 25,174
   Rep Power : 397048792
   Likes Received
   12733
   Likes Given
   12099

   Default Re: Jinsi ya kufanya mapenzi na mwanamke wakati wa ujauzito

   .afadhali uwafundishe hawa wanaume humu...maana kuna mmoja alijitapa kumla mavi mkewe.....bila aibuuu

  4. Michael Bosco's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th January 2010
   Location : morogoro tanzania
   Posts : 57
   Rep Power : 618
   Likes Received
   7
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By BADILI TABIA View Post
   .afadhali uwafundishe hawa wanaume humu...maana kuna mmoja alijitapa kumla mavi mkewe.....bila aibuuu
   huyo ni nouma kala mavi kabisa

  5. Don Mangi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Machang'anja
   Posts : 2,162
   Rep Power : 12565100
   Likes Received
   718
   Likes Given
   830

   Default

   Quote By BADILI TABIA View Post
   .afadhali uwafundishe hawa wanaume humu...maana kuna mmoja alijitapa kumla mavi mkewe.....bila aibuuu
   Tehe tehe. . .akishirikiana na KY. . .  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...