JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 10,673
   Rep Power : 2239783
   Likes Received
   10934
   Likes Given
   10271

   Default Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   Wadau,kuna ukweli wowote kuwa aina ya style ya nywele(hapa na maanisha those permamnents one like kipara,dreads,natural hair,wale wanoweka dawa,wanaopenda kuvaa wigs,au kushonea weavings ) ambayo mwanamke anakuwa nayo huwa inadetermine huyo mwanamke ni mtu wa aina gani kimahusiano.things like mbabe,sophiscated,rough rider,hit(au hitted)and run,na vitu kama hivo.
   naomba kuwasilisha!


  2. PetCash's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th March 2012
   Location : searching....
   Posts : 1,016
   Rep Power : 680
   Likes Received
   670
   Likes Given
   222

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   Labda ungedadavua zaidi,
   Kwa kuainisha kwamba labda dreads--->mbabe, wanaoweka dawa----> wahuni.
   Na sisi tungejaribu kutafuta sample space yetu from women tunaowajua tukafanya analysis.

   Funguka na sisi tukokotoe, Maybe we are looking at a new relationships socialpyschological concerpt here!

   (japokuwa inawezekana tukiconclude kwamba natural hair ndo ideal women, wanawake wote wa jf wakaamua kuwa natural hair tukarudi kuiponda concept yetu mpya tuliyogundua)
   You are what you eat

  3. POMPO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2011
   Posts : 3,927
   Rep Power : 1416
   Likes Received
   1477
   Likes Given
   775

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   vitu hivo huwa vinaendana but siyo mtaalam wa issue, watakuja kutujuza zaidi wenyewe.

  4. SnowBall's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th September 2011
   Location : Amsterdam, Nertherlands
   Posts : 3,031
   Rep Power : 226754
   Likes Received
   2791
   Likes Given
   3989

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   Napita tu..ngoja waje magwiji!!!
   ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

  5. charminglady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Location : Ikungulyabhashi
   Posts : 12,887
   Rep Power : 28210016
   Likes Received
   7879
   Likes Given
   9236

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   naweza sema kuna style za nywele ambazo akisuka mdada ataonekana wa aina flan. mf. kwa wafanyakaz wa mabenk na ofc kubwa kama serikali. huwez kuta mdada kasuka weaving la rangrang km nyekundu,blue au kijan. hyo haitakiwi. na kuna ofc hutakiwi kufuga rasta. mf.mwngne ni zile style za wacheza show wa miziki ya dance huwez kwenda nazo ofcn. kuna kunyoa upande m1 na upande mwngne ukaachia pia haipendez kwa mdada anayejiheshimu. ngoja wadau wengne wake!

  6. JF SMS Swahili

  7. Eiyer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2011
   Location : Mwanza
   Posts : 18,619
   Rep Power : 16889209
   Likes Received
   8220
   Likes Given
   10092

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   Anaeenda saluni na kuziwekea mkorogo nywele zake(kuziondoa kwenye uasilia)ana matatizo ya kujikataa!

  8. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 21,354
   Rep Power : 5470169
   Likes Received
   17842
   Likes Given
   21252

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   wanawake wenye upara je?
   There are things in life that are very difficult to explain....

  9. salosalo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th June 2012
   Location : Arusha
   Posts : 543
   Rep Power : 588
   Likes Received
   141
   Likes Given
   37

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   Mimi nilishafanya uchunguzi wangu binafsi kwa muda mrefu, Wale wa drade ni wababe na wanapenda campany za kiume zidi. Wale wa kukarikiti Wambea sana na wanapenda kujikweza(watu wa kushindana sana kifashion na wenzao)

  10. SIM's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th October 2011
   Location : TANZANIA
   Posts : 576
   Rep Power : 545
   Likes Received
   107
   Likes Given
   26

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   Kuna hawa wanaoweka rangi nyekundu wanapenda sana yoriyori

  11. Bazazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2008
   Location : Mzururaji
   Posts : 1,619
   Rep Power : 919
   Likes Received
   495
   Likes Given
   146

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   Jamani Nilikuwepo!


   Bazazi!
   Wanawake: Wanaume Hatuwezi kuishi bila ninyi lakini hatuwezi kuishi nanyi.

  12. snowhite's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2012
   Location : nyumbani
   Posts : 10,673
   Rep Power : 2239783
   Likes Received
   10934
   Likes Given
   10271

   Default Re: Style za nywele na haiba ya mwanamke kimahusiano

   wanaopenda bandika nywele kwa kupenda kuhongwa haooooooooooooooooo,vipara wanajiamini sana,wenye dreads kweli ni wababe,waves wanadeka sana.
   ni mtazamo tu!

  13. JF SMS Swahili

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...