Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters! - Page 5 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Mahusiano, mapenzi, urafiki


Mahusiano, mapenzi, urafiki Tubadilishane mawazo kuhusu mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana. TAFADHALI: Hii si sehemu ya kuweka picha chafu ama kutumia lugha kali sana. Zitafutwa!


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 1st July 2009, 11:28 PM  
Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!
Yo Yo Yo Yo is offline 1st July 2009, 11:28 PM

Jamaa’ngu mmoja ana mchumba’ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba’ke…...
__________________


 
Yo Yo's Avatar
Yo Yo
JF Senior Expert Member
Points: 853,756, Level: 100 Points: 853,756, Level: 100 Points: 853,756, Level: 100
Activity: 8% Activity: 8% Activity: 8%
Join Date: Sat May 2008
Posts: 5,484
Thanks: 57
Thanked 54 Times in 37 Posts
Views: 2224
Reply With Quote
  #41  
Old 2nd July 2009, 11:21 AM
Yo Yo's Avatar
Yo Yo Yo Yo is offline
Yo Yo is praying
JF Senior Expert Member
Points: 853,756, Level: 100 Points: 853,756, Level: 100 Points: 853,756, Level: 100
Activity: 8% Activity: 8% Activity: 8%
 
Join Date: Sat May 2008
Posts: 5,484
Thanks: 57
Thanked 54 Times in 37 Posts
Rep Power: 32
Yo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Quote:
View Post
Jamaa yako inaonesha anakuwa mgumu sana kusoma alama za nyakati..Kwa kifupi huyo shori hamzimii msela kiivo na ndio maana jamaa anapomletea mambo ya kuzaa sijui kutotoa..anamchek kidaini huku moyoni akijisemea ' huyu vipi!!?
ndio matatizo ya kusoma na kukulia seminari.......nitamzindua nampa mambinu ya kijeshi unajua mashori ukiwapeleka ki Isidingo wanakuona hamnazo......
Quote:
View Post
..Kwa kifupi shori ameegesha tu kwa mshikaji kujikinga mvua na mvua ikiisha anatambaa..
tehe tehe mpemba una mijipointi walah
__________________

Reply With Quote
  #42  
Old 2nd July 2009, 11:22 AM
muhanga muhanga is offline
muhanga has no status.
Senior Member
Points: 63,738, Level: 100 Points: 63,738, Level: 100 Points: 63,738, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Thu Apr 2009
Posts: 146
Thanks: 0
Thanked 29 Times in 22 Posts
Rep Power: 21
muhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enoughmuhanga will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Quote:
View Post
Ah mie nna la kusema hapa? Ntalipataje wakati weye ami ushamaliza yooote?

Very well said, broda!
na akimaliza kumzalisha anaanza kumuona ,used, au 'second hand, ya nini yote hayo. kwanza angefunga nae ndoa mimba ingeweza kuja automatic hata hiyo masters asingeiwaza sana lakini kwa ahadi ya zaa kwanza ndo nikuoa, mmmh hapo pagumu. amalize masters tu waume mbona wengi tu
Reply With Quote
  #43  
Old 2nd July 2009, 11:38 AM
Yo Yo's Avatar
Yo Yo Yo Yo is offline
Yo Yo is praying
JF Senior Expert Member
Points: 853,756, Level: 100 Points: 853,756, Level: 100 Points: 853,756, Level: 100
Activity: 8% Activity: 8% Activity: 8%
 
Join Date: Sat May 2008
Posts: 5,484
Thanks: 57
Thanked 54 Times in 37 Posts
Rep Power: 32
Yo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enoughYo Yo will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Quote:
View Post
na akimaliza kumzalisha anaanza kumuona ,used, au 'second hand, ya nini yote hayo. kwanza angefunga nae ndoa mimba ingeweza kuja automatic hata hiyo masters asingeiwaza sana lakini kwa ahadi ya zaa kwanza ndo nikuoa, mmmh hapo pagumu. amalize masters tu waume mbona wengi tu
wazee mbona hamsomi ninachoandika?? arrrg au ibadilishwe jina la thread liwe anataka ndoa baada ya masters?.......msela anataka NDOA+KUZAA na sio kuzaa tu bila ndoa....nimeeleweka sasa?
__________________

