JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

  Report Post
  Page 4 of 8 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
  Results 61 to 80 of 142
  1. #1
   Graca's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2011
   Posts : 490
   Rep Power : 638
   Likes Received
   144
   Likes Given
   43

   Default jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   ladies plz hebu tupeane uzoefu ni mbinu gsni ambazo zinamfanya umpendae apagawe juu yako.

   mi kwanza huwa sipendi kutulia yaani naanzisha game popote pale hata kama ni kwenye halaiki nitatsfuta njia tu ili ajue kua nataka tamu. yaani hii humfanya anyegeke na awe na hamu na mm mara kwa mara. yy huwa ananiambia G mtundu sana ww unanifanya niwe na hamu na ww muda wote.

   kama yupo kaxini basi nitahakikisha namtumia sms na vipicha vya kimahaba ilimrad tu kuamsha hisis zake.. hii imetusaidia tumekua karibu sana.

   tukija faragha sasa. hahaa mtoto wa kike najituma mpaka basi yaaani msujuzi yote nayaaply mpaka kanivulia kofia..

   so akina mama tujitahidi tuwe wabunifu na mawasiliano yawepo. unapenda kitu mwambie na kama hupendi mwmbie usifanye tu kutimiza wajibu u will be happy...

   plz share some tips zenu nipate maufundi mapya..

   thx.

  2. #61
   Graca's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2011
   Posts : 490
   Rep Power : 638
   Likes Received
   144
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By epson View Post
   hongera inaonesha how much you enjoy ua man, always usipokuwa mbunifu utaishia kulaumu siku zote lakini ukijishughurisha mambo yanajipa yenyewe
   kweli kabisa..

  3. MR. ABLE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 1,479
   Rep Power : 786
   Likes Received
   799
   Likes Given
   1471

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By Graca View Post
   ndo haya tunayakusanys mjifaifie kwa raha zenu
   hakika kama ningepata mwanamke mwenye ujuzi kama huo anaousea Graca ningefurahi sana coz ningeenjoy maisha.

  4. #63
   Graca's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2011
   Posts : 490
   Rep Power : 638
   Likes Received
   144
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By SAUDARI View Post
   hakika kama ningepata mwanamke mwenye ujuzi kama huo anaousea Graca ningefurahi sana coz ningeenjoy maisha.
   kweli bhana maisha yenyewe mafupi hays.

  5. sabasita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2009
   Location : HOLLYWOOD
   Posts : 1,465
   Rep Power : 911
   Likes Received
   320
   Likes Given
   174

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By lara 1 View Post
   mmmmmmmmmmh! I see! Japo sitaki kujibu manake hizi ni siri za biashara ila ngoja nijibu tu.1.mbinu yangu ya kwanza huwa sipendi kuwe na time table!!!!! Hell no! Yaani ajue wiki hii kuna mechi 3, zitachezwa oldtrafold, emirates na anfield. Hakuna biashara kama hiyo!!!! Mambo ni suprise tu.2. Funguo ninayo, nawahi mwenyewe, nasafisha afu nachojoa viwalo vyote, naoga afu najitupa kwenye 6*6 nazuga na novel ya sydney sheldon!!! Mdogo mdogo nasubiri arudi. ( noma kna siku alirudi na maza wake, afu maza anapenda kukagua kila kona, nilizamaje uvunguni fasta!!!!!! Hatari! Surprise zingine nomaaa!)3.nyingine ni design za kaba koo, mtu yupo busy na match au tv we umelala mwenyewe unangoja aje, nainuka na khanga naenda kunywa maji ya uongo, khanga inadondoka mbele yake siiokoti naendelea na safari. Lazima aje.(tatizo akisikia goooooooooo!!!! Anastopisha game ya huku na kwenda kuchungulia nani kafunga? Nani?)4.nikiona amenuna kama cobra almanusura kupasuka, nampooza kidogo manaake hawakawii hawa!5. Namtext tu kazini leo ukitoka pitia hapa hotelini chumba namba 3, baasi wee masaa yanakuwa hayaendi.
   unamzungumzia yupi....maana wewe uanao wengi dadangu

  6. MR. ABLE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 1,479
   Rep Power : 786
   Likes Received
   799
   Likes Given
   1471

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   inaelekea Graca una ujuzi wa kipekee ambao unakufanya uweze kumkamata mpenzi wako kisawasawa.
   amekua amukufa na ameoza kabisa kabisaa, hasikii wala haoni, hafurukuti kwa hakika wewe mkali ile mbaya.

