| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 2226
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mimi nimemshauri wakati akimsubiria bibie amalize masters yake na yeye anahitaji mtoto basi atafute wa kumzalia na wakubaliane na bibie......maana naona jamaa ananyanyaswa...
__________________
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wakubaliane kuachana, kwani inaonekana wana mielekeo tofauti, huyu mwingine anamind kuzaa na mwingine kusoma.
Akimaliza masters na kusema anataka kufanya PhD?
__________________
The Singularity is Near. |
|
#4
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
Kama hawawezi kuelewana kwa suala dogo kama hilo, je wakiingia kwenye ndoa itakuwaje By the way wanatakaje mtoto na huku hawajaoana?
__________________
"" Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, naye atanisamehe upotovu wa dhambi zangu" Kaizer@jamiiforums.com |
|||||||||||||||
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
sawa sawa na mie nilimwambia hicho kitu.....shori anasema anataka maisha mazuri yaani akiwa na masters yeye kwake ndio atakuwa na maisha mazuri....wakati jamaa atakuwa keshakuwa kijeba......
......kitu kingine hawa wanawake hawaelewi jambo moja kuwa as siku zinavyozidi kwenda wanazidi kuchoka am sure after masters hatakuwa na mvuto kama alionao sasa hivi....
__________________
|
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
atafute mke wa kuoa amzalie, asitake kuoa degree hilo ndio kosa la watu wengi wasomi.. wanaoa degree si mwanamke, matokeo inajengwa familia ya ajabu.
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Halafu ushahidi wa kisayansi unaonyesha kwamba watoto wanaozaliwa na kinamama wakubwa sana - late thirties and on - wana nafasi kubwa ya kuzaliwa na matatizo kama ya autism na mengine.
Hili analijua nalo?
__________________
The Singularity is Near. |
|
#8
|
|||||||||||||||
|
|||||||||||||||
suala lilikuwa ndoa+mtoto.....
__________________
|
|||||||||||||||
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
hapa nakusanya ushauri wenu ili nikam samaraizie jamaa......
__________________
|
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Mshauri Rafiki yako amuoe mchumba wake kwanza na baadaye ndio afikirie kupata Mtoto..Wasichana wengi sasa hivi wanaogopa mtego wa kuzaa kabla ya ndoa!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 09:38 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||