Reply With Quote
  #44  
Old 2nd July 2009, 11:44 AM
Kaizer's Avatar
Kaizer Kaizer is offline
Kaizer loving you everyday
JF Premium Member
Points: 273,389, Level: 100 Points: 273,389, Level: 100 Points: 273,389, Level: 100
Activity: 84% Activity: 84% Activity: 84%
 
Join Date: Tue Sep 2008
Posts: 3,361
Thanks: 976
Thanked 1,044 Times in 654 Posts
Rep Power: 28
Kaizer will become famous soon enoughKaizer will become famous soon enoughKaizer will become famous soon enoughKaizer will become famous soon enoughKaizer will become famous soon enoughKaizer will become famous soon enoughKaizer will become famous soon enoughKaizer will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Quote:
View Post
na akimaliza kumzalisha anaanza kumuona ,used, au 'second hand, ya nini yote hayo. kwanza angefunga nae ndoa mimba ingeweza kuja automatic hata hiyo masters asingeiwaza sana lakini kwa ahadi ya zaa kwanza ndo nikuoa, mmmh hapo pagumu. amalize masters tu waume mbona wengi tu
loooooh muhanga, sio wengi kihivyo,,,,especially waoaji. pitia pitia hata posts za hapa JF utanambia
__________________
"" Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, naye atanisamehe upotovu wa dhambi zangu"

Kaizer@jamiiforums.com
Reply With Quote
  #45  
Old 2nd July 2009, 12:31 PM
Power to the People Power to the People is offline
Power to the People has no status.
JF Premium Member
Points: 94,559, Level: 100 Points: 94,559, Level: 100 Points: 94,559, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Jul 2007
Posts: 233
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 23
Power to the People will become famous soon enoughPower to the People will become famous soon enoughPower to the People will become famous soon enoughPower to the People will become famous soon enoughPower to the People will become famous soon enoughPower to the People will become famous soon enoughPower to the People will become famous soon enoughPower to the People will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

one thing I know for sure kutunza familia esp one with a baby ukiwa shule ni ngumu sana kwa mwanamke one of them will have to suffer and most of the time it is the baby. am speaking from experience. unaacha mtoto na hse help muda mrefu sana watoto wengine wanacope na wengine hawawezi. I had to pack my daughter to my mother for almost 3 years sikutaka kusimama shule na mtoto ndio huyo alikuwa ameshawasili what to do, baba analalamika kila saa mtoto hapati matunzo anayostahili wakati yeye mwenyewe alishakuambia kabla we will manage hamna shida mama. inafikia wakati mwingine hata mtoto akiamka usiku ile kumbembeleza tu ni mbinde na labda wewe unafanya massignment.

Huyu kaka ajue kulea is a big commitment and a lot of sacrifices have to be made, maisha yatabadilika kabisa mtoto anapoingia, na ndio maana huyu dada hataki kufanya mambo mawili yenye umuhimu wa hali ya juu kama haya kwa wakati mmoja nina hakika amefikiri na akapima akagundua she doesnt want her kid to suffer if she could avoid it.
Reply With Quote
  #46  
Old 2nd July 2009, 12:35 PM
Babuyao Babuyao is online now
Babuyao has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 84,517, Level: 100 Points: 84,517, Level: 100 Points: 84,517, Level: 100
Activity: 7% Activity: 7% Activity: 7%
 
Join Date: Sat Jun 2009
Posts: 526
Thanks: 32
Thanked 51 Times in 35 Posts
Rep Power: 22
Babuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Upendo haushindwi na kitu: iwe umri, masomo, nk. Upendo HUSUBIRI. Kumbe mi naona jamaa kama anampenda mtoto amsubiri amalize masomo yake, wafunge ndoa na kuzaa watoto kama Mungu atawajalia. Akianza sasa kutafuta mwanamke mwingine ambaye hakuwa kwenye mpango wake anaweza akaangukia pabaya kwani lazima ataenda kwa pupa kama "mtafutaji". Atampata msichana bila kuwa na utulivu wa akili. Kupata mtu unayemwamini na unayeridhika naye si sawa na kupiga ramli au kufanya biashara ya bidhaa fulani. Mi namshauri asubiri kama anampenda.
Reply With Quote
  #47  
Old 2nd July 2009, 12:47 PM
Babuyao Babuyao is online now
Babuyao has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 84,517, Level: 100 Points: 84,517, Level: 100 Points: 84,517, Level: 100
Activity: 7% Activity: 7% Activity: 7%
 
