JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 39
  1. mashambani kwao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th December 2011
   Posts : 369
   Rep Power : 581
   Likes Received
   54
   Likes Given
   0

   Default msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Yeye yupo morogoro,mimi nipo bagamoyo nilimtembelea mwezi wa saba mwanzoni,nilikaa kwake siku kumi na mbili,baadaye nikarudi bagamoyo,ilipofika tarehe 20 mwezi wa nane alipiga simu na kunijulisha kuwa anamimba,huyu dada ni mfanyakazi wa serikali,nikamwambia nimefurahi sana nitalea mtoto wangu,baada ya kama wiki akapiga simu na kuniuliza je niwataarifu ndugu zangu?nikamwambia wajulishe tu kwa kuwa mimi nimeshajitambulisha kwao basi akapiga simu na kuwajulisha kinachoendelea,tarehe 31 mwezi wa nane alipiga simu angalieni akina dada sasa: dada.!mimi nimeona damu inatoka nimekwenda dukani nimepewa dawa za kuzuia kutoka damu,kaka:mimi nikamjibu kwa kuwa leo umechukua dawa nakuomba kesho asubuhi nenda hospitali iliukachekiwe vizuri,siku iliyofuata nikampigia simu nikauliza vipi unaendeleaje?dada akajibu kumbe zile dawa zimeongeza tatizo damu zinaendelea kutoka,nikamsisitiza lazima ufike hospitali baada ya siku mbili ndipo akafika hospital daktari akamwambia nakupa dawa za kukwangua tumbo mpaka naandika habari hii mimba haipo tena,wapendwa ninasiku mbili sijapata usingizi ninamaswali mengi ambayo sina majibu,naombeni ushauri na sio mizaha'jokes.

  2. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,545
   Rep Power : 429503166
   Likes Received
   30816
   Likes Given
   29184

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   sasa tukushauri nini?

   wewe mwenyewe huna accurate infos....

   kila kitu ni kusikia na kuambiwa
   hujui hata which is which.....

   labda tukushauri ununue vidonge vya usingizi ili ulale vizuri usiku
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  3. Munambefu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2012
   Location : BACK TO TANGANYIKA
   Posts : 687
   Rep Power : 616
   Likes Received
   219
   Likes Given
   56

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Hakuwa nayo huyo alikuwa anakupima imani

  4. King Kong III's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2010
   Location : Enaboishu-Umenyeni
   Posts : 23,599
   Rep Power : 168829829
   Likes Received
   9030
   Likes Given
   3536

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Miscarriage huwa inatokea kwa wadada.

  5. assuredly4's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th November 2011
   Posts : 1,188
   Rep Power : 1019
   Likes Received
   204
   Likes Given
   163

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   itafaa ufanye uchunguzi wa kina ili ujue ukweli, usije kukuta dada ana mtu mwingine. lkn pia mnafanya makosa kuzini bila kufunga ndoa. kama alikuwa na mtu mwingine, akapata mimba ya huyo mtu, huenda kamtosa, kaogopa akizaa mtoto hatafanana na wewe, hivyo itakuwa aibu kubwa.

   kuwa mtulivu, muulize kwa utulivu maswali yote ikijumuisha kwann hakwenda hospitali kama ulivyomwelekeza kisha fanya uchunguzi utajua yote

   jambo jingine mahusiano ya mbali siku zote sio mazuri, kama atakuwa hana tatizo na umeridhika na maelezo pamoja na uchunguzi wako, ni vema mkabariki ndoa ili kuishi pamoja, kwa mmoja kuhamia katika mji mmojawapo, nzuri zaidi kwako unakofanyia kazi mwanaume, ili kubadili mazingira kwa dada
   Last edited by assuredly4; 6th September 2012 at 09:26.

