Show/Hide This

  Topic: Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 25 of 25
  1. Godlisten Masawe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2011
   Location : Hapa Hapa
   Posts : 734
   Rep Power : 639
   Likes Received
   267
   Likes Given
   3046

   Default Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

   Utafiti mpya na wa kina kabisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi.

   Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatia vigezo vya kibinadamu, saa 5 usiku siku ya Jumamosi ndiyo muda ambao wanawake wengi wanajisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa kuliko muda mwingine wowote katika siku saba za wiki.
   Asilimia 85 ya wanawake waliohojiwa katika utafiti wa kiafya, walikiri kufanya kujisikia zaidi hali yakutaka kufanya mapenzi muda huo katika siku ya Jumamosi kuliko muda mwingine wowote.

   Utafiti mkubwa ulifanywa katika nchi za Kusini Mashariki, Magharibi Mashariki na meneo ya Scotland ambapo wanawake walisema muda huo mwili wenyewe huwa unahitaji kukutana kimwili na wanaume wenye uzoefu wanalijua hilo bila kuombwa wanapokuwa kitandani.


   Aidha, utafiti mwingine umebaini kwamba, asilimia 75 ya wanawake duniani kote wanapenda kufanya mapenzi mara tatu kwa wiki, ikiwemo siku hiyo ya Jumamosi.

   Kazi iko pale ambapo utafiti umeonyesha kuwa asilimia 25 ya wanawake duniani kote hupenda kufanya mapenzi kila siku katika muda wa siku saba. Kundi hili la wanawake ndilo linalohusika zaidi na usaliti katika uhusiano na pia watafiti wanadai kuwa, katika asilimia hiyo 25, 23 hukumbwa na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
   Our biggest Enemy is not to try what others have done.


  2. Nambe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th January 2011
   Location : Kwa Bi Nyau
   Posts : 1,431
   Rep Power : 117950
   Likes Received
   505
   Likes Given
   429

   Default Re: Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

   hapana! heb njifanyie uchunguzi mwenyewe duh....................
   Godlisten Masawe likes this.
   Happiness is not a reward it is a consequence

  3. Ruttashobolwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 26,620
   Rep Power : 160835341
   Likes Received
   9980
   Likes Given
   10124

   Default Re: Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

   Duuuuh! Hapo kwenye siku!

  4. Grand PA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th September 2010
   Location : Sinza/Dar es salaam
   Posts : 3,110
   Rep Power : 74107334
   Likes Received
   551
   Likes Given
   165

   Default

   Quote By Da Pretty View Post
   Mmm....
   Mi mbona sikuulizwa??
   Labda kweli kasoro mimi
   Kwani wewe huwa unahitaji ile kitu siku gani?

  5. SnowBall's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th September 2011
   Location : Amsterdam, Nertherlands
   Posts : 3,055
   Rep Power : 226808
   Likes Received
   2804
   Likes Given
   4003

   Default Re: Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

   Nimeshindwa kuelewa why jmos saa5 usiku..
   I bet this was coincidence..otherwise there should be some reasons..why jmos???
   ..''I wasted time, and now those time waste me''...Shakespear

  6. nyumba kubwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th October 2010
   Posts : 7,976
   Rep Power : 429498558
   Likes Received
   5993
   Likes Given
   7270

   Default Re: Wanawake Hupenda Kufanya Mapenzi Jumamosi Saa 5 Usiku

   Mi kilichonichekesha ni hao 25% wenye mhemko mkubwa 23% wanapata HIV...haaa kuna ka ukweli hapo. Maana hao mmoja hawatoshi. Lol.  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...