JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 67
  1. #1
   Maryrose's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th September 2012
   Location : The world
   Posts : 74
   Rep Power : 481
   Likes Received
   20
   Likes Given
   18

   Default Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Majibu pls.


  2. #21
   Neylu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th May 2012
   Location : Nyatukala
   Posts : 2,635
   Rep Power : 616283
   Likes Received
   1205
   Likes Given
   1128

   Default re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By OLESAIDIMU View Post
   Your signature banaaa.....tells it all!!!! So kwako mamii hata mtu akisahau ni kupenda kulelewa????
   Mmekula wote we ukalipa tayari ushamlea hapo????

   Au ndo tally system kila ukirudi una check ngapi katoa yeye na ngapi umetoa wewe???

   We ni muhasibu mzuri sana......CPA grade??????

   Hahahaaaaa.... Umenichekesha sana Mkuu.. Haiwezekani yeye awe anasahau hiyo wallet kila siku... Na haya maisha bwana ni kusaidiana...! Sasa kila siku mie nilipe mie!! HAPANA....Signature yangu ni kweli inajieleza... Lol

  3. OLESAIDIMU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2011
   Location : As per Assignment
   Posts : 19,195
   Rep Power : 429500777
   Likes Received
   9122
   Likes Given
   5643

   Default re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Raha ya ku date na mfanyakazi ni kuchangia maisha bana kama jamaa alivyokupa majukumu kidogo tu ukatoka nduki......je angefukuzwa kazi na mna watoto si ndo ungehama nchi????

   Muwe wavumilivu jamani......ndo usawa wenyewe huu
   Where political parties exist it is important to asses the degrees in which the parties express the interests of the various classes (Karl Marx)

  4. Elizabeth Dominic's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 7th December 2007
   Posts : 4,560
   Rep Power : 429498058
   Likes Received
   3561
   Likes Given
   3974

   Default re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Lile jaribio la kutafuta muscular mwenye mkwanja limekuletea mushkeri? Kweli watu hawana hiyana..............

  5. kisukari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2010
   Posts : 2,972
   Rep Power : 106276919
   Likes Received
   1737
   Likes Given
   853

   Default re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   na mimi nikimpata wangu,nitamlea.kila kitu mwanamme afanye,kwangu mimi itakuwa kinyume chake.jamani natani eeeh

  6. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,146
   Rep Power : 429502272
   Likes Received
   20937
   Likes Given
   10494

   Default re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By neylu View Post
   Hahahaaaaa.... Umenichekesha sana Mkuu.. Haiwezekani yeye awe anasahau hiyo wallet kila siku... Na haya maisha bwana ni kusaidiana...! Sasa kila siku mie nilipe mie!! HAPANA....Signature yangu ni kweli inajieleza... Lol
   Kwa faida ya watumia simu: siginecha hii hapa
   Alaaniwe Binadamu amtegemeae Binadamu mwenzie

   Sasa kwa mwanamke kumtegemea mwanaume, inamfanya mwanamke kutokuwa binadamu?
   Kutegemeana ndio mpango mzima, ndo maana bible inasema two are better than one. Kama anasahau wallet na atm card, si uwe unamkumbusha mkitoka? Na kama huwa na wewe unalipaga bili, hatahitaji kujisahaulisha, i promise you. Jaribu uone.
   I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou  7. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 25,235
   Rep Power : 397048806
   Likes Received
   12754
   Likes Given
   12157

   Default re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   wapo wengi tu,
   1. Wanaume walikuwa enzi zetu siku hizi kuna wakiume tu wasiojua nini maana ya mwanaume.....
   2. Kutokujiamini
   3.kupenda starehe wakati uwezo hana
   4. Kupenda vya bure
   5. Uchangupaka(umalaya) tu, kuuza miili ili kupata pesa na starehe
   6. Uvivu wa kazi na kutojituma na kupenda miteremko
   7. Etc etc

  8. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 25,235
   Rep Power : 397048806
   Likes Received
   12754
   Likes Given
   12157

   Default

   Weeee King'asti hujawahi kukutana na wanaume wa aina hii?
   Unadhani mkiwa mnatoka ndo atakwambia hana wallet?
   Dume la dizaini hizi anawaza kukutafuta job na kukualika dinner au lunch mkifika linaongoza kulipa then litaleta visingizio, kuepuka aibu utalipa........