  7. #66
   Neylu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2012
   Location : Nyatukala
   Posts : 2,635
   Rep Power : 616282
   Likes Received
   1205
   Likes Given
   1128

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By MR.LEO View Post
   Graca,ulichokisema wewe ni very specific case.
   Swala la mapenzi au sex lina vitu vingi sana na ndo maana hakuna uniformity kabisa.
   Na miongoni mwa vitu vinavyo leta utofauti ni kama;
   1.Age za partnerz
   2.Kazi zao
   3.Stress
   4.Lifestyle
   5.Mahali unapoishi
   6.Mazingira mtu aliyokulia,na mengine mengi.
   Mfano experience atayokupa 'Neylu' itategemea factorz nilizotaja hapo juu kwa upande wake na haiwezi ku-work out perfectly kwako!
   So u beta focus on studying ur patner rather than relying on advice that wont help u.
   Mmhhhhhhh????

  8. DSpecial's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th December 2011
   Location : Oslo, Norway
   Posts : 455
   Rep Power : 598
   Likes Received
   129
   Likes Given
   701

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By Kaunga View Post
   Kama hashei Ofisi na mtu, mfuate ukampe cha ufisini!

   Mcheleweshe kazini mara moja moja!

   Mtegeshee ukiwa unadeki chumbani kwenu, usiwe umevaa lijichupi lkn!

   Kukiwa na wageni nyumbani, muite chumbani as if kuna kitu serious; mchojoe na kummyonya kidogo; then mrudi mkawaattend wageni. (cha wizi hicho).

   Inatosha, (mume wangu yuko humu humu)! LOL
   Ila usisahau kuikalia mkiwa nje kwenye balcon usiku taa zikiwa zimezimwa!
   Duh Shabbash!!!.....Jamani wengine bado hatuja oa bwana mnatuua hukuuuuu.....
   Bin adam huru asiyefungamana na upande wowote.

  9. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,141
   Rep Power : 429502271
   Likes Received
   20925
   Likes Given
   10494

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Ngoja nifanye praktiko kabisaa afu nitanote pembeni. Sasa style.ya kumchomoa Paw hapo kwenye iPad yake ndo advertise namba moja nisijelazwa njaa buree
   I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou

  10. lara 1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th June 2012
   Posts : 12,931
   Rep Power : 429499496
   Likes Received
   15816
   Likes Given
   8116

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By sabasita View Post
   unamzungumzia yupi....maana wewe uanao wengi dadangu
   Usijitie shabiki maandazi kutiwa hamira kidogo kuumuka beseni zimaaaaaaaaaaaa!! HAO WENGI ULINIPA WEWE! Kujifanya wanijua sanaaaaaaa!!! JIANGALIE MTOTO WA KIUME!!!!!! UTASUTWA NA MASHUJAA BAND!!!!!!
   KUBWA LA MAADUI! GET RICH OR DIE TRYING

  11. MR. ABLE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 1,479
   Rep Power : 786
   Likes Received
   799
   Likes Given
   1471

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By lara 1 View Post
   Usijitie shabiki maandazi kutiwa hamira kidogo kuumuka beseni zimaaaaaaaaaaaa!! HAO WENGI ULINIPA WEWE! Kujifanya wanijua sanaaaaaaa!!! JIANGALIE MTOTO WA KIUME!!!!!! UTASUTWA NA MASHUJAA BAND!!!!!!
   mwambie asikuletee utozi wa mandazi kuelea juu ya mafuta.

  12. #71
   kalou's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd August 2009
   Location : Mjini Kati
   Posts : 3,769
   Rep Power : 20474921
   Likes Received
   1769
   Likes Given
   1875

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Hizi topic zenu zitavunja ndoa za watu,wenyewe washajizoelea game mara 1 au 2 kwa wiki,tena hadi usiku watoto wakishalala,round 1 tu ili wasichoshane sana,sasa mtu akishawasoma wakina lara1 akayapeleka nyumbani kwake ili akafanye madadiliko afu ikashindika ndo anajikuta anaanza kuwa na kazi za nje

  13. Han'some's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2012
   Posts : 283
   Rep Power : 553
   Likes Received
   70
   Likes Given
   0

   Default

   Weeweeh!

