| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1649
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Na aliyekuwa anatembea naye hakufa? Huyo ambaye umesema ni rafiki wa mumewe, hakuwa na mke? Nachelea kusema "Rest In Peace" kwa marehemu....
__________________
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <---(click to support us) Waliochangia 2010: <--- (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read) ![]() 24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com ![]() |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Na wanaume watulie kwani umesikia amekutana na mtoto? Si mume wa rafiki yeke
Correct your statement. Ni lini binadamu tutatulia na kuwa waaminifu!
__________________
The Past is lost to you forever and the future is not yet yours. Now is the Only time you own. Use it wisely........ Maria Fontaine
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
no aliyekufa ni mwananmke na si mwanaume ambaye ni rafiki wa mume wa marehemu.
__________________
"Wote Ndivyo Tulivyo" |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Lahaula Lakwata!
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Alipata kitu kinaitwa coital hypertension alizidiwa utamu ,huwa inatokea mara nyingi kwa wanaume lakini na wanawake kwa hiyo hakuna tego
|
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
bravo mummy kwanza inawezekana huyo rafiki wa mumewe ndiye aliyemtia majaribuni mke wa rafiki yake , sasa inakuwaje chaku umseme mwanamke peke yake na tendo hilo wamelifanya wote? mhhhh give us a break kwanza umetoa kwenye gazeti gani? la udaku?
__________________
--------------------- " To the Degree that you believe you will achieve" |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ehe asante sana kwa ufafanuzi wako, sasa hiyo coital hypertention ndo nini kwa maelezo ya undani zaidi. Je dawa yake au kinga ni nini! ntashukuru sana kwa ufafanuo huo.
__________________
I use what i have to get what I want |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kuna sababu nyingi zinazosababisha kifo. Kwa jinsi habari hii ilivyokuja, haiweki bayana uhusiano wa kifo cha huyo mama na kutembea kwake nje ya ndoa. Ninachosema ni kwamba inawezekana kweli ametembea nje ya ndoa yake, na inawezekana kweli amekufa; lakini mbona mleta habari hajaonyesha mahali kwamba alikufa kwa sababu ya kutembea nje ya ndoa? Je, amefia kitandani/kifuani? Je, amekufa immediately baada ya kutoka kwenye uzinzi? Na interval ilikuwa muda gani btn the two events? Inawezekana amekufa kwa sababu nyingine pamoja na kwamba amefanya mapenzi nje ya ndoa. Naombeni habari kamili.
__________________
He who laughs last thinks slowest! |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
God: Ulikuwa na nani? Mzinzi: Na mume wa rafiki yangu God: Koooooooooooooooooot!! Haina haja ya kutafuta makosa mengine kv hilo peke yake linatosha na hakupata muda wa kutubu!!!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:03 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||