   Linaweza kukukonvince muende movie mkifika kwenye kulipa litajizungusha weeeeeeee hadi karaha.....

   Ila raha ukishamjua tabia, akikualika dinner unakula then lipa msosi wako tu muone atakavyotoa macho, dawa ndogo sana.... Mkifika mahali mwambie lipa...akisema hana wallet wewe mwambie huna hela...aamue kusuka au kunyoa kama hajaenda kuosha vyombo
   (wanaume wa aina hii fomula ya kusaidiana haifanyi kazi kwao, wao wamespecilize kuchuna)


   Quote By King'asti View Post
   Kwa faida ya watumia simu: siginecha hii hapa
   Alaaniwe Binadamu amtegemeae Binadamu mwenzie

   Sasa kwa mwanamke kumtegemea mwanaume, inamfanya mwanamke kutokuwa binadamu?
   Kutegemeana ndio mpango mzima, ndo maana bible inasema two are better than one. Kama anasahau wallet na atm card, si uwe unamkumbusha mkitoka? Na kama huwa na wewe unalipaga bili, hatahitaji kujisahaulisha, i promise you. Jaribu uone.

  9. ELFU-ONEIR's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 27th June 2012
   Posts : 183
   Rep Power : 590
   Likes Received
   64
   Likes Given
   41

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By Maryrose View Post
   Majibu pls.
   .............................. .............................. .......LOADING ....... ABOUT ........................BEIJIN G............................. .............................. .........
   .............................. ..................NO SIGNAL FOUND......................... .............


   PLZ TRY RELOAD ABT BEIJING....................... .............................. .............................. .............................. .............................. .............................. ................................. CLICK HERE TO RELOAD........................ ..................
   “The human brain is a wonderful thing. It starts working the moment you are born, and never stops until you stand up to speak in public.”

  10. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 12,683
   Rep Power : 383638555
   Likes Received
   12704
   Likes Given
   10273

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By Elizabeth Dominic View Post
   Lile jaribio la kutafuta muscular mwenye mkwanja limekuletea mushkeri? Kweli watu hawana hiyana..............
   si ndo mana ulimwambia kuwa walio na mkwanja wana vitambi!na wenzake wala hatukutani na hizo shida!tumejiridhikia na vifriji vyetu na mambo yoooote yanaenda sawa,full kuwa provided!

  11. #30
   jamiif's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2012
   Location : dar es salaam
   Posts : 2,408
   Rep Power : 257703442
   Likes Received
   956
   Likes Given
   826

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   maisha magumu!!!
   Quote By Maryrose View Post
   Majibu pls.

  12. platozoom's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2012
   Posts : 5,640
   Rep Power : 172710453
   Likes Received
   4053
   Likes Given
   6372

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By Elizabeth Dominic View Post
   Lile jaribio la kutafuta muscular mwenye mkwanja limekuletea mushkeri? Kweli watu hawana hiyana..............
   Wewe naye usiwe unakumbuka sana...........Mwenzio ana maumivu!
   "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn't at school"

  13. #32
   lara 1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th June 2012
   Posts : 12,931
   Rep Power : 429499497
   Likes Received
   15816
   Likes Given
   8116

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Prisoner inaelekea JELA ulijifunza vizuri. I GIVE U 5 FOR THAT!!! Ungekuwa bongo ningekunulia APPLE MALTIZER BARIDIIII kukupongeza kuwa kati ya wanaume wachache waliobakia!!!! MPO HAPO!!!!!!!!!!!!!! LOL!!!!!!!!!!!!!
   KUBWA LA MAADUI! GET RICH OR DIE TRYING

  14. #33
   Ndahani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2008
   Location : Somewhere
   Posts : 11,261
   Rep Power : 4470
   Likes Received
   3568
   Likes Given
   6900

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By King'asti View Post
   Lol, wanajikausha hapa kukwepa kukujibu.
   Nina theories 2
   1- kuna genetic disorder inaharibu gene pool
   2- maisha yamekuwa magumu sana, kuna scarce resource na matumizi ya wanawake wa siku hizi yamezidi. So wanaume wa siku hizi hawawezi kuendelea kujilea na kulea familia zao. Zamani mwanaume akileta kitenge cha morogoro tu na chachacha na shanti mama anakenua. Siku hizi lace wig, mkorogo, gari, nyumba, jenereta, sijui maskuli bus! Baba wa watu awezee wapi jamani?