Join Date: Sat Jun 2009
Posts: 526
Thanks: 32
Thanked 51 Times in 35 Posts
Rep Power: 22
Babuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enoughBabuyao will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Quote:
View Post
Jamaa yako inaonesha anakuwa mgumu sana kusoma alama za nyakati..Kwa kifupi huyo shori hamzimii msela kiivo na ndio maana jamaa anapomletea mambo ya kuzaa sijui kutotoa..anamchek kidaini huku moyoni akijisemea ' huyu vipi!!?
Mi nawajua sana mademu mazee, akiwa hakuzimii na wala haoni future na wewe ataleta gunia la visingizio..Kwa kifupi shori ameegesha tu kwa mshikaji kujikinga mvua na mvua ikiisha anatambaa..
Mkuu umenichekesha sana! Lakini unajua kuna wadada wana-mind sana mambo ya elimu. Usike ukakuta mtoto mpaka hapo alipo labda kasoma kwa shida kweli, na anaona mpaka amalize madgrii yake ndipo atulie na kuanza maisha ya ndoa.

Lakini yawezekana pia mtoto hamwamini sana jamaa. Anaona akiolewa saa hizi na kuzaa mtoto huenda jamaa atamwekea ngumu ya kuendelea na masomo yake kwa vile tayari atakuwa chini ya utawala wa mumewe.

Ila ukweli approach ya jamaa mi sikubaliani nayo: ya kutaka kumzalisha mtoto kabla ya kufunga ndoa huku mtoto mwenyewe akiwa bado masomoni! Walau angefunga ndoa, ndo wakajadili mambo ya kuzaa.
Reply With Quote
  #48  
Old 2nd July 2009, 01:09 PM
GP's Avatar
GP GP is offline
GP Danger de Mort!
JF Senior Expert Member
Points: 241,544, Level: 100 Points: 241,544, Level: 100 Points: 241,544, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Thu Feb 2009
Location: every where
Posts: 1,646
Thanks: 270
Thanked 417 Times in 238 Posts
Rep Power: 25
GP will become famous soon enoughGP will become famous soon enoughGP will become famous soon enoughGP will become famous soon enoughGP will become famous soon enoughGP will become famous soon enoughGP will become famous soon enoughGP will become famous soon enough
Send a message via AIM to GP Send a message via MSN to GP Send a message via Yahoo to GP
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Quote:
View Post
Kama huyo jamaa yako kampenda huyo msichana mie naona bora awe na subira, asubiri mpenzi wake amalize masters then ndio amuoe. Watu wanasubiri miaka 10, halafu yeye hiyo miaka 4 wala sio mingi, maana baada ya 4 years yeye atakuwa na 34 ambao ndio muda muafaka hapo kwa kuoa na kuwa na watoto.
kwanza huko vyuoni kuna mafisi hatari sana, unaweza kupoteza muda wako unamsubiri mtu, ghafla unajikuta umepigwa overtake ya ajabu kwenye kona!, watu wanang'oa juu kwa juu, dada zetu wengine hawaaminiki hawa!, ka vp ampe live anataka kuzaa au hataki?
__________________
Full Option: j'ai un ręve- i have a dream!

.....MWAGA MBOGA NIMWAGE UGALI....
live for today,
learn from yesterday,
look for tomorrow.

