| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 294
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
nini chanzo cha kutengana na kutelekezwa kati ya wazazi wake?
__________________
"Wote Ndivyo Tulivyo" |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kuzaa kunampa mzazi wajibu/majukumu ya kutimiza kwa mtoto. Yaani anapaswa kumlea mtoto hata kama wameachana na mama ya mtoto. Mtoto ana haki ya kupata malezi ya kimwili na pia ya kiutu. Kumbe uzazi (ubaba) ni wajibu: iwe ni katika ndoa au nje ya ndoa.
Kuhusu yule kijana aliyetelekezwa na babaye, bado ana wajibu wa kumheshimu baba yake na kumpenda hata kama mzee yule alikosea. Kijana hana sababu ya kulipa kisasi kwani yule ni baba yake tu hata kama hakuwajibika inavyotakiwa. Kamzaa kimwili, wana umoja wa damu. Ni tunda la baba yake. Kwa sababu hiyo, mzee yule akiwa katika shida kubwa ya mahitaji ya maisha kijana bado anatakiwa kumsaidia. Msaada wa mtoto kwa mzazi si malipo ya yale wazazi wetu waliyotundea bali ni wajibu wetu kwao (hata vitabu vya dini vinahimiza). Kumbe kumtunza baba mzazi si lazima kutokane na yeye kukutunza mtoto. Si biashara ya kutendeana. Ni wajibu wa kila mmoja kwa wakati wake. Kumbe kijana amsaidie yule mzee katika uzee wake ikiwa yuko katika hali ya kutaka kusaidiwa. |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Namshauri kijana hivi,kwanza hapo laana haipo ila ushirikina waweza kufanywa. kama huyo jamaa anaweza kumsaidia mtu ye yote hata asiyemjua basi hata baba yake amsaidie. La muhimu ni hili,amfuate baba yake kwa siri,ili azungumze naye kwa kirefu,pengine baba yake anaweza kumpa ukweli wa mambo na yeye akajua mwanzo mpaka mwisho.hapo atakuwa amejiongezea credit kwa jamii na baadae peponi( kama anaamini pepo).
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Na mshauri huyo jamaa amsamehe Baba yake.ni kweli mzee wake alimtekeleza bila matunzo yoyote,kiubinadamu kama mshikaji anajiweza amsaidie baba yake asahau yote yalio tokea huko nyuma.na kwa kufanya hivyo Mungu atambariki sana,na hiyo ni fundisho kwa wanaume wanao wakataa watoto wao au kuwategeleza.nadhani huyu mzee hakuwahi kufikiria kama ipo siku atakuja kuomba msaada kwa huyu jamaa.Ya Mungu ni mengi jamani.
__________________
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nimeuchukua ushauri wenu wadau pamoja na kwamba mada haijachangiwa na wadau wengi. Na madhara ya michango michache ni kuwa ushauri huu ukiusoma kwa makini umeelemea upande wa baba wa mshikaji kusamehewa na kufaidi matunda ambayo hajui uchungu wake zaidi ya raha na utamu wa siku ile aliyopiga game na mama wa mshikaji ujauzito wake ukatungwa. Nway i will take it but as far as the post bado haijawaha closed please tuendelee kumpa mshikaji maushauri
__________________
"Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible
|
|
#7
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Ugomvi wa wazazi mtoto haumhusu, la busara ni huyo Bw.mdogo kuwasiliana na baba yake, atimize majukumu machache atayojaaliwa kwa baba yake. Sio kwakuwa eti hakuwahi kuona 'huduma' toka kwa baba yake halafu naye akaamini ndivyo ilivyokuwa. "Two wrongs doesnt make one right!"
__________________
Powered by JamiiForums.com Copyrights reserved to JamiiForums.com.
|
|||||||||||||||
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nilishawahi kuongea na mshikaji sababu ya mafarakano ya familia yao akasema nachofahamu yeye ni kuwa baada ya kuzaliwa yeye dingi yake aliamua kuoa mwanamke kwa sababu ambazo hata kwa mujibu wa ndygu zake wengine zilisababishwa na huyo dingi kuamia DSM na kumpata mwanamama mwingine ndio akatoa go ahead kwa mama wa mshikaji. Kinachomuuma mshikaji ni kuwa hiyo familia nyingine aliyokwenda kuilelea baba yake ilikula raha sana watoto wakasoma raha mustarehe yeye akitupwatupwa huku na kule pasipo msaada mahususi
__________________
"Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible
|
|
#9
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 02:57 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||