Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?
Mahusiano, mapenzi, urafikiTubadilishane mawazo kuhusu mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana. TAFADHALI: Hii si sehemu ya kuweka picha chafu ama kutumia lugha kali sana. Zitafutwa!
wana blog wote,
wasalaam!,sita kukupotezea muda mwingi naomba sana munisaidie shida yangu
hii kwani nahisi dunia yote nimebaki peke yangu!!.kifupi mimi ni kijana
wa miaka 29 na nimesoma mpaka chuo kikuu,japo bado sijabahatika kupata
kazi.nilisoma shule ya bweni ya wavulana tupu,tangu kidato cha kwanza
mpaka cha sita.
Nilipokua shule tangu kidato cha kwanza nilifundishwa au kuiga tabia ya
kupiga punyeto (Masterburation).na ilikua ni tabia ya kawaida kabisa
hapa shule na kutokana na hilo hakika sikujua kama ina madhara yoyote.Niliendelea kupiga punyeto kuanzia kidato cha mpaka kitado cha sita mfululizo na nikawa adicted kabisa.Baada ya kujua madhara yake niliamua kuacha kabisa tabia hii na hili nimeliweza.Nilipofika chuoni niliingia kwenye uhusiano na msicha ambae nilmpenda sana na tulipendana sana.Nilipojaribu kushiri nae tendo,nilishindwa kabisa na sichukui muda hata wa dakika 1 nimeshamwaga!Hili tatizo liliendelea kujirudia mara nyingi sana katika uhusiano wetu na mpenzi wangu alikosa raha sana na kulalamika simlizishi katika mapenzi,na baada ya mudaakanichukia,mapenzi yakapungua na mwiso akaomba tuachane naakaniaacha!!. Nimekaa mwenyewe muda mrefu sana na najihisi mpweke sana,na sina raha.Je naweza kupata mtu wa kunipenda katika hali hii na kuyaelewa matatizo yangu na kuangalia jinsi ya kunisaidia?Je naweza kupata tiba ya tatizo hili?kwani hata sehemu zangu za siri zimesinyaa na imekua laini,na ukiamuka asubuhi inakua imelala tu!!.
naomba msaada wako,na kama kuna msicha yoyote yuko tayari kunipenda kwenye hali hii aniandikie kwenye e-mail yangu kulwa12@fastmail.fm
NAOMBA MSAADA WENU WADAU.
teh teh teh,kijana umenichekesha sana.kwanza nianze kwa kukupa pole,kama walivyo tangulia wenzangu hapo juu. Ni kwamba huna tatizo kabisa,tatizo lako wewe ni kwamba ujiamini kabisa unapokuwa na mrembo kitandani.
Nacho kushauri: unapo anza game inabidi ujiamini,na usiweke akili yako kwenye tendo usika,kwani ukiweka akili kwenye tendo utamaliza game haraka,wakati unaendelea na game ukihisi unafikia mshindo wa kwanza chomoa na kumwaga nje.hiyo itakusaidia kupata nguvu ya kuendelea na ngwe ya pili,kwani ukisema umalizie ndani hutoweza kwani wewe unaonekana ukihisi inasinyaa tu unakata tamaa moja kwa moja kitendo kinacho pelekea jamaa kulala kabisa.
Pia kitu kingine jaribu kula vyakula ambavyo vina virutubisho vya kujena mwili.Mkuu mimi ni muathirika mkubwa wa ponyeto,tangu nikiwa daresa la saba mpaka sasa ni miaka 16 na bado naendelea na aka kamchezo,na per day kuna wakati nilikuwa na piga mpaka mara 3-5.na sijapata tatizo lolote pia nina uwezo wakuunganisha magoli ndani kwa ndani.Hivyo usiwe na wasi wasi kabisa eti umepungukiwa na nguvu za kiume.
Mkuu inabidi na wewe unipe ushauri ni fanye kitu gani na mimi ni wezekuacha huu mchezo,kwani mpaka rfk yangu wa kike anajua hili swala na amejaribu kunikemea niache nime shindwa,naweza kuacha kwa siku tatu ya nne na chemsha.maana rfk yangu huyu hawezi kunifikisha ninapotaka niki piga moja tu anadai amechoka na mimi ndio kwanza moto unakolea,hivyo inanibidi nikamalizie kwa kupiga nyeto.na mimi naomba msaada wakuachana na hii kitu pls.
mhhhhh josm madogo lakini mazito,,,,,, balaaaa huyo mwenzio ana kazi kweli kweli
__________________
--------------------- " To the Degree that you believe you will achieve"
mhhhhh josm madogo lakini mazito,,,,,, balaaaa huyo mwenzio ana kazi kweli kweli
Agika,unaguna nini? si unaona best hapa amelalamika kwa kuwa alishindwa kumtosheleza mamaa! hadi akakimbiwa.mwenzangu wala hana kazi,kazi iko kwangu ambae siriziki hadi nalazimika kujirizisha kwa mikono...Agika ebu nipe ushauri ni fanye nini iliniwe narizika kama mwenzangu ? maana kutoka nje naogopa.
__________________ Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.
Re: Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?
wana biologia wanasema mtu anaekojoa haraka ni raisi kumjaza mtu mimba kuliko yule anaekawia
dogo usiwe na wasi wasi kama jamaa alivyosema kula asali ya nyuki weka kwenye chai badala ya sukari au kwenye mkate nguvu zako zitarudi tuuu
__________________ You can not keep 40m people quite forever....
one year one month one day they will wake up..........
well said.....wengi lazima mjue kuwa mapenzi ni sanaa la kuwa msanii lazima uwe mbunifu......chezeni sana foreplay zama chumvini,do whetever ugonna do ila usianze kuwaza kuingia kwenye 18......
wanaume wengi wanajifeel abnormal lakn si kweli.....wenyewe wanawaza kuingiza na kumaliza...sio mapenzi hayo.....lazima ujue kucheza na milango ya fahamu ya shori.....tumia ulimi kwa saana ukitandaza fiber optic mwili mzima bonyeza bonyeza kila sehemu,uma uma,kanda kanda,finyafinya,mfanyie massage lamba lamba kila sehemu ....nakuambia yeye akiwa keshafika Mbagala wewe ndio kwaanza upo mivinjeni....
janaume moja riridiriki kusema ati haliwezi kuzamia......rinafikiri ku score 6goals ndio kumfikisha shori wake.....
i'm a master pf foreplay....kama una maswali zaidi niPM...TGIF
Duh..Kamanda umegonga ikulu!
Lakini..mimi nadhani masharti mengine ni magumu maana..duh..inaonekana ulimi hatujui kuutumie wengine...
__________________
For Africa to achieve progress, it is absolutely necessary to move from the current absolute misery to dignified poverty.
Re: Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?
Pole sana kaka hata mimi nadhani ukipunguza mawazo tatizo litaisha tuu.
pia jatahidi kufanya mazoezi juu ya kumwandaa msichana kama Mungu akikubariki c unajua c wa kina dada 2napenda maujanja zaidi!ha ha ha ha ha!!!!!