  6. SnowBall's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th September 2011
   Location : Amsterdam, Nertherlands
   Posts : 3,066
   Rep Power : 226845
   Likes Received
   2811
   Likes Given
   4007

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Nenda Morogoro ukaujue ukweli bana..
   Acha uzembe kila kitu unaambiwa kwenye simu tu??
   Kwa sababu hata hapa JF kwa habari nyepesi kama hii utabaki kudanganywa tu..
   ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

  7. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,110
   Rep Power : 429502264
   Likes Received
   20909
   Likes Given
   10494

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Hakukuwa na mimba to start with! Nani alikuambia miscarriage inatibiwa na 'dawa ya kukwangua tumbo'? Mtumie tu hela huyo atapona, ukienda tena morogoro ukirudi kwako utaambiwa mimba ingine na stori itajirudia!
   Ngoja nikalale mi nna mausingizi kama ya kulogewa!

  8. salosalo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th June 2012
   Location : Arusha
   Posts : 556
   Rep Power : 674
   Likes Received
   146
   Likes Given
   40

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Zingatia haya yafuatayo:
   • Nenda kanisani au msikitini katubu kwa dhambi ya kuzini
   • Mchukue mchumba wako mahala muafaka mkafunge ndoa halali ili msirudie ile dhambi ya uzinifu
   • Fanya mpango wa mmoja wenu kuhama ili kumfuata mwenzi wake mpate kuishi pamoja muda wote
   • Usithubutu kufuatilia jambo la mimba ambayo inasemekena imetoka maana utadhoofisha uaminifu kati yenu na huo unaweza kuwa mwanzo wa migogoro ktk mahusiano yenu.
   • Ukiwa bado huko uliko, tafuta rafiki yeyote pale Morogoro na mtambulishe kwa mchumba wako, kwa maswala kama hayo yaliyotokea ulitakiwa kumtuma rafiki yako afike kutoa msaada lakini pia kama sehemu ya kuhakiki ulilo ambiwa

   Nadhani mengine watakushuri wengine

  9. nyamchicha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd September 2012
   Location : kila kona nipo
   Posts : 418
   Rep Power : 552
   Likes Received
   121
   Likes Given
   19

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   MOVE ON!!!!!!!!!! coz hata usipolala mimba hairudi

  10. Manyanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : Look Behind You......
   Posts : 4,446
   Rep Power : 25606
   Likes Received
   1203
   Likes Given
   933

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   mabinti wana tabu kweli... Wacha nilale zangu

  11. mtamanyali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2011
   Posts : 1,023
   Rep Power : 712
   Likes Received
   272
   Likes Given
   237

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   achana na uzinzi!

  12. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Kwa upande fulani namuelewa mdada... Hakuwa na hakika juu ya penzi lako kwake hivo akaona bora akuambie ana mimba, kuhakikisha kuwa wamaanisha akaona bora akuulize kama awajulishe ndugu zake... That way hata ungekataa kungekuwa hakuna kilichoharibika, angebaki na maumivu ya roho (kama kweli kakupenda) na kuangalia mpango mwingine.

   I bet hana mimba... Kwa taarifa kuwa una mpango wa kwenda kujitambulisha hapo anakuandaa kukwambia damu zimetoka na kaenda pharmacy (mimba ni kitu delicate sana, hata wauza maduka ya madawa waoga kutoa dawa kwa mja mzito bila mpangilio). Hivo jiandae kuambiwa mwanao ulietarajia kulea kachoropoka.

   Naomba nikushauri haya tokana na mtazamo wangu;

   1. Kama ni mwanamke wampenda kwa dhati na una hakika anakupenda pia hilo sioni kama ni tatizo na sababu ya kumuacha. Tokana na usanii mkubwa sana wa mapenzi wa sasa kwa wake na waume pia nadhani ni understandable yeye kukujaribu hivo (kikubwa ukiamua kuwa nae lazima mwonyeshe kukwazika).
   2. Kakuambia kuwa ana mimba, then akakuuliza kama awaambie ndugu zake. Hio inaonesha yupo desperate kwa ajili ya ndoa, ni muhimu pia kuliangalia kwa undani kama anakufaa; isije ikawa anatafuta tu picha ya kusema ana mume alafu mwisho wa siku asitimize wajibu wake kama mke huko siku za mbele.