   Quote By Angel Msoffe View Post
   Ngoja nami nisubiri maujuz mapya yashushwe hapa

  14. lara 1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th June 2012
   Posts : 12,931
   Rep Power : 429499496
   Likes Received
   15816
   Likes Given
   8116

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By kalou View Post
   Hizi topic zenu zitavunja ndoa za watu,wenyewe washajizoelea game mara 1 au 2 kwa wiki,tena hadi usiku watoto wakishalala,round 1 tu ili wasichoshane sana,sasa mtu akishawasoma wakina lara1 akayapeleka nyumbani kwake ili akafanye madadiliko afu ikashindika ndo anajikuta anaanza kuwa na kazi za nje
   Ngombe hazeeki MAINI banaaa! Wache wavunje mifupa meno ingalipo!!!!!! ITS GOOD TO SPICE UP THINGS ONCE IN A WHILE!!!!!!!! AGE IS JUST A NUMBER!!!!!!!!!!
   KUBWA LA MAADUI! GET RICH OR DIE TRYING

  15. sabasita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2009
   Location : HOLLYWOOD
   Posts : 1,465
   Rep Power : 911
   Likes Received
   320
   Likes Given
   174

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By lara 1 View Post
   Usijitie shabiki maandazi kutiwa hamira kidogo kuumuka beseni zimaaaaaaaaaaaa!! HAO WENGI ULINIPA WEWE! Kujifanya wanijua sanaaaaaaa!!! JIANGALIE MTOTO WA KIUME!!!!!! UTASUTWA NA MASHUJAA BAND!!!!!!
   lo nenohilo nalo nenooooooo

  16. #75
   Graca's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2011
   Posts : 490
   Rep Power : 638
   Likes Received
   144
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By SAUDARI View Post
   inaelekea Graca una ujuzi wa kipekee ambao unakufanya uweze kumkamata mpenzi wako kisawasawa.
   amekua amukufa na ameoza kabisa kabisaa, hasikii wala haoni, hafurukuti kwa hakika wewe mkali ile mbaya.
   huwa nashindwa kuelewa maana hata ma ex niliowamwaga full kunniganda..

  17. Madame B's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th April 2012
   Location : KINO CLAIN
   Posts : 21,179
   Rep Power : 274031543
   Likes Received
   13748
   Likes Given
   8063

   Default

   Quote By Graca View Post
   huwa nashindwa kuelewa maana hata ma ex niliowamwaga full kunniganda..
   Shoga angu real...???

  18. Prince Hope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2012
   Posts : 2,087
   Rep Power : 893
   Likes Received
   368
   Likes Given
   101

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Mademu wanaojifanya ni wataalam wa kuelezea, kunako bed hamna kitu. Niliwahi opoa mmoja, tukiwa bado maeneo ya starehe mbwembwe zilikuwa nyingi saaaaaaaaaaaaana. Akushike, akubusu, baby nyiiiiiiiiiiingi, hizi zote ziliisha alipoingia rum. Kam gogo vile tena anakuna na nywele busy, hana tyme na kinachoendelea. So maneno si matendo.

  19. Kichancheda's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th October 2012
   Posts : 144
   Rep Power : 489
   Likes Received
   43
   Likes Given
   28

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Quote By Prince Hope View Post
   Mademu wanaojifanya ni wataalam wa kuelezea, kunako bed hamna kitu. Niliwahi opoa mmoja, tukiwa bado maeneo ya starehe mbwembwe zilikuwa nyingi saaaaaaaaaaaaana. Akushike, akubusu, baby nyiiiiiiiiiiingi, hizi zote ziliisha alipoingia rum. Kam gogo vile tena anakuna na nywele busy, hana tyme na kinachoendelea. So maneno si matendo.
   Labda ulimkwaza stimu ikayeyuka!Jiangalie na wewe labda ni tatizo

  20. #79
   Mapi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th March 2011
   Location : KILIMANI
   Posts : 6,689
   Rep Power : 2678795
   Likes Received
   2500
   Likes Given
   4868

   Default Re: jinsi ya kumpagawisha mwanaume

   Ayaaa! Maskio yangu mie.

  21. #80
   Graca's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2011
   Posts : 490
   Rep Power : 638
   Likes Received
   144
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By Madame B View Post
   Shoga angu real...???
   yes madam. ni nn shida? maana keroo

  Page 4 of 8 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...