| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 2386
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mmmmh....Pole!!
__________________
A positive attitude may not solve all your problems,but it will annoy enough people to make it worthwhile...... |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
huyu member mpya,kweli naamini maadhara ya earthquake lilomvamia zeutamu sasa lina affect mmoja kwa mmoja JF
|
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
jamani do not make jokes!,ni kweli namatatizo,matatizo ni ya kila mtu duniani,na mtu muungwana ni anaekili uzaifu wako na kuombe msaada!,sizani kama nimekosea kusema matatizo yangu,siitahili kuchekwa naitaji msaada!!
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ndugu Kulwa:
Ngoja nikupe ushauri. Punyeto haipunguzi uwezo wako wa kiume. Hivyo kupiga kwako punyeto hakuna athari na matukio yako ya kuwahi shughuli. Vilevile ningependa kuweka sawa kijana. Kufika kileleni mapema sio kutokuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni jogoo kutowika kabisa. Wewe ni mwanamme kabambe kabisa. Hila una matatizo ya kutoku-control shughuli zako. Kumbuka kuwa ni ubongo unaotoa signal za wewe kufika kileleni. Hivyo basi wakati wa kitendo, unatakiwa usipoteze akili na u-control movements zako kwa sababu ukishahisi kuwa kitu kinatoka basi huwezi kukirudisha ni lazima kitoke. Hivyo timing ni kitu muhimu sana. Na vilevile usianze mchezo kama hupo kwenye mashindano ya mita 100. Anza taratibu na huku ukisikiliza vitu vyako bila kupoteza fahamu. Vilevile usifuate emotions za mpenzi wako bila kujua mapigo yake. Mpenzi wako anaweza kuonyesha kuwa yupo tayari na wewe ukazidisha mapigo kumbe yeye ndio anaanza. Hivyo communication kati yenu ni kitu muhimu. Vilevile michezo ya mwanzo ya kujitayarisha ni kitu muhimu. Hivyo jifunze mbinu za kujitayarisha. Ukiwa mtayarishaji mzuri dakika yako moja inaweza kuwa ni muhimu katika shughuli zako kuliko kupoteza masaa katika mchezo. Kwa ujumla tatizo lako ni premature ejaculation. Google na utapata mambo mengi. Wako Z10
__________________
If you don't take time for wellness, you are going to have to take time for sickness. |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
asante sana ndugu.
|
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mi nina dawa za kuongeza nguvu au hata ukubwa, unaweza kununua tuongee biashara? Wasiliana nami kwenye PM.
__________________
The Singularity is Near. |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
maumivu huanza pole pole...mwenzio nakunywaga konyagi, nakutafuta mtoto tantalising.
|
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Aisee hilo tatizo lako nami lilishawahi kunipata huko nyuma ila sasa ni historia..nilikunywa kila aina ya dawa za kienyeji na vingine vingi wapii..basi rafiki yangu mmoja akanishauri kitu ambacho naye alikitumia kika work..kwakuwa hiyo ni psychological effect..kama unatumia kinywaji itakuwa nzuri zaidi..nenda duka la madawa nunua kidonge kinaitwa cialis tadalafil..kwetu bongo hakuna haja ya prescription..nunua kimoja tu kinatosha, hakikisha una mpenzi kwanza mana hicho kidonge kinafanya kazi from nusu saa mpaka masaa 36 kuna maelekezo kwenye karatasi kama nimekosea...kata kwanza nusu kidonge meza na maji..then ukiwa na mpenzi wako unaweza kuendelea kukata kilaji chochote kile..jipe nusu saa mpaka one hour utaanza kujisikia hali tofauti hapo ujue kazi tayari...nenda kashughulike...nilipona the same day sikuhitaji tena hicho kidonge siku zilizofuata mpaka leo haijawahi kurudi hali hiyo...kinywaji ukinywa cha kutosha kitakusaidia kukuondoa mawazo kuwa huwezi na hapo ndo utakapoona maajabu..ni kama mchezo wa kuigiza but it worked!!!
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 11:06 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||