   Hata hivo sijaelewa kama huyo binti ni wa mda mrefu na kama hizo siku 12 ndio mara ya kwanza ama ni wapenzi wa kale, hayo pia yaweza kukusaidia katika maamuzi. Kila la kheri katika kutafuta suluhisho.
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  13. Asabaya's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Posts : 1,284
   Rep Power : 754
   Likes Received
   374
   Likes Given
   100

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Kila likuepukalo lina Kheir na wewe...

  14. BHULULU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Posts : 4,820
   Rep Power : 30916
   Likes Received
   1537
   Likes Given
   1254

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Quote By SnowBall View Post
   Nenda Morogoro ukaujue ukweli bana..
   Acha uzembe kila kitu unaambiwa kwenye simu tu??
   Kwa sababu hata hapa JF kwa habari nyepesi kama hii utabaki kudanganywa tu..
   ushauri mzuri sana,haraka sana afike morogoro

  15. afrique's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Location : mwanza
   Posts : 467
   Rep Power : 571
   Likes Received
   97
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By salosalo View Post
   Zingatia haya yafuatayo:
   • Nenda kanisani au msikitini katubu kwa dhambi ya kuzini
   • Mchukue mchumba wako mahala muafaka mkafunge ndoa halali ili msirudie
    ile dhambi ya uzinifu
   • Fanya mpango wa mmoja wenu kuhama ili kumfuata mwenzi wake mpate
    kuishi pamoja muda wote
   • Usithubutu kufuatilia jambo la mimba ambayo inasemekena imetoka maana
    utadhoofisha uaminifu kati yenu na huo unaweza kuwa mwanzo wa migogoro
    ktk mahusiano yenu.
   • Ukiwa bado huko uliko, tafuta rafiki yeyote pale Morogoro na
    mtambulishe kwa mchumba wako, kwa maswala kama hayo yaliyotokea
    ulitakiwa kumtuma rafiki yako afike kutoa msaada lakini pia kama sehemu
    ya kuhakiki ulilo ambiwa

   Nadhani mengine watakushuri wengine
   nimezipenda point zako za kuwasisitiza waache kuzini coz now adays hapa hofu ya Mungu haipo

  16. afrique's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2012
   Location : mwanza
   Posts : 467
   Rep Power : 571
   Likes Received
   97
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By mtamanyali View Post
   achana na uzinzi!
   big up great thinker,u have the ryt mindset

  17. Mpatanishi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2011
   Location : Kinondoni, Dar es salaam
   Posts : 1,672
   Rep Power : 3084668
   Likes Received
   312
   Likes Given
   73

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Umepigwa changa mkuu.

  18. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 12,683
   Rep Power : 383638554
   Likes Received
   12704
   Likes Given
   10273

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Quote By mashambani kwao View Post
   Yeye yupo morogoro,mimi nipo bagamoyo nilimtembelea mwezi wa saba mwanzoni,nilikaa kwake siku kumi na mbili,baadaye nikarudi bagamoyo,ilipofika tarehe 20 mwezi wa nane alipiga simu na kunijulisha kuwa anamimba,huyu dada ni mfanyakazi wa serikali,nikamwambia nimefurahi sana nitalea mtoto wangu,baada ya kama wiki akapiga simu na kuniuliza je niwataarifu ndugu zangu?nikamwambia wajulishe tu kwa kuwa mimi nimeshajitambulisha kwao basi akapiga simu na kuwajulisha kinachoendelea,tarehe 31 mwezi wa nane alipiga simu angalieni akina dada sasa: dada.!mimi nimeona damu inatoka nimekwenda dukani nimepewa dawa za kuzuia kutoka damu,kaka:mimi nikamjibu kwa kuwa leo umechukua dawa nakuomba kesho asubuhi nenda hospitali iliukachekiwe vizuri,siku iliyofuata nikampigia simu nikauliza vipi unaendeleaje?dada akajibu kumbe zile dawa zimeongeza tatizo damu zinaendelea kutoka,nikamsisitiza lazima ufike hospitali baada ya siku mbili ndipo akafika hospital daktari akamwambia nakupa dawa za kukwangua tumbo mpaka naandika habari hii mimba haipo tena,wapendwa ninasiku mbili sijapata usingizi ninamaswali mengi ambayo sina majibu,naombeni ushauri na sio mizaha'jokes.
   nenda moroogoro ujue hali ya mwenzio,inawezekana anakupima imani aone how serious ur with her au kweli amepata tatizo.ukifika mpeleke hosp madaktari watakwambia wat is wat!hapa tutabaki na speculations tu af we usiende ukajipunguzia mimaksi huko!

