Re: Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!
Nisikilizie sasa.. ingekuwa mwanume..kama binti ndo katoa suggestion muoane na ndo ukamwambia asubiri umalize masters au PhD..Hapa pangekuwa hapatoshi ati...(akina Shishi, Mwanajamii, WoS na Pretty -lol) wangekuwa wameshakuja na silaha za gender hapa!
Anyway ukweli ni kwamba hapa hakuna direct answer..kuna mambo mengi yanachangia maamuzi. Mwambie jamaa apime upendo wake kwa binti na aangalie nafasi aliyonayo. Na vile vile umri wa sasa wa msichana ni factor..kama yuko above 28..hapo.....maana akimaliza atakuwa above 32...kuna shughuli kidogo...Na lazima ajue kabisa..demu anayefanya masters ni more likely atakuwa na kazi nzuri na..sasa kama jamaa kisomo chake hakijatulia au kazi yake..ndo hivyo tena..uwezekano wa mdada kubadilisha line kwenda tigo au Zain upo..na kama demu yuko nje jamaa ndo yuko bongo..ningemshauri ajiondoe mapema tuu..aombe urafiki wa kalamu......
Hivi jamani naomba kuuliza..umri gani ni mzuri kwa msichana kuolewa?
__________________
For Africa to achieve progress, it is absolutely necessary to move from the current absolute misery to dignified poverty.
|