Re: Men fall in love through sex while women fall in...

By
Sipo
Men fall in love through sex, women fall in sex through love
Hii ni signature kwenye profile ya Nyamayao kila nikiisoma huwa napata maswali yafuatayo
1, Je ni kweli mwanaume anaweza kumbeba tu mwanamke amekutana naye somewhere uko baada ya kupewa mtanange then anajikuta ameanza kumpenda kupita kiasi kuliko alivyomuona kwa umbile lake?
kwangu mie nadhani wanaume wanatamani kwanza, akiona shape nk, baada ya hapo ndio muingie kiundani zaidi ndio anaweza kuona kama ameridhika au laa na penzi linachipua, baada ya hapo ndio mnafata kuangalia tabia ya mtu kama inalandana, na inaweza iclandane lakini manjonjo yake(mrembo)yakakufanya uwendele kuwa nae japo kuna mapungufu mengi(ile tutarekebishana taratibu)
Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING
Follow Us Here