....nawaamkua wakuu wa jukwaa hili. Nimeulizwa, nami niwauliza. Ati?
1. Kumfumania mume/mke....au
2. Unajua mume/mke anacheat ila hujabahatika kumkamata.
Lipi linauma zaidi?
....nawaamkua wakuu wa jukwaa hili. Nimeulizwa, nami niwauliza. Ati?
1. Kumfumania mume/mke....au
2. Unajua mume/mke anacheat ila hujabahatika kumkamata.
Lipi linauma zaidi?
#Dunia ni yako:
Chaguo ni lako.
ukweli tumuachie Mungu inauma sana ndio maana ni bora kuaminiana na kutokuwa na uaminifu kwa kila mmoja
kwa mtazamo wangu, kumfumania mtu live inaumiza sana na inaweza kuleta maafa makubwa kutokana na hasira ya aliyefumania.
Bésame Mucho...!!!
LoL, .....BJ.....mnh....haya we!
Ooops...umesema hasira na maafa?
Sum people are very composed aisee....yaani anafumania, kisha anawaomba 'watuhumiwa' msamaha kuwakatishia starehe yao.
Kisha yeye huyo,....anakwenda lala gesti, au chumba cha wageni...
Mie sijawahi fumania, but always psychologically preparing myself niwe na subra 'siku ya siku'....
#Dunia ni yako:
Chaguo ni lako.
Kwa hiyo kama unampenda mtu ulazimishe kuwa wewe ni kipofu hata kama unaona manyoya. BIG NO.
Mimi niko protective...kama nakupenda, nitakulinda...nitakulindaje kwa mbinu za kipelelezi ili nikunasue na possible mitego at early stages. Nakufumania na sikuachi ng'o kwa kuwa nakupenda.
Penzi likiisha hata huo muda wa kupoteza kumpeleleza mtu ntautoa wapi? It is expensive kupeleleza ujue... Kwanza ntashukuru kama kuna wanaonisaidia zigo. lol. Ntachofanya ni kubana tu ili ufe peke yako. Shida zote utamaliza huko huko mi kutwa ntakuwa nanuna tuuu. Hakuna mchezo...hapo ndo ujue NK kanichoka.
Ni kweli kumfumania mtu inauma zaidi ila kuna njia gani ya kuujua ukweli??? maisha ya kudanganywa sio mazuri na kwanini uishi kwa wasiwasi kila siku??? siku hizi magonjwa mengi, bora umfumanie mtu live then ukweli ujulikane na ufanya uamuzi sahihi!!!
" To be happy, we must not be too concerned with others"
Hiyo namba moja mie sitaki hata kuisiki/kuifatilia/wala kuambiwa sitaki.........BP za nini............
Unajua mpaka umemfumania ina maana umetafuta kumfumania sasa yanini presha???
A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"
Follow Us Here