| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||
|
Views: 859
|
||||||||||||||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Sijui kama wengine mmewahi kusikia hii true story ya miaka mingi iliyopita.
Kuna mdau wa ambaye ni dereva wa magari ya mizigo yanayosafiri nchi za mbali. Siku moja aliaga anasafiri na kweli alifanya hivyo. Kwa bahati mbaya sana kabla hawajafika mbali gari ilipatwa na matatizo. Mdau akarudi home majira ya kama saa 10 alfajiri. Kwa kuwa alikuwa na funguo za akiba hakutaka kumsumbua mke wake, hivyo alifungua na kuingia ndani huku nyuma akifunga mlango. Walikuwa wanaishi yeye na mkewe tu. Mdau alipigwa na butwaa baada ya kufika chumbani na kukuta mamaa na jamaa wakila matunda ya mti wa kati. Kwa ustaarabu mkubwa jamaa alimwomba mke wake waongee na kumwacha jamaa ndani asijue cha kufanya. Mdau alimweleza mama kuwa asiwe na wasiwasi. Na alimwomba sana ili kuwe na amani ajifanye kama hakuna kitu kimetokea vinginevyo angeua mtu. ikabidi mama akubali. Mdau akaomba shuka akenda kulala sitting room huku akimwacha mama na jamaa wakiwa bedroom hadi majira ya saa kumi na mbili asubuhi. Jamaa alienda kumwamsha mke wake na kumsihi amtayarishie jamaa maji ya kuoga na hatimaye breakfast. Baada ya kuoga wote watatu walikaa dining room kupata kifungua kinywa huku mdau akipa story na mbaya wake na kumwakikishi asiwe na wasiwasi na baada ya hapo mdau akamwambia mamaa kuwa wamsindikize jamaa yeye akimwita "mgeni". Walipofika nje baada ya muda jamaa alimwambia mama basi msogeze kidogo mgeni wetu, mimi narudi home. Mamaa aliporudi home akamkuta jamaa yuko vizuri tu wala hana noma. Toka siku hiyo jamaa hakuongea chochote kuhusu hiyo issue. Ila hakujamiiana na huyo mkewe tena. Mamaa baada ya kama mwezi akawa anazidi kukonda tu kwa msongo wa mawazo asijue cha kufanya. Akajipeleka kijijini kwa wazazi wake na kuwatangazia kuwa ndoa yao ina matatizo. Mdau alipoitwa yaani mume na kuulizwa, aliwajibu wao hawana matatizo yoyote na wanaishi vizuri tu. Basi wazazi wakafurahi kuwa hakuna matatizi ila wakashangaa binti yao alivyokonda. Baada ya mwezi tena binti akarudi na kudai wana matatizo. Mr alipoitwa akawaambia yeye hana matatizo na mkewe na kama mkewe andadai kuna shida basi aseme ni shida gani. Ikabidi mama ajifunge bao la kisigini kwa kuelezea dhambi aliyofanya. wazazi wake walimjia juu sana. laki ni Mr aliingilia kati na kuwasihi wamwache mke wake anampenda na alishamsamehe kwa hilo ndiyo maana alisema hawana shida. Yule mke alikoma na inasemekana anampenda sana mumewe isivyo kawaida. Wanaume wengine "Fataki" anawaona si deal kabisa. My take: Kumwadhibu partner ambaye si mwaminifu si lazima umpige, kumtukana au kumfungulia kesi, talaka n.k. Lakini je, ni wangapi wana courage hiyo? |
|
#3
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
![]()
__________________
Powered by JamiiForums.com Copyrights reserved to JamiiForums.com.
|
|||||||||||||||
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Duh hii kali superman...nampa jamaa hongera sana. I cannot imagine kama ndo ingekuwa mimi...ningehama hata na nyumba kwa uwoga wa sijui nini kinachoendelea kichwani mwa jamaa. Nampa dadangu huyo hongera pia. Nimeipenda saa hii article, congrates! Naomba kuja chumbani tuongee kitu.
__________________
I use what i have to get what I want |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
''TRUTH TAKES TIME''
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Penny kuna visa vingine katika maisha ukivisikia machozi yanaweza kukutoka, moja wapo ni hiki. Kwa kusoma inaonekana kama ni kitu rahisi tu, lakini katika hali halisi inataka moyo sana. Unataka kuja chumbani wapi tena Penny? Au una maana kuni-PM? Karibu sana. Niko na my wife wangu hapa. |
|
#8
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Kuhusu bastola na panga aaarrgghh, hiyo itakuwa murder case. Kwani unadhamiria kumtoa nani roho?, ...mke/mume au huyo "anayekula" mali zako?
__________________
Powered by JamiiForums.com Copyrights reserved to JamiiForums.com.
|
|||||||||||||||
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
I use what i have to get what I want |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
![]()
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:53 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||