  19. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 12,683
   Rep Power : 383638554
   Likes Received
   12704
   Likes Given
   10273

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   Quote By ashadii View Post
   kwa upande fulani namuelewa mdada... Hakuwa na hakika juu ya penzi lako kwake hivo akaona bora akuambie ana mimba, kuhakikisha kuwa wamaanisha akaona bora akuulize kama awajulishe ndugu zake... That way hata ungekataa kungekuwa hakuna kilichoharibika, angebaki na maumivu ya roho (kama kweli kakupenda) na kuangalia mpango mwingine.

   I bet hana mimba... Kwa taarifa kuwa una mpango wa kwenda kujitambulisha hapo anakuandaa kukwambia damu zimetoka na kaenda pharmacy (mimba ni kitu delicate sana, hata wauza maduka ya madawa waoga kutoa dawa kwa mja mzito bila mpangilio). Hivo jiandae kuambiwa mwanao ulietarajia kulea kachoropoka.

   Naomba nikushauri haya tokana na mtazamo wangu;

   1. kama ni mwanamke wampenda kwa dhati na una hakika anakupenda pia hilo sioni kama ni tatizo na sababu ya kumuacha. Tokana na usanii mkubwa sana wa mapenzi wa sasa kwa wake na waume pia nadhani ni understandable yeye kukujaribu hivo (kikubwa ukiamua kuwa nae lazima mwonyeshe kukwazika).
   2. kakuambia kuwa ana mimba, then akakuuliza kama awaambie ndugu zake. Hio inaonesha yupo desperate kwa ajili ya ndoa, ni muhimu pia kuliangalia kwa undani kama anakufaa; isije ikawa anatafuta tu picha ya kusema ana mume alafu mwisho wa siku asitimize wajibu wake kama mke huko siku za mbele.

   hata hivo sijaelewa kama huyo binti ni wa mda mrefu na kama hizo siku 12 ndio mara ya kwanza ama ni wapenzi wa kale, hayo pia yaweza kukusaidia katika maamuzi. Kila la kheri katika kutafuta suluhisho.
   salute!:a s 465:

  20. #20
   Nivea's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st May 2012
   Posts : 7,431
   Rep Power : 156372175
   Likes Received
   4569
   Likes Given
   5417

   Default Re: msichana huyu amenichosha,soma kwa makini.

   ninakuhakikishia hakuwa na mimba alikuwa anakupima imani,wewe ungekuwa mjanja ungemwambia niko njiani nakuja mara moja then ungesikia majibu yake ,theni mwambie dawa alizoandikiwa na docta ,karatasi za matibabu ,au faili ukifika moro mguukw a mguu mpaka hospitali aliyotibiwa uhakikishe usipuuzie usiweke sumu kichwani kuwa mwanaume kweli asikutanie kukudanganya ,then come and tell me kama sio uongo,mark my word ,huyo mwanamke ni mwongo tumia njia hizo utampata
   PATIENCE IS A NECESSARY INGREDIENT OF GENIUS.

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...