   Note: kumnunulia mpenzio vitu na kumpa treat sio kumlea. Wanawake tuna silika ya uchoyo na kujihesabia haki ya kutunzwa kila wakati bila kusoma alama za nyakati.
   Nakutunuku Phd ya mambo ya kijamii..unaitwa Dr. King'asti Kuanzia sasa
   We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
   Ralph Waldo Emerson

  15. #34
   harakat's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Posts : 2,178
   Rep Power : 1101
   Likes Received
   508
   Likes Given
   61

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Hapo mi mwenyewe nina jamaa yamngu analelewa na mama mmoja
   kapangishiwa na muda fulanui anaachiwa usafiri yaani kwishney

  16. Chimunguru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 9,636
   Rep Power : 2649
   Likes Received
   1917
   Likes Given
   1001

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   siku hizi kuna akina dada ma sista duu wanakazi nzuri na mishahara mishahara minono, magari mazuri halafu no husband, basi utasiki vijana wakisema natafuta mdada wa kunilea. Ndo hao sasa utakuta jamaa anafanya mazoezi ili awavutie wa dada na wanawapata bwana. Utasikia jamaa wakijinasibu aisee nikimpata yule dada ntajituma siachi kitu, naanzia unyayoni namalizia utosini ili kumpagawisha mdada wa watu. So maisha yamebadirika sana ndo maana wa kaka wanalelewa ila i hate hiyo tabia

  17. unknown animal's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2012
   Location : iringa
   Posts : 333
   Rep Power : 542
   Likes Received
   48
   Likes Given
   138

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   waulize wanaolelewa

  18. #37
   lara 1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th June 2012
   Posts : 12,931
   Rep Power : 429499497
   Likes Received
   15816
   Likes Given
   8116

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By Maryrose View Post
   Majibu pls.
   Mmi hawa nina uzoefu nao snaaaa! Kila kitu mkifanya au kutoka wote inakuwa LET IT BE YOUR TREAT BABY, NEXT TIME IT WILL BE MINE sasa hiyo NEXT haifiki ngooooo! Mimi NATANGAZA NJAAA TOKA DAY 1, KAMA ANASEPA ASEPE MAPEMAAA!!!! LOL!!! Tatizo ni sisi MADEMU UNAMUIMPRESSS DUME sanaa mpaka ANAKUONA MGODI!!!! Mimi mwenzenu CHANGU CHANGU CHAKE PIA CHANGU!!!!! LOLEST!!!! NANI KANUNA!!!!?
   KUBWA LA MAADUI! GET RICH OR DIE TRYING

  19. Elizabeth Dominic's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 7th December 2007
   Posts : 4,560
   Rep Power : 429498058
   Likes Received
   3561
   Likes Given
   3974

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By snowhite View Post
   si ndo mana ulimwambia kuwa walio na mkwanja wana vitambi!na wenzake wala hatukutani na hizo shida!tumejiridhikia na vifriji vyetu na mambo yoooote yanaenda sawa,full kuwa provided!
   ha ha ha ha.....................umenich ekesha kwakweli

  20. #39
   Speaker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th August 2010
   Posts : 6,356
   Rep Power : 37137
   Likes Received
   2191
   Likes Given
   5804

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Kwa sababu mnapenda kuwaita "BABY"
   Don't over E.X.P.E.C.T ...

  21. #40
   Von Mo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2012
   Posts : 1,156
   Rep Power : 2585
   Likes Received
   398
   Likes Given
   463

   Default Re: Kwanini wanaume wengi wa siku hz wanapenda kulelewa?

   Quote By Maryrose View Post
   Majibu pls.
   hakuna kitu kama hicho, Hao si wanaume(kwa maana nyingine umemwonyesha kuwa unampenda na yeye hakupendi, so anaanza kukukomoa) na mwisho wake utamwacha. Sifa ya mwanaume ni kutegemewa na mchumba wako, mke wako na ndugu zako ikiwezekana and you feel proud, siyo umepanda daladala demu anakulipia, unaingia mlimani city ktk show au shpng pale kwa mr.price halafu umenywea kumbe umepelekwa..


  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...