george_porjie@jamiiforums.com
Reply With Quote
  #49  
Old 2nd July 2009, 01:15 PM
agika agika is offline
agika has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 77,337, Level: 100 Points: 77,337, Level: 100 Points: 77,337, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Fri Jun 2009
Posts: 385
Thanks: 3
Thanked 4 Times in 3 Posts
Rep Power: 21
agika will become famous soon enoughagika will become famous soon enoughagika will become famous soon enoughagika will become famous soon enoughagika will become famous soon enoughagika will become famous soon enoughagika will become famous soon enoughagika will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Quote:
View Post
Jamaa’ngu mmoja ana mchumba’ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba’ke…...
Mkuu kwanza natanguliza kale kadoubt kangu kama kweli umemrudia Mungu coz hizo comments zako mhhhh hazionyeshi kwamba ni kondooo aliyerudi kundini,
Nikirudi kwenye mada Kwanza kabisa . Yo Yo amesema huyo mdada yuko college na bado miaka minne ili amalize na masters kabisa so maanake bado miaka miwili kumaliza degree yake ya kwanza na miaka miwili ya masters (correct if am wrong) so naona walio wengi wametoa ushauri kiushabiki na Ki-Gender zaidi kuliko kutumia facts, kwanini nasema hivyo mfano kwa wale watoa comments wa kiume just imagine kwamba ni mdogo wako wa kike ambaye yuko undergraduate na bado miaka miwili ya kumaliza undergraduate anakuja kukwambia kaka yake au baba yake kwamba "mchumba wangu anataka kunioa ili tuzae haraka coz umri wake umeenda anahofia kuzeeka kabla ya kuzaaa" utamwambiaje? utamshaurije? je! utamwambia YES GO AHEAD COZ UKIKATAA JAMAA ATAONA HUMPENDI au utamwambia NO MALIZA MASOMO YAKO KWANZA NDIO UOLEWE?
Second, motive ya huyu jamaa ni nini? ni mtoto tu au ni kuwa na mtoto na mwanamke anayempenda na kuwa na familia bora? mbona anasisitizia mtoto tu kama vile ndicho anchokitaka zaidi kuliko huyo mwanamke anayetaka amzalie huyo mtoto?
Third mbona naona watu mnachukulia kama vile mwanamke haruhusiwi kuwa na ndoto na mipango na maaamuzi yake hata kama jambo linahusu maisha yake? wakati huyo jamaa ameshasoma keshajijenga na maisha yake na anataka ndoto yake itimie ya kuwa na mtoto, what about her? why does it look like its right for him to fulfill his dream en she isnt? .
Mie naona huyo mwanaume better analyse himself and his needs, what does he looking for? just a kid? or a kid with lovly wife?
__________________
---------------------
" To the Degree that you believe you will achieve"
Reply With Quote
  #50  
Old 2nd July 2009, 02:25 PM
Kisoda2's Avatar
Kisoda2 Kisoda2 is offline
Kisoda2 "Mwenyewe kwa Mwenyewe"
JF Senior Expert Member
Points: 155,708, Level: 100 Points: 155,708, Level: 100 Points: 155,708, Level: 100
Activity: 4% Activity: 4% Activity: 4%
 
Join Date: Fri May 2008
Posts: 360
Thanks: 23
Thanked 36 Times in 27 Posts
Rep Power: 22
Kisoda2 will become famous soon enoughKisoda2 will become famous soon enoughKisoda2 will become famous soon enoughKisoda2 will become famous soon enoughKisoda2 will become famous soon enoughKisoda2 will become famous soon enoughKisoda2 will become famous soon enoughKisoda2 will become famous soon enough
Default Re: Anataaka kuzaa baada ya kumaliza Masters

Huyo jamaa yako hajatulia.
Zama hizi hakuna anaekubali kuwa kiwanda cha kutotoa vifaranga.
Mwambie aoe kwanza ndipo swala zima la watoto lije. siyo amzalishe binti wa watu kisha ale kona.


_________________________
"Utamu wa Pipi Mate yako!!"
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
anakataa, baada, eti, kumaliza, kuzaa, masters, mpaka


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Majambazi Arusha: Mabomu, Bunduki, Risasi, Bastola - Hii ni Kashfa JWTZ Hasara Jukwaa la Siasa 225 11th December 2009 03:53 PM
Your opinion please! Bubu Ataka Kusema Habari na Hoja mchanganyiko 4 11th June 2008 01:29 PM
Mapambano ya Polisi na MajambaziArusha Yapamba moto! Pinokyo Jukwaa la Siasa 34 10th May 2008 01:07 AM
Patashika nguo kuchanika.... Bubu Ataka Kusema Jukwaa la Siasa 8 27th August 2007 10:06 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 01:31 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com