Mwanamke kutongoza mwanaume - Page 15 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Mahusiano, mapenzi, urafiki


Mahusiano, mapenzi, urafiki Tubadilishane mawazo kuhusu mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana. TAFADHALI: Hii si sehemu ya kuweka picha chafu ama kutumia lugha kali sana. Zitafutwa!


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 22nd June 2009, 02:50 AM  
Mwanamke kutongoza mwanaume
Pretty Pretty is offline 22nd June 2009, 02:50 AM

Hey wana Jf,
Katika utamaduni wetu kama waafrika/ watanzania, mwanaume ndio wa kwanza siku zote kueleza hisia zake kwa binti kama anamuhitaji kimahusiano. Hivi sasa imekuwa tofauti kidogo, kuna baadhi ya wasichana wanaanza kueleza hisia zao kwa mvulana/Mwanaume kama anampenda au anahisia nae kimapenzi. Lakini hapa nchini kwetu inaonekana kama vile msichana anayemtaka kimapenzi mwanaume ni muhuni/ mapepe/malaya, majina yote hayo anapewa. Hii tabia ya msichana kumtongoza mwanaume hapa Tanzania kwa sasa bado watu wanaona kama msichana mwenye tabia hiyo ni muhuni au malaya, imekuwa tofauti na developed country hao hii tabia ni ya kawaida tu na wal si ajabu.
Je wewe kama mwanaJF na Mtanzania unalionaje hili, je ni sawa kwa msichana kumtongoza mwanaume? Au bado tubaki na mila/utamaduni wetu wa mwanaume kumtongoza mwanamke?
__________________
"The great pleasure in life is doing what people say you cannot do."

 
Pretty's Avatar
Pretty
JF Senior Expert Member
Points: 233,053, Level: 100 Points: 233,053, Level: 100 Points: 233,053, Level: 100
Activity: 15% Activity: 15% Activity: 15%
Join Date: Thu Mar 2009
Posts: 1,615
Thanks: 297
Thanked 414 Times in 273 Posts
Views: 5014
Reply With Quote
  #141  
Old 4th July 2009, 01:36 AM
MziziMkavu's Avatar
MziziMkavu MziziMkavu is offline
MziziMkavu Hauchimbwi Dawa
JF Senior Expert Member
Points: 1,749,899, Level: 100 Points: 1,749,899, Level: 100 Points: 1,749,899, Level: 100
Activity: 55% Activity: 55% Activity: 55%
 
Join Date: Tue Feb 2009
Posts: 2,763
Thanks: 434
Thanked 346 Times in 231 Posts
Rep Power: 68
MziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the roughMziziMkavu is a jewel in the rough
Default Mwanamke kumtongoza mwanaume ni umalaya???

Mara nyingi sana huwa najaribu kujiuliza kama kuna ubaya wwt kwa mtu kuwa muwazi kwa hisia zake,hapa ndipo utata unapokuja hasa ktk suala zima la hisia za mapenzi kwa wanawake kwamba hatuna haki ya kupenda ama kuvutiwa kwa sababu tu ni mwanamke au tuendelee tu kunyamaza kwa kuogopa kuitwa malaya na hatimae tufe na maumivu ya moyo ukisubili huyo unaempenda roho mtakatifu amshukie nae avutiwe nawe ki2 ambacho wakati mwingine ni nadra sana kutokea na maranyingine isitokee kabisa au tufanye nini ili kuwatendea haki wanawake wengi wanaoteseka ktk hili,naomba tusaidiane mawazo wanakijiji.
Reply With Quote
  #142  
Old 4th July 2009, 10:40 PM
MartinDavid MartinDavid is offline
MartinDavid is The One
Member
Points: 57,311, Level: 100 Points: 57,311, Level: 100 Points: 57,311, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Fri May 2009
Posts: 14
Thanks: 0
Thanked 4 Times in 3 Posts
Rep Power: 0
MartinDavid will become famous soon enoughMartinDavid will become famous soon enoughMartinDavid will become famous soon enoughMartinDavid will become famous soon enoughMartinDavid will become famous soon enoughMartinDavid will become famous soon enoughMartinDavid will become famous soon enoughMartinDavid will become famous soon enough
Default Re: Mwanamke kutongoza mwanaume

what i think on this is that we expecially tanzanians men we are very mean, in other contries even kenya women do approch men and it is fair, i think this culture of self expression is good and i ask all women to express what they feel to men, let the man think what he thinks but atleast you have say what you feel
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
kutongoza, mwanamke, mwanaume


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Alipokuwa Mwanamke Alikuwa Msagaji Sasa Kawa Mwanaume Lakini ni Shoga MziziMkavu Habari na Hoja mchanganyiko 6 10th June 2009 09:01 AM
ndivyo wanaume wawazavyo kuhusu sex mr impossible Mahusiano, mapenzi, urafiki 8 8th June 2009 10:49 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